tume

Tume Parish (Latvian: Tumes pagasts) is an administrative unit of Tukums Municipality, Latvia. The administrative center is Tume.

View More On Wikipedia.org
  1. comte

    JamiiForums Tanzania Wasifu wa wajumbe wa tume ya uchaguzi ya Kenya

    The Independent Electoral and Boundaries Commission (IEBC) commissioners remain a topic of discussion especially after their fallout over presidential election results. Away from their conduct and the chaotic scenes at the Bomas of Kenya, little is known about their education background...
  2. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Tume ya Uchaguzi IEBC yamshutumu Raila Odinga kughushi nyaraka za ushahidi

    Wakili wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) Mahat Somane, amesema kiongozi wa Azimio, Raila Odinga ameghushi nyaraka za ushahidi alizowasilisha mbele ya Mahakama Kuu katika ombi lake la Kupinga Matokeo ya Urais Katika mawasilisho yake leo Septemba 1,2022 Wakili Somane aliitaka Mahakama Kuu...
  3. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Chama Tawala chaitaka Tume ya Uchaguzi kuwasilisha vitu 14 kwa uchunguzi

    CHAMA cha Jubilee kimemwandikia Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) Wafula Chebukati kikiomba kupata baadhi ya vifaa vilivyotumiwa katika Uchaguzi Mkuu wa Agosti 9 kwa madhumuni ya ukaguzi wake wa ndani. Chama hicho katika taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Jeremiah Kioni...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Kufanya uchaguzi 2025 bila tume huru ni ufisadi

    Habari ndugu wadau.Tangu mwaka 1995 tumekuwa tunafanya uchaguzi hewa na kutumia fedha kiasi kikubwa wakati tuna matatizo ya kumwaga. Sasa naomba tukubaliane kama hatuko tayari kupata katiba mpya na tume huru tusifanye uchaguzi kuwafurahisha wazungu.Tutumie fedha za uchaguzi kutatua changamoto...
  5. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hatua 10 zinazoweza kumuondoa Chebukati ndani ya Tume ya Uchaguzi

    Baadhi ya wanasiasa wa Azimio la Umoja one Kenya wanataka Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi (IEBC), Wafula Chebukati, kujiuzulu baada ya kutokubaliana na Matokeo ya Urais, huu ndio mchakato pekee unaoweza kufuatwa. - Ibara ya 251(2) ya Katiba inatamka kwamba mtu anayetaka kumwondoa Mwenyekiti...
  6. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Cherera: Chebukati anaendesha Tume ya Uchaguzi kama Ofisi yake binafsi

    Makamu mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC), Juliana Cherera, amezidi kumuanika Mwenyekiti, Wafula Chebukati, akimshutumu kwa "kukosekana kwa uwazi" katika kushughulikia uchaguzi wa Agosti 9. Katika hati yake ya kiapo kufuatia Pingamizi la uchaguzi wa Urais lililowasilishwa na...
  7. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Kama tume huru ya uchaguzi ndio hii ya Kenya basi haitufai ,hii yetu ni Bora mara 1000...,

    Uchaguzi ukiisha mnahamia mahakamani ,badala ya kuendelea na majukumu mengine nchi inabaki inahangaika na makesi ya kipumbavu mahakamani..ushahidi unapelekwa na malori ..Kwa hapa kwetu hakuna mpinzani anaeweza kukubali ameshindwa hata kama ni kweli kashindwa! Ni upumbavu Rais mpya kapatikana...
  8. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Fahamu kuhusu Mawakili watakaoitetea Tume ya Uchaguzi

    Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) imeteua Kampuni 26 za Mawakili zitakazoiwakilisha Tume hiyo na Mwenyekiti wake Wafula Chebukati. Kila Kampuni ya Wanasheria na Mawakili, italipwa takriban Tsh. Milioni 388,967,498/- Zaidi ya Tsh. Bilioni 10.1 zitatumika kulipa Wanasheria na Mawakili...
  9. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Tume na Makamishna waliokataa Matokeo watofautiana uteuzi wa Mawakili

    Mzozo kati ya Makamishna wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) unazidi kuongezeka baada ya pande hizo mbili kuteua Mawakili tofauti kuwawakilisha kwenye maombi ya kupinga Matokeo ya Uchaguzi wa Rais. Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa IEBC Hussein Marjan aliifahamisha Mahakama Kuu wameteua...
  10. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Afisa wa Tume ya Uchaguzi Kenya afariki dunia baada ya kuugua ghafla

    Chanzo: Mwananchi Nairobi. Msimamizi wa uchaguzi wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) ya Kenya kwenye jimbo la Gichugu, Geoffrey Gitobu amefariki dunia jana Jumatatu Agosti 22, 2022 baada ya kuanguka ghafla. Meneja wa Uchaguzi wa IEBC kaunti ya Kirinyaga, Jane Gitonga amethibitisha...
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Mvurugano waendelea Tume ya Uchaguzi Kenya. Wafula Chebukati, Msaidizi wake waendeleza mtifuano

    Mvurugano ndani ya Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) umeendelea baada ya viongozi wa juu wa tume hiyo Mwenyekiti Wafula Chebukati na Makamu wake, Juliana Cherera kupishana kauli wakiwa kwenye kikao cha pamoja. Viongozi hao wakiwa na wajumbe wenzao wa Tume pamoja na wawakilishi wa vyama...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tume ya Uchaguzi yadai maafisa wake walitaka kushambuliwa ofisini

    Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) imedai kuwa wafanyakazi wake walitaka kushambuliwa na kundi la watu waliokuwa wana silaha, jana Saa 2:30 Usiku, Agosti 22, 2022 lakini ilishindikana kutokana na ulinzi kuwa imara katika ofisi hizo. “Walitaka kuvamia wakati wafanyakazi wetu wakiandaa majibu...
  13. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Serikali iunde tume kuchunguza tuhuma za mauaji yanayodaiwa kufanywa na askari wa hifadhi ya pori tengefu la Selous. Hali ni mbaya

    Selous hifadhi ya pori tengefu au pori la akiba kwasasa ndilo pori linalotegemewa sana na TAWA. Kama kawaida ya binadamu hakosi alternative pale anapozidiwa njaa au shida. Vijana wanaingia kwenye hifadhi mbalimbali kutafuta chochote kitu ili wapate kujinasua aidha kwenye njaa au wajinasue...
  14. YinYang

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Gazeti la "The Star": Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Kenya alihongwa ili kuipa zabuni kampuni ya Ugiriki

    Gazeti la The Star limechapisha taarifa kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Kenya, Wafula Chebukati na wenzake walihongwa Dola Milioni 3 ( Takriban Tsh bilioni 7) ili kuwaba zabuni kampuni ya kigiriki kutengeneza karatasi za kupigia kura. Ukweli wake upoje?
  15. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Afisa wa Tume ya Uchaguzi Kenya alinyongwa, Ripoti ya Madaktari yaonesha

    Ripoti ya uchunguzi wa Madaktari imeonesha kuwa Daniel Musyoka, mfanyakazi wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) aliyepatikana akiwa amefarki, alinyongwa hadi kufa Timu ya Madaktari Bingwa watano waliofanyia upasuaji mwili wa Afisa huyo, pia wamepeleka Nairobi baadhi ya vielelezo kwa ajili...
  16. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Chebukati: Makamishna wanne walishinikiza Uchaguzi urudiwe kinyume cha Sheria, Nilikataa

    Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi (IEBC) Wafula Chebukati, amesema aliwazuia kuingia eneo la Bomas Makamishna wanne waliokana kutambua matokeo ya Urais kwa kulazimisha uchaguzi urudiwe. Chebukati ameshikilia msimamo wake kuwa Makamishna hao walipata matokeo yote na walihusika katika shughuli zote...
  17. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Prof. Mukandala hafai kuongoza tume ya katiba mpya

    Tangu awali alipoteuliwa nilisema huyu siye, hiyo ilitokana na yeye kujitambulisha ni muumini wa CCM. Hivi sasa tunashuhudia yeye akitoa maoni kuhusu kuwepo au kutokuwepo katiba mpya, yeye ni mkusanyaji maoni hivyo hatakiwi kuwa mtoa maoni na kama anataka atoe maoni basi inabidi aachie cheo cha...
  18. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Madaktari kuchunguza mwili wa Afisa wa Tume ya Uchaguzi Kenya

    Madaktari wa Uchunguzi wataufanyia uchunguzi mwili wa afisa wa IEBC, Daniel Musyoka aliyekutwa amefariki baada ya kutoweka kwenye kituo cha Kura. Mchunguzi wa serikali pamoja na Daktari aliyeteuliwa na familia watafanya shughuli hiyo ili kubaini sababu za kifo cha Afisa huyo aliyetoweka kwa...
  19. comte

    JamiiForums Tanzania Tume Huru ya Uchaguzi imemebaki Tume ya Uchaguzi ya Tanzania

    Huwa siamini hata kidogo kama upo uwezekano wa kupata tume huru ya uchaguzi kwa namna kama Kenya walivyofanya; au hata Zanzibar walivyowahi kufanya. Kwa kilichotokea Kenya kupitia baadhi ya wajumbe kuyakana matokeo ya kazi yao natangaza kuwa Tanzania tuna tume bora na huru ya uchaguzi
  20. Mbaga Jr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Uchaguzi wa Kenya: Mkutano wavurugika kwa fujo, watu wapigana

    Inasikitisha sana wakuu
Back
Top Bottom