https://www.youtube.com/watch?v=64HPMN4PvDU&pp=ygULdWNoYWd1emkgdHY%3D
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) inaendelea na mchakato wa maandalizi kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2025.
Tume imekuwa ikifanya vikao vya Wadau mbalimbali, leo Agosti 3, 2025 kikao kinafanyika...
Mkurugenzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (iNEC), Ramadhani Kailima amesema,
"Endapo vyama vya siasa au mgombea yeyote atahitaji kutumia machapisho kama vile mabango au vipeperushi vyenye matangazo ya kampeni, vitapaswa kuomba idhini kwenye Mamlaka husika (1) Kwa uchaguzi wa kiti cha Rais...
Eti maboss niambie kitu kimoja nijue kinahusiana vipi kuna huyu mtalaam wa kuandika hizi acts kwa sasa anaitwa Bw. Onorius John Njole sasa kwanini anakuwa ofisi yake ni tume ya pamoja ya fedha chini ya wizara ya fedha me nilifikiria labda angekuwa chini ya taasisi kama Bunge, mahakama,n.k
Kwa aliye angalia pambano la Mfaume dhidi ya mmalawi atakuwa alipigwa na butwaa kwa kile kilichoamuliwa na majaji.
Kwa kuwa tunapenda uzalendo kuliko uhalisia basi tusahau maendeleo ya mchezo wa maswimbi Tanzania .Ni aibu.
Mfaume alipigwa mpaka ukumbi ulikuwa kimya wakati wote wa mchezo...
Tume huru ya uchaguzi wametoa chapisho ambalo lina makosa ya kiuandishi jambo ambalo sio la kawaida kwa taasisi..
kwanza kabisa mwanzoni linasomeka hivi....
Tume Huru ya Taifa ya Uchafuizi imetangaza kuwa Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani utafanyika Siku ya Jumatano ya tarehe 29 Oktoba, 2025...
Tunaambiwa eti "Watanzania Milioni 37.6 wamejiandikisha kupiga kura".
Sidhani kama huyu ndugu alitakiwa aoneshe data base ya watu halisi milioni 37.6 waliojiandikisha maana ni uongo
Kuna mambo matatu!
1. Kwa mujibu wa sensa ya mwaka
2022, idadi ya raia wa Tanzania ni milioni ambayo...
Moja ya mambo ambayo yakija kutokea huko mbeleni pengine kutokea machafuko nchini kwa kisababishi cha upendeleo wa kunyamazia mambo yanayotokea CCM na mambo hayo hayo hayanyamaziwi yanapotokea vyama pinzani
Tunapozungumza leo, Chadema imesimamishwa mikutano, luzuku na hata kiongozi yoyote...
Kwanini tunalinda Taarifa Binafsi?
Innocent Mungy, Mkuu wa Uhusiano na Mawasiliano - Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) amefafanua kwa kina kuhusu Swali hili wakati wa Mafunzo ya siku moja ya Dhana ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi kwa Maafisa Habari wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) na...
Uongozi wa kijeshi nchini Burkina Faso umevunja tume ya uchaguzi, hatua ambayo imeibua mijadala mikali kuhusu mustakabali wa demokrasia nchini humo. Kwa mujibu wa tamko rasmi, serikali ya kijeshi imesema kuwa tume hiyo ilikuwa inasababisha upotevu mkubwa wa fedha bila kuleta ufanisi wa...
Sheria zetu za uchaguzi zinatamka wazi kuwa tokea mtu ametangaza nia ya kugombea, akianza kugawa zawadi kwa wapiga kura, hiyo itahesabika ni rushwa.
Sa100 tangu alipojitangaza kuwa yeye ni mgombea pekee wa nafasi ya Urais kupitia chama haramu, amegawa mitungi ya gas nchi nzima, amegawa pikipiki...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
ACT-Wazalendo, tumeshangazwa na kushtushwa na Ujumbe mfupi wa SMS, kutoka Tume ya Uchaguzi Zanzibar, ambao wanatumiwa wananchi, kufika katika Ofisi za Uchaguzi za Wilaya kuchukua Vitambulisho vyao vya kupiga kura (Vote I'd), kuanzia tarehe 17/07/2025, katika Siku na...
act
haki
haki ya kupiga kura
kupiga
kupiga kura
kura
maalum
mpango
tumetume ya uchaguzi
tume ya uchaguzi zanzibar
uchaguzi
uchaguzi zanzibar
wananchi
wengi
zanzibar
Power corrupts, and absolute power corrupts absolutely.
Madaraka yakianza kulevya.
Sababu alizotoa hazina mashiko.
Bado moyo wangu ni mzito kumkubali Ibrahim Traore kama ambavyo mitandao mingi inavyomshabikia kwa "mafanikio hewa.
Cc Nyani Ngabu
Pembezoni mwa Mkutano wa Saba (7) wa Uratibu kati ya Umoja wa Afrika na Jumuiya za Kikanda jijini Malabo, Equatorial Guinea Julai 13, 2025, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amekutana na Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Afrika ya Haki za...
afrika
akutana
binadamu
haki
haki za binadamu
janet
kulia
makamu
makamu mwenyekiti
mwenyekiti
mwenyekiti wa tumetume
umoja
umoja wa afrika
waziri
waziri kombo
Ni lazima tuweke standard kama taifa, haiwezekani wewe uwe mjumbe au mtumishi wa tume ya uchaguzi kwa ngazi yoyote ile halafu kesho na keshokutwa uende kwenye uchaguzi kugombea. Hiyo hapana. Tukatae. Iwekwe wazi kabisa, ukiamua kutumikia tume ya uchaguzi moja kwa moja ukose sifa zingine zote za...
NDOTO: 16
TUME ILIYO NA NAFSI
Nilijikuta ndani ya jengo refu lililojengwa kwa vioo—ukuta kila upande ulikuwa ni uso wa wananchi. Nilitembea hadi katikati ambapo meza ya duara ilizungukwa na viti vya ngozi.
Katikati ya meza hiyo kulikuwa na kiumbe wa ajabu—si binadamu, si mashine—lakini...
Rais mstaafu, Jakaya Kikwete amesema, licha ya vyama mbalimbali vya siasa kuwa na kauli mbiu zake zikiwamo za "Piga kura linda kura (ACT Wazalendo, "Oktoba tunatiki ya CCM na No Reforms No Election ya Chadema, itakapofika siku ya kupiga kura, " akili za kuambiwa changanya na zako."
Ameyasema...
GT
Katika mitandoa kunaonekana mafuriko ya watanzania Ngosha na bakima huko Simiyu. Tafasiri ya haraka haraka ni kwamba S100 na CCM Wanakubalika 100%.
Kwa Sisi wadaidisi tunaamini huu mkusanyiko ni wa kupangwa na umetumia pesa na nguvu nyingi sana kuihadaa dunia juu ya uungwaji mkono wa sa100...
Katika sherehe ya Uzinduzi wa Ujenzi wa Jengo la Makao Makuu Mapya ya CCM yanayojengwa Mkoani Dodoma, Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Emmanuel Nchimbi alisikika akisema Kampuni yao ya JITEGEMEE Holdings inayochimba na kuuza madini ya Makaa ya Mawe Mkoani Ruvuma imelipa kodi kiasi cha Shilingi BIlioni...
Nauliza tu huyu mtu ni Mzanzibar? kama ndiyo, vipi kuhusu mahusiano yake na hukumu aliyotoa ambayo iligubikwa na utata?
Huyu Jaji aliwahi kuwa kamishina wa tume ya uchaguzi Zanzibar kabla hajawa Jaji wa mahakama kuu ya Tanzania.
Hata kama ni suala la kurafsiriwa kama ubaguzi potelea mbali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.