tume ya uchaguzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Mahakama ya Afrika ya haki za binadamu imesema kila jambo la tume ya uchaguzi ni lazima lihojiwe mahakamani!

    Anaandika Jebra Kambole AfCHPR imesema ibara ya 74 (12) Ya Katiba ya Tz na Ibara ya 119(13) ya Katiba ya Zanz zinakiuka ibara ya 3(2) na 7(1)(a) ya Mkataba wa ACHPR kwa sababu ibara hizo zinakataza kufungua kesi ya kupinga ujinga wa INEC na ZEC. Tunashukuru kuwa kwenye Timu ya Mawakili wa kesi...
  2. Wagombea wa Ubunge kutoka kwenye vile vyama 14 "waipongeza" Tume ya Uchaguzi kwa kuendesha vyema Uchaguzi mdogo jimbo la Peramiho

    Wagombea Ubunge wa Jimbo la Peramiho kutoka Vyama Vya Siasa 14 NLD, AAFP, MAKINI, UMD, UPDP, DP, CCK, TLP, UDP, SAU, NCCR MAGEUZI, ADA TADEA na ADC vilivyosajiliwa kwa mujibu wa sheria ya vyama vya siasa sura ya 258, kwa umoja wao wameamua kuja na tamko la pamoja kuhusiana na mwenendo wa...
  3. Tume ya uchaguzi Zambia yakanusha kuja kujifunza namna ya kuendesha uchaguzi kutoka TANZANIA

    Zimekuwepo tetesi huko nchi Zambia kuwa tume ya uchaguzi ya Taifa hilo Iko TANZANIA kujifunza namna za kufanya chaguzi ECZ imekanusha vikali kuwa haina lolote la kujifunza kutoka TANZANIA kuhusu mambo ya uchaguzi Zambia wanatarajia kufanya chaguzi mwezi August
  4. PostGE2025 Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) yateketeza nyaraka za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025

    Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imeanza utekelezaji wa zoezi la kuteketeza nyaraka za Uchaguzi Mkuu uliofanyia Oktoba 29, 2025 ambapo zoezi hilo limeanzia Kisiwa cha Pemba na baadae Kisiwa cha Unguja. Akizungumza kuhusu zoezi hilo Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar, Jaji George Joseph...
  5. PostGE2025 ACT: Tunapinga na Kulaani mpango wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar kuchoma Ushahidi wa Wizi wa Kura

    CHAMA CHA ACT WAZALENDO TUNALAANI NA KUPINGA MPANGO WA ZEC WA KUCHOMA USHAHIDI WA WIZI WA KURA ZANZIBAR – 4 FEBRUARI, 2026 – Wakati timu yetu ya Wanasheria ikiwa mbele ya Mahakama Kuu kuomba Kukagua na Kupata nyaraka muhimu za uchaguzi (Application for Discovery and Inspection), Tume ya...
  6. Video: Maafisa wa Tume ya Uchaguzi Uganda wakiwa wanatiki kwenye karatasi ya kupiga kura

    Wakuu, Masaa baada ya Rais Yoweri Museveni kutangazwa mshindi wa uchaguzi wa Januari 15 kwa kupata asilimia 71.65 ya kura, kiongozi wa upinzani Bobi Wine ameweka video fupi kwenye X ikidai kuonyesha maafisa wa Tume ya Uchaguzi wakiwa wamevaa vesti za NRM wakiandaa karatasi za kupigia kura kwa...
  7. W

    Mwenyekiti tume ya Uchaguzi Uganda atishwa

    Siku mbili kabla ya Uchaguzi nchini Uganda, Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi nchini humo Simon Byabakama amefichua kwamba amepokea vitisho juu ya kutangaza mshindi katika uchaguzi huo. Byabakama alikuwa akizungumza na BBC mara baada ya kumaliza kutoa taarifa na vielelezo vingine juu ya zoezi la...
  8. Tume ya uchaguzi wa Tanzania iongozwe na watu wazito toka Marekani na Ulaya tu

    Tume ya uchaguzi wa Tanzania iwe na viongozi wote toka Marekani na Ulaya tu. Wasimamizi wa uchaguzi Kuanzia ngazi ya madiwani, wabunge, kura za Urais viongozi wa kuhesabu kura na kutangaza matokeo rasmi wawe wanatoka Marekani na Ulaya(Uk, Germany). Mkuu wa Tume ya uchaguzi awe mzungu...
  9. Tume ya uchaguzi ya CAF (Refarii)kainyima ushindi Taifa stars.

    Auae kwa upanga atauawa kwa upanga pia. Hatutaki kusikia kina Makonda wakilalamika kuwa Refarii kainyima Taifa stars penati. Mpira umeisha kwa Amani. Kazi na utu.
  10. PostGE2025 (KUMBUKIZI) Jenista Mhagama: Katiba mpya na Tume ya Uchaguzi, Kutokutenda Haki sio maeneo ya kipaumbele kwa Watanzania

    Ukiona mtu anadharau, anashusha na kudogosha umuhimu wa katiba mpya na tume huru ya uchaguzi, ni mwana mtandao! si sehemu ya kilio cha wananchi.
  11. M

    Tanzania ichague kusambaratika kwa ajili ya CCM, Vita vya Udini na Ugaidi, au ikubali katiba mpya na Tume ya Uchaguzi ili ipone

    Hiki ndiyo ninachokiona mimi,tukubali kuikumbatia CCM ambayo inafanya kila aina ya hila ili iendelee kubaki madarakani huku watu wachache wakinufaika na rasilimali za inchi kwa mgongo wa Amani, au tukubali kuingiza nchi kwenye machafuko yanayokuja mbele yetu kuanzia Udini,Utanganyika na...
  12. Nadhani wa kulaumiwa au kushtakiwa ni tume ya uchaguzi

    Kila mara ninapomsikiliza rais Samia, naona wazi ana uhakika kabisa kuwa alipigiwa kura kwa asilimia 97. Haoneshi kuwa na wasiwasi wala mashaka. Japo ni kweli kuna maeneo vurugu zilitokea katika vituo vya kupigia kura. Na ni kweli mabox ya kura yaliharibiwa. Je, tume ilipaswa kufanya nini...
  13. M

    PostGE2025 ACT Wazalendo: Mchakato wa uchaguzi uliharibiwa na tume ya uchaguzi Zanzibar (ZEC). Tutakwenda mahakamani

    Chama cha ACT Wazalendo kimesema kimejipanga kuchukua hatua za Kisheria kwa kile wanachodai kuwa ni kudai haki ya ushindi walioupata katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Kauli hiyo imetolewa na Mnadhimu wa Kambi rasmi ya Upinzani katika Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Profesa Omar Fakih, wakati...
  14. A

    Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ili kulinda hadhi yake na Majaji wengine ajiuzulu

    Kufuatia kufanyika Kwa uchaguzi, ambao haukukidhi viwango vya Haki. Ni vizuri Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi, anajiuzulu na kuyakana haya matokeo. Na Majaji wakatae teuzi kwenye vyombo ambavyo, hawa taweza kufanya kazi ipasavyo kama hakuna mabadiliko ya Sheria yatakayo wawezesha kufanya...
  15. TUMEFANIKIWA KULICHUKUA GARI LA TUME YA UCHAGUZI

    👇👇
  16. GE2025 Tume ya Uchaguzi wanatafuta kitu? Waache ule ujinga mara moja

    Tume ya uchaguzi wanapaswa kutulia mara moja huu ujinga wakutangazia matokeo hewa waache kabisa hatuna utani.
  17. Mwenye taarifa za Makazi, Mali na Familia za Jaji Mwambegele na Ramadhani Kailima wa Tume ya Uchaguzi atusaidie

    Mwenye taarifa za makazi yao, ndugu zao, familia zao kama mke na watoto au wazazi na mali zao hawa watu wawili atusaidie tukawasalimie
  18. Wananchi wa Dodoma tumeni salamu hapo Bungeni na Ofisi za Tume ya Uchaguzi

    Wananchi wa Dodoma, ccm wamelitumia sana hilo jengo kupitisha sheria mbovu za kidhalimu zilizotukandamiza wananchi vibaya sana. Tunawaomba mliopo Dodoma, katumeni salamu hapo Bungeni na kwenye jengo la Ofisi za Tume ya Uchaguzi. Jeshi likichukua nchi tutawaomba tangazo la kwanza liwe ccm ni...
  19. JWTZ, Wakamateni Mwenyekiti na Mkurugenzi na Makamishna wote wa Tume ya Uchaguzi. Msiwasahau Mafwele, Murilo na Ma RPC wote

    Kwanza kabisa chukueni hii Nchi na iwe chini yenu. Pili wakamateni leo hii Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Jaji Mwambegele, Mkurugenzi wake Kailima na Makamishna wote wa Tume ya Uchaguzi. wawekeni ndani kwenye selo zenu Tatu Wakamateni Mafwele, Muliro na Ma RPC wote wanaoendesha mauaji ya...
  20. Vodacom na mitandao mingine zuieni sms za Tume ya Uchaguzi ni kero kwa watanzania

    Ni jambo la kushangaza na kusikitisha kuona Watanzania wengi wakilalamika kuhusu wimbi la jumbe zinazotumwa kila siku zikiwa na ujumbe wa “Jitokeze kupiga kura tarehe 29 Oktoba 2025 kumchagua Rais, Wabunge na Madiwani. Kura yako ni haki yako.” Wengi wanasema ujumbe huo, unaoonekana kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…