Mimi binafsi nimewahi kuwekwa mahabusu mara 6 kwa vipindi tofauti.Sababu ni ugomvi ugomvi.
Nimeanzisha huu Uzi tu share stori za mikasa na uzoefu uliopata ukiwa lock up.
Mimi naanza:
Nikiwa mahabusu woga mkubwa ni wafungwa wenzangu.Unakuta watu kibao humo, wapo walioua,kubaka,wezi, na hata...
Wakuu, hii imeshawahi kukutokea wewe katikati ya show mpira umetatuka chwaaa? Unashangaa Chuma kinaanza kukisugua Chuma kingine mpaka Cheche zinaanza kutoka? Ushawahi kupasukiwa na mpira wewe katikati ya show show?
Wakuu, kwanza sitaki kusema kwamba kutumia Dawa ni jambo baya ni jambo zuri sana ila unapotumia Dawa hakikisha unatumia km ulivyoelekezwa na Mtoa Huduma ya Afya.
Kisa changu ni hiki:
Siku hio ilikua Mwaka huu Mwanzoni km January hivi kwenda February, nilijihisi sipo sawa kifua kinabana na...
Mimi nimewahi kuacha Chuo X Mkoa fulani nikiwa naingia Mwaka wa pili, na sababu za kuacha Chuo ni majibu mabovu niliyopokea kutoka kwa Admission Officer fulani ambae hakunijibu vizuri, and I was very disappointed nikachua maamuzi ya kuachana na kile Chuo. Kuanzia siku ile niliacha Chuo rasmi na...
Nmekumbuka tu mara 3 kwa wanawake watatu tofauti wasanii ambao nimewahi kuwala.
Mmoja huyu kwa sasa anaolewa olewa na kuachika yeye nlimla kipindi hicho kwa tsh 600,000 mpaka asubuhi. Ingawa alianzia na dau la 1,000,000. Nikamwambia ni 600,000 no more no less. Akaniambia nimwache afikirie...
Kuna miaka bana nilibrowse simu nkaona nichat na bidada mmoja tukakubaliana atanitembelea mkoa nilipo, tulikuwa tunaishi mikoa tofauti. basi bana ikawa imeisha iyo, wakubwa hawatongozani, wanapeana taarifa tu.
huyu bidada tulifahamiana kitambo icho tuliwahi kuishi mkoa mmoja.
Sasa nimemcheki...
🤣🤣 kwanza nicheke kiasi.
Umewahi pewa tongozo la haja na shemeji wewe?
Basi kipindi hicho nipo Mwanza kwa dada yangu, mmewe mpole mwenyewe huwezi dhani kama ana mambo ya hovyo, nikiwa nasoma zangu huko SAUT, hivyo ukaribu na shemeji haukuwa kihiiivyo, ila siku zilivyozidi akawa ananijulia hali...
1. DAR - ES - SALAAM
Majiji Mengine ....
2. MWANZA - Ni jiji tangu enzi za Tanzania yenye majiji mawili
3. MBEYA - ni likijiji likubwa lakini kuna fursa nyingi, vyakula, unafuu wa huduma ya maji, utitiri wa vyuo, hospitali bora na huduma nyingine za jamii, n.k.
4. ARUSHA - Ni jiji zuri kwa...
2014 hiyo nipo napiga misele kwenye kagari kangu carina ti, nipo eneo halina magari ghafla nikafika sehemu nigeuze gari bila kuangalia nyuma, vile nageuza nasikia kishindo, kuangalia nyuma ni gari ya idara fulani ya usalama, akili ziliziruka maana navyosikia ukiingia 18 zao utaita maji mma...
Nakumbuka nikiwa chuoni hadi nikawa najiulizaga mwenyewe nakosea wapi mpaka nakuwa single ? Yani nilikuwa naona wivu sana wenzangu wanavyoleta madem zao huku mimi nabaki kupigwa excile, kusifia shem huku roho inauma, n.k. Niliona naweza kumaliza chuo kwa usingle
Nikaja kugundua kwamba nipo...
Binaadam yoyote akifa hana thamani tena ndani ya jamii
Hakuna anaekubali kulala na maiti ktk chumba kimoja hasa hio maiti iwe ya tajiri au kiongozi mkuu
Wakiondoka viongozi basi sisi wa chini tunatakiwa tuingie akili kwamba hatuna chetu ktk dunia.
1. Kiongozi kwa upande wa kiislam akifa nguo...
Ni hali ambayo ni ayo kwa muda mrefu. Mwanamke bila kumtomasa tomasa, kukiss, Na baadhi yao kusex siwezi kuwa free kuzungumza au kuwa rafiki yake kwa uhuru.
Inakuaje waheshimiwa?
Thread hii ipo kwa lengo la kuhadithiana visa mbali mbali tulivyokumbana navyo kati yetu, wazazi wetu na michepuko yetu.
Hapa juu naomba nianze na kisa cha kwanza 👇
Nikiwa na umri wa miaka 20, kuna kabinti fulani nilitokea kupendana nako. Kabinti hako kalikuwa kakali...
Habari wana JF,
Nilikuwa Afisa mauzo (Salesman) kwenye kampuni flani jina sitalitaja, nikiuza bidhaa aina ya Tumbaku. Kupata hela pungufu au bidhaa pungufu lilikuwa jambo la kawaida yaani short kwa ujumla, na hela pungufu umepata ndogo ni elfu hamsini na kuendelea ni short kweli kweli usipokuwa...
TUKIO LA 1:
Nakumbuka ilikua 2017 baada ya kumaliza form 6 nikaamua kwenda kumjulia hali dada yangu wa mbagara wakati narudi kuelekea home magomeni nikaona nipitie zakheim nikale matunda huwa pamechangamka sana pale
Pale mbagala zakheim kuna daladala zinazoenda mbagala kuu na kijichi aisee...
Tuliowahi kuwa wahanga wa kufanyiwa umafia, kukodishiwa wezi au wauaji kwenye madili tukutane hapa
Njlifika mkoa x kukamjlisha dili la milioni kadhaa, mzigo ilinibidi niufate mwenyewe.
Nilipofika wenyeji wakanipeleka lodge nzuri, niliona ni ukarimu maana hata watu wa mkoa huo ukarimu sifa yao...
Watu huwa wanasema mnyama hatari asie na huruma ni Mbwa mwitu na fisi lakini mimi niseme kwamba kuna wanadamu ni wanyama hatari kuliko kiumbe chochote
Njlifika mkoa x kukamjlisha dili la milioni kadhaa, ni mali ambayo ilibidi niifuate.
Nilipofika wenyeji wakanipeleka, niliona ni ukarimu maana...