Nimepewa hii habari na mtu alie karibu sana na mmoja wa wa
viongozi wa ACT Wazalendo, na nimeileta kama tetesi ingawa nimehakikishiwa kwamba ni ukweli kwa asilikia 100, akaniambia Viongozi walisha kutana na tume ya Chande ila shariti kubwa ni walitaka isipigwe picha, na alie shinikiza ni Katibu...
Tume ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, leo Januari 14, 2026, imekutana na mwanasiasa January Makamba. - Mkutano huo wa Tume na Makamba, ambaye amepata kuhudumu nafasi mbalimbali ikiwemo uwaziri katika awamu tofauti za...
TUME ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, leo Januari 14, 2026, imekutana na Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais mstaafu, Joseph Warioba.
Mkutano huo wa Tume na Mzee Warioba, ambaye pia ni Jaji mstaafu ulifanyika...
Siku mbili kabla ya Uchaguzi nchini Uganda, Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi nchini humo Simon Byabakama amefichua kwamba amepokea vitisho juu ya kutangaza mshindi katika uchaguzi huo. Byabakama alikuwa akizungumza na BBC mara baada ya kumaliza kutoa taarifa na vielelezo vingine juu ya zoezi la...
Tume ya uchaguzi wa Tanzania iwe na viongozi wote toka Marekani na Ulaya tu. Wasimamizi wa uchaguzi Kuanzia ngazi ya madiwani, wabunge, kura za Urais viongozi wa kuhesabu kura na kutangaza matokeo rasmi wawe wanatoka Marekani na Ulaya(Uk, Germany).
Mkuu wa Tume ya uchaguzi awe mzungu...
Husika na kichwa cha habari hapo juu. Mwenye maswali ya usahili Uhandisi wa Uchimbaji Madini (Mining Engineering II) naomba anisaodie.
Natanguliza shukrani.
Nipo hapa napata Moja baridi na Moja baridi nchi jirani huku nikofuatilia ITV HABARI kupitia YOUTUBE, huyu mtangazaji wa ITV anayeitwa Asiraji Mvungi, ameripoti Kwamba Tume ya Jaji Chande imekutana na wahanga na waathirika wa vurugu baada ya uchaguzi, na waathirika hao wamemwambia Jaji Chande...
Kama Polisi walishasema ushahidi tulionao wananchi ni "AI", ninyi mnataka mpewe nini tena?
Hebu nendeni kwanza kwa Muliro akawaambie alijuaje huo ushahidi uliotumwa kwa Larry Madowo ni AI, akiwapa jibu na mkajiridhisha siyo AI ndipo mje kuomba ushahidi kwa wananchi!
Acheni kutujazia simu buree!
Auae kwa upanga atauawa kwa upanga pia. Hatutaki kusikia kina Makonda wakilalamika kuwa Refarii kainyima Taifa stars penati.
Mpira umeisha kwa Amani. Kazi na utu.
Je yakifanyika yale yale yaliofanya amani itoweke baada ya maridhiano, je maridhiano yatakuwa na maana? Maridhiano ni katiba mpya na tume huru ya uchaguzi sio sinema
Rais kwa utu ameunda tume ya uchuguzi juu ya vurugu za oktoba 29.
Watu walipoteza maisha ila mpaka sasa ilianzia idadi ya 1000 ikaja 2000 - kwa sasa 10,000. Je, lengo la kupandisha data hizi ni nini? au kuendelea kukuza hasira na chuki ili mshinde kisiasa.?
*Mlisema watu walipigwa riasi wakiwa...
Heri ya Mwaka mpya 2026 kwa kila mmoja, Mungu awe pamoja na kila mmoja kwa mwaka mzima.
Katika hotuba ya Mhe.Rais ya kuaga mwaka 2025 na kukaribisha mwaka 2026 alizungymzia suala la kuanzisha TUME YA MARIDHIANO YA KITAIFA mwaka 2026.
Niungane na wote waliopongeza hotuba hiyo iliyojaa matumaini...
Muuaji anakuja mbele ya runinga za watanzania Milioni 65 anawaambia nimeshaunda Tume ya Maridhiano, kama hili ndilo alilomuitia Mzee wetu Warioba Ikulu naomba wamshauri tu Mzee Warioba akae mbali na majukumu yote atakayopewa na Serikali hii iliyomwaga damu za raia wake
Yaani wanajizima data...
Oct 29 shughuli zote zilisimama mapema sana asubui, internet ilizimwa asubui, usafiri haukuwepo asubui tume ilipata wapi rais, wabunge na madiwani ?
Moja ya hoja kuu kuwa hakukuwa na uchaguzo kabisa oct 29, ni kwamba internet ilizimwa, usafiri haukuwepo kabisa hakuna shughuli yoyote mpaka mida...
Rais Samia Suluhu Hassan bado yumo katikati ya tatizo kubwa na tishio la maisha yake mwenyewe...
Rais Samia Suluhu Hassan bado anatafunwa na kufunikwa na KIBURI na JEURI kwa sababu ya madaraka, fedha za wizi na ufisadi, bunduki za Polisi na majeshi yake ya siri akidhani zitaepusha anguko la...
Tumetoka kujaza Ile form ya Tume ya uchunguzi wa matukio ya tar. 29
Tumeijaza kabla hatujatawanyika kwenda kwenye majukumu ya kujitafutia riziki hii form siyo ngumu inaeleweka watanzania tujaze. Unaweza ukajaza hata ukiwa kwenye boda
Wana CCM na watu wa vyama vyote tujaze Ile form inaeleweka...
Mange kimambi ameandika yafuatayo
"Samia, Wambura, Mombo, Mafwele, Murillo, na washirika wenzao hawa wote safari yao ni ICC mahakama ya makosa ya jinai . Hawa wote mwisho wao ni kuhukumiwa kunyongwa.
Na huko ICC watakaofanya wakuhumiwe kunyongwa ni mashahidi walioshuhudia mauwaji na...
TUME ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu, leo Desemba 30, 2025, imekutana na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF), Jenerali Jacob Mkunda.
-
Kikao hicho ni muendelezo wa majadiliano kati ya tume, waathirika wa matukio ya ghasia wakati na baada ya...