tume

Tume Parish (Latvian: Tumes pagasts) is an administrative unit of Tukums Municipality, Latvia. The administrative center is Tume.

View More On Wikipedia.org
  1. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Rais Samia hana washauri? Habari ya kupata Katiba Mpya inahitaji elimu ya miaka mitatu inatoka wapi? Tume ya Jaji Kisanga na rasimu ya Jaji Warioba?

    Nimeshangaa kusikia anasema eti ili mabadiliko ya katiba mpya wananchi wanatakiwa kupata elimu kwa miaka mitatu . Wajue nini kinafaa ndani ya katiba hii ya sasa na nini hakifai. Iliundwa tume ya Jaji Kisanga mwaka 1998 ikakisanya maoni ya Wananchi kupitia White paper. Serikali ya CCM chini ya...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Ivory Coast Yaivunja Tume ya Uchaguzi Baada ya Shinikizo la Wapinzani

    Serikali ya Ivory Coast imevunja Tume Huru ya Uchaguzi (CEI) baada ya malalamiko ya muda mrefu na kutoka kwa wapinzani kuhusu jinsi chombo hicho kinavyoendesha chaguzi nchini humo. Hayo yamesemwa na msemaji wa serikali, Amadou Coulibaly, siku ya Jumatano. Coulibaly aliuambia mkutano na...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Chande: Tume imepokea ushahidi toka kwa Watu 63,603

    Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa matukio ya uvunjifu wa amani yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, Jaji Mohamed Chande Othman, amesema Tume hiyo imepokea ushahidi kutoka kwa Watanzania 63,603 kwa njia mbalimbali. Amesema ushahidi huo umepatikana kupitia mahojiano...
  4. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania SWALI TATA: Maiti za mauaji ya 29/10/2025 ambazo Chande na tume yake walizichunguza Muhimbili zilitoka wapi? Walikwenda kuzifukua walikozizika au?

    Moja ya hoja iliyoibuliwa na CHADEMA wakichambua ripoti ya Tume haramu ya Othman Chande na wazee wenzake walioamua kuuza utu wao kwa kuamua kuwa "wazee wa kutunga uongo" ni suala la wao kujigeuza kuwa madaktari wa kuchunguza Maiti Ili kujua chanzo chake CHADEMA wanasema ktk ripoti ya uchambuzi...
  5. W

    JamiiForums Tanzania Watatu wakamatwa kwa kutusi Tume ya kuchunguza vurugu za Oktoba 29

    Jeshi la Polisi nchini limewakamata watu watatu kwa tuhuma za kutumia vibaya mitandao ya kijamii kwa kusambaza matusi na maudhui ya kudhalilisha, wakiwemo waliolenga wajumbe wa Tume ya Uchunguzi wa matukio ya vurugu za Oktoba 29, 2025 na baada ya uchaguzi. Watuhumiwa hao wamekamatwa katika...
  6. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 MwanaHALISI: Pamoja na Ripoti ya Tume kutoka, ICC Haikwepeki

  7. Q

    JamiiForums Tanzania US Senate Foreign Relations: Tume imefunika Ukandamizaji na Ukweli

    As expected, this “commission” glossed over a violent crackdown and the facts. I support the administration’s bilateral review and call for sustained pressure on Tanzania, including the release of Tundu Lissu. Waiting out scrutiny with a whitewashed report is a flawed strategy; it won’t restore...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Doyo akemea wanaobeza viongozi wa Tume ya Jaji Chande

    Aliyekuwa mgombea nafasi ya Urais mwaka 2025 kupitia chama cha NLD, Doyo Hassan amewaasa Watanzania kuacha kuwatukana na kuwakejeli Wajumbe wa Tume ya Uchunguzi kwani kwanza ni wakubwa wa umri na ni wabobevu wa Kimataifa.
  9. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya Tume: Njia ya Tanzania Yenye Haki na Amani

    Tume imetoa wito wa uwajibikaji wa haki, maridhiano na maendeleo ya taifa. Watanzania wote wanapaswa kukumbatia ukweli huu na kufanya kazi pamoja kujenga Tanzania yenye amani, haki na umoja wa kudumu. #UwajibikajiWaHaki #TumeYaUchunguziReport Haki Na Amani
  10. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Kwa propaganda hizi zilizoandaliwa na Tume ya Chande kweli mko serious mnataka Maridhiano? Bila ukweli na Uwajibikaji sioni Maridhiano yakifanikiwa

    Taifa liweze kupona msingi wake lazima huwe ukweli na uwajibikaji sasa hii Tume Jaji chande imejikita kwenye propaganda za kitoto Je kweli nyie mnataka kuliponya Taifa? Watanzania au wananchi wa karne hiii hamtaweza tena kuwadanganya kitoto tena...
  11. The Khoisan

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Tume imejikita kutetea report ambayo hatujaiona na huenda hatutakuja kuone kamwe...!!?

    Nimefuatilia mazungumzo ya tume. Naona wako busy kujitetea badala ya kutufafanulia na kuthibitisha ushahidi kwa kile kilichotokea..!?
  12. Yoda

    JamiiForums Tanzania Tutazunguka kote na kuunda kila tume ila tutarudi pale pale

    Hata turuke juu chini na tupige sarakasi za kila aina, zitaundwa tume za kila aina, kamati za amani, maridhiano na blah blah nyingine zote ila mwisho wa siku kama tutaka kuwa na nchi ya kidemokrasia, haki na utawala bora tutarudi tu kwenye tume za; 1. Jaji Warioba 2. Jaji Nyalali 3. Jaji Kisanga
  13. R

    JamiiForums Tanzania Balozi Paul Mella: Hatujaweza kubaini uwepo wa wanajeshi kutoka nchi jirani kuonekana kupiga risasi

    Balozi Luteni Jenerali Paul Mella moja wa wajumbe wa Tume ya Kuchunguza Matukio ya Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025, akijibu swali la Mwandishi wa habari kuhusu Madai ya Mtaani kuwepo kwa Wanajeshi kutoka nchi jirani kufyatua risasi wakati wa vurugu hizo. Balozi Mella amesema kuwa...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Jaji Chande: Upo ushahidi waliopigwa risasi nje ya ghasia sebuleni, yapo majina yametajwa waratibu na waliopeleka fedha

    Mwenyekiti wa Tume ya Kuchunguza Matukio Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, Mhe. Jaji Mkuu Mstaafu Mohamed Chande Othman, akizungumza na waandishi wa habari tarehe 28 Aprili 2026
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Balozi Paul Mella: Matukio ya Oktoba 29 yametoa somo kubwa kwa Vyombo vya Ulinzi na Usalama

    Balozi Luteni Jenerali Paul Mella akizungumza wakati Tume ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 ikizungumza na Waanadishi wa Habari, amesema tukio la Oktoba 29 limetoa funzo kubwa kwa vyombo vya Ulinzi na Usalama na kwamba vitakuwa...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Jaji Juma: Uhuru wa Tume hautegemei ni nani au nani alikuwa anafanya kazi gani

    Mwenyekiti wa Tume ya Kuchunguza Matukio Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, Jaji Mkuu Mstaafu Mohamed Chande Othman pamoja na wajumbe wa tume wakizungumza na waandishi wa habari tarehe 28 Aprili 2026 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere (JNICC), Dar es Salaam.
  17. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Chande: Hakuna tume duniani imekutana ana kwa ana na watu 6205 kwa siku 153. Tume hii tumekutana na watu hao

    Jaji Chande ambaye ni Mwenyekiti wa Tume ya uchunguzi wa matukio ya Oktoba 29, ameyasema hayo Leo, 28 Aprili 2026 Jijini Dar es Salaam kwenye mkutano wa tume ya Uchunguzi wakati na baada ya uchaguzi Mkuu Oktoba 29 2025 na waandishi wa habari. Jaji Chande amsema kuwa kwa siku Tume ya uchunguzi...
  18. E

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Asasi za Kiraia: Hatukubali pendekezo la Tume ya Jaji Chande kuunda chombo kingine kuchunguza

    Akizungumza leo Aprili 27 katika mkutano wa asasi za kiraia 14 zilizotoa msimamo kuhusu Tume ya Jaji Othman Chande, Mhadhiri mstaafu wa Chuo Kikuu chaa Dr es Salaam, Dk Azaveli Lwaitama amesema hawakubaliani na pendekezo la tume hiyo kutaka iundwe tume nyingine ya kuchunguza jinai, badala yake...
  19. E

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Asasi za Kiraia: Takwimu za Tume ya Jaji Cande kuhusu vifo 518 hazitoi sura kamili

    Akizungumza na waandishi wa habari leo Aprili 27 wakati Asasi 14 za kiraia zikitoa msimamo wao kuhusu ripoti ya Mwenyekiti wa Tume ya Kuchunguza Uvunjifu wa Amani Oktoba 29, Wakili Jebra Kambole kutoka Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), amesema takwimu za tume (vifo 518) hazitoi sura...
  20. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Madeleka: Tume iliundwa kwa mujibu wa sheria, ilipaswa yote wanayofanya yawe kwa mujibu wa sheria

    Wakili Peter Madelekea ameyasema hayo leo Aprili 27, 2026 wakati akichambua ripoti ya Jaji Chande kuhusu matukio yaliyotokea kabla na baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025.
Back
Top Bottom