tume

Tume Parish (Latvian: Tumes pagasts) is an administrative unit of Tukums Municipality, Latvia. The administrative center is Tume.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Warioba yuko sawa kusema Mama Samia kachaguliwa na Tume sio Watanzania

    Mama Samia kachaguliwa na tume fake kuwa raisi fake wa Tanzania bila kupata kibali cha Watanzania. Hivyo msishangae Watanzania kumkataa . Watetezi wake ambao hawewezi kubisha hoja hii watabakia kuwa machawa lakini kizuri Watanzania wamegoma
  2. Idugunde

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo acheni uduwanzi wa kisiasa. Kama mlitambua tume ya uchaguzi ni batili na haiko huru mliingia kwenye uchaguzi ili iweje?

    Mnalalamika nini? Mnasema tume imeundwa kinyume na katiba ya ya JMT kwa kuwa haikufuata matakwa ya ibara ya 74. Mkashiriki uchaguzi ambao mlitambua hauko huru. Mpaka Ayatollah wa ujiji akashindwa ubunge na mtubambae hajui Hansard ni kitu gani. Leo mnalalamika nini? Mlidhania Chadema wao ni...
  3. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Act Wazalendo acheni uduwanzi wa kisiasa. Kama mlitambua tume ya uchaguzi ni batili na haiko huru mliingia kwenye uchaguzi ili iweje?

    Mnalalamika nini? Mnasema tume imeundwa kinyume na katiba ya ya JMT kwa kuwa haikufuata matakwa ya ibara ya 74. Mkashiriki uchaguzi ambao mlitambua hauko huru. Mpaka Ayatollah wa ujiji akashindwa ubunge na mtubambae hajui Hansard ni kitu gani. Leo mnalalamika nini? Mlidhania Chadema wao ni...
  4. Best home tutor

    JamiiForums Tanzania Tume imemaliza kazi yake kuhusu yaliyotokea ,hatua inayofuata ni maridhiano hasa mbona kuna watu mnafukua makaburi?

    Natumaini tuko poa Kila mmoja anaona au aliona yaliyotokea kabla na baada ya uchaguzi wa mwaka jana 2025 ,baada ya machafuko ya October 29 ,Raisi aliunda tume ya kuchuguza kilichotokea na sababu ya yale mambo kutokea na tayri tume imekabidhi ripoti yake na mapendekezo yake. Baada ya tume...
  5. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Tume Chande: Dini Nguzo ya Amani

    Ripoti ya Tume ya Jaji Chande ilitambua kuwa taasisi za kidini zilicheza jukumu muhimu na chanya wakati na baada ya ghasia za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Viongozi wa dini mbalimbali walilaani vurugu, kutoa wito wa amani na kusaidia kutuliza mvutano katika jamii. Tume iliona mchango wao kama...
  6. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya jaji mkuu mstaafu Mohamed chande othman, mwenyekiti wa tume ya rais ya kuchunguza matukio ya October 29 mwaka 2025

    HOTUBA YA MHE. JAJI MKUU MSTAAFU MOHAMED CHANDE OTHMAN, MWENYEKITI WA TUME YA RAIS YA KUCHUNGUZA MATUKIO YA GHASIA NA UVUNJIFU WA AMANI YALIYOTOKEA WAKATI NA BAADA YA UCHAGUZI MKUU WA OKTOBA, 2025, WAKATI WA KUWASILISHA RIPOTI YA TUME DAR ES SALAAM, TAREHE 23 APRILI 2026 ·...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hivi ni makosa kujadili nondo alizoshusha Jaji Warioba juu ya uongo ulioelezwa na tume ya Jaji Chande ukiwa kazini?

    Nimeshangaa sana mwalimu mwenzangu kunibwatukia na kunizuia kujadili suala muhimu kama hili Sawa tupo kazini. Ofisini tusijadili kisa tu sisi ni walimu? Kosa nini kuwa mtumishi wa umma usijadili mustakabali wa taifa lako?
  8. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania Jaji Mwambegele umeshusha hadhi ya Ujaji na tume yako ya Uchaguzi-Jaji Warioba asema matokeo ya uchaguzi ni FAKE!

    Kwa kule ninakotoka watu husimamia misimamo ya UKWELI NA UWAZI. Huyu ndugu yetu Jaji Mwambegele katushushia heshima watu wa Mbeya-Tukuyu. Nakubaliana na Jaji Warioba, Jaji Mwambegele kajivunia heshima, kama Jaji Chande.
  9. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo ya Tume: Njia ya Amani

    Tume ilitoa mapendekezo muhimu na ya kina ili kuzuia marudio ya ghasia na kuimarisha amani ya kitaifa. Mapendekezo haya yanatokana na uchunguzi wa kina na yanalenga kuimarisha utawala bora, uwajibikaji na mifumo imara ya demokrasia. Hii ni muhtasari wa kina wa mapendekezo yaliyotolewa...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Kwa Uadilifu wa Warioba, Ikitamkwa Kuna Tume ya Kuchunguza Mauaji ya 29 OCt Itakayoongozwa na Warioba, Kelele za kutaka Tume ya Nje zitapungua Sana

    Siku zote, historia ya mtu, na anavyotenda siku zote, ndiyo hujenga mazingira ya mtu huyo kuaminika au kudharaulika. Ni jambo lililo wazi kuwa watu wengi, hasa waliopo Serikalini, hawaaminiki kutokana na kuonekana kuwa wapo kwaajili ya tamaa ya matumbo yao, hata siku moja hawapendi kuwa wakweli...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Tume ya Jaji Chande imejibu kila swali la Watanzania na kuacha maoni nini chakufanya kwa weledi kabisa

    CCM OYEEE ,Kazi na Utu tunasonga mbele. Watanzania tume ya uchunguzi ya matukio ya octoba 29/2025 ya jaji chande ilishamaliza kazi yake na Ripoti ilishawasilishwa kwa mheshimiwa Rais . Hii tume ni ya watanzania ,na Mambo na uchunguzi umefanywa na wanasheria wetu nguli wakiongozwa na jaji jaji...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania TLS Wanatoa Tamko Juu ya Tume ya Jaji Chande na Tundu Lissu

    https://www.youtube.com/watch?v=ex4HupJgtOg
  13. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Uadilifu na Uzoefu: Tume Iliyoaminika

    Tume iliundwa na wataalamu wenye uzoefu mkubwa katika masuala ya sheria, haki, usalama na utawala bora. Uteuzi wao ulizingatia uadilifu, uelewaji wa kina wa mambo ya kisiasa na kijamii, na historia yao ya kushirikiana na taasisi huru. Hii iliipa Tume uaminifu mkubwa miongoni mwa wananchi...
  14. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Rais Samia hana washauri? Habari ya kupata Katiba Mpya inahitaji elimu ya miaka mitatu inatoka wapi? Tume ya Jaji Kisanga na rasimu ya Jaji Warioba?

    Nimeshangaa kusikia anasema eti ili mabadiliko ya katiba mpya wananchi wanatakiwa kupata elimu kwa miaka mitatu . Wajue nini kinafaa ndani ya katiba hii ya sasa na nini hakifai. Iliundwa tume ya Jaji Kisanga mwaka 1998 ikakisanya maoni ya Wananchi kupitia White paper. Serikali ya CCM chini ya...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Ivory Coast Yaivunja Tume ya Uchaguzi Baada ya Shinikizo la Wapinzani

    Serikali ya Ivory Coast imevunja Tume Huru ya Uchaguzi (CEI) baada ya malalamiko ya muda mrefu na kutoka kwa wapinzani kuhusu jinsi chombo hicho kinavyoendesha chaguzi nchini humo. Hayo yamesemwa na msemaji wa serikali, Amadou Coulibaly, siku ya Jumatano. Coulibaly aliuambia mkutano na...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Chande: Tume imepokea ushahidi toka kwa Watu 63,603

    Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa matukio ya uvunjifu wa amani yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, Jaji Mohamed Chande Othman, amesema Tume hiyo imepokea ushahidi kutoka kwa Watanzania 63,603 kwa njia mbalimbali. Amesema ushahidi huo umepatikana kupitia mahojiano...
  17. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania SWALI TATA: Maiti za mauaji ya 29/10/2025 ambazo Chande na tume yake walizichunguza Muhimbili zilitoka wapi? Walikwenda kuzifukua walikozizika au?

    Moja ya hoja iliyoibuliwa na CHADEMA wakichambua ripoti ya Tume haramu ya Othman Chande na wazee wenzake walioamua kuuza utu wao kwa kuamua kuwa "wazee wa kutunga uongo" ni suala la wao kujigeuza kuwa madaktari wa kuchunguza Maiti Ili kujua chanzo chake CHADEMA wanasema ktk ripoti ya uchambuzi...
  18. W

    JamiiForums Tanzania Watatu wakamatwa kwa kutusi Tume ya kuchunguza vurugu za Oktoba 29

    Jeshi la Polisi nchini limewakamata watu watatu kwa tuhuma za kutumia vibaya mitandao ya kijamii kwa kusambaza matusi na maudhui ya kudhalilisha, wakiwemo waliolenga wajumbe wa Tume ya Uchunguzi wa matukio ya vurugu za Oktoba 29, 2025 na baada ya uchaguzi. Watuhumiwa hao wamekamatwa katika...
  19. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 MwanaHALISI: Pamoja na Ripoti ya Tume kutoka, ICC Haikwepeki

  20. Q

    JamiiForums Tanzania US Senate Foreign Relations: Tume imefunika Ukandamizaji na Ukweli

    As expected, this “commission” glossed over a violent crackdown and the facts. I support the administration’s bilateral review and call for sustained pressure on Tanzania, including the release of Tundu Lissu. Waiting out scrutiny with a whitewashed report is a flawed strategy; it won’t restore...
Back
Top Bottom