tuliowahi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ikhlas

    Tukutane hapa tuliowahi kutoa na kupewa talaka, tujadili maisha baada ya talaka

    Habari wanabodi wenzangu, Katika maisha kuna kuoa na kuolewa, hivyo kuna kutoa talaka na kupewa talaka. Katika hali zote hizo maisha yanaendelea, kuna ambao hufanikiwa zaidi au kurudi nyuma kimaisha chanzo kikiwa ni talaka. Changamoto na faida pia hujitokeza, wengine hufikia hali kujuta kwanini...
  2. sky soldier

    Tuliowahi kuibiwa vitu majumbani, kwenye gari, n.k -- ni kitu gani hukudhania wangeiba?

    Binafsi nakumbuka nikiwa chuoni Arusha, kuna siku nlikuwa nahamia geto flani. Basi tripu ya kwanza nilipeleka mapazia, meza na kitanda. Sasa wakati nimemaliza kufunga kitanda nimechoka hatari, nikanunua bia mbili, kwajili ya mimi na jamaa kanisaidia kufunga kitanda, tulipiga pafu moja tu...
  3. Expensive life

    Tuliowahi kuwa "madomo zege" tujuane hapa

    Nakumbuka miaka ya nyuma nilimpendaga binti mmoja, sasa kimbembe kilikuwa kumwambua nakupenda. Kuna siku nikasema hapana kumwambia ana kwa ana nimeshindwa ngoja nimwandikie barua, nikaingia zangu chimbo nikaiandika barua yangu nikaitia kwenye baasha nikampa dogo ampelekee. Dogo naye kufika...
  4. ommytk

    Uzi kwa tuliowahi kutapeliwa au kuibiwa.ebu tuje hapa tukumbuke.mimi nakumbuka kko niliuziwa matambala

    Matapeli au wezi ni watu wenye akili sana kwenye kazi yao mimi nakumbuka kwenye miaka 90 hivi nilienda kko kununua nguo sikukuu basi nikakuta suruali nzuri ya kitambaa jamaa kaishika anauza nikaipenda akanipa bei basi natoa hela akawa anafunga kwenye mfuko karatasi zamani ilikuwa mifuko karatasi...
  5. mkenya wa kova

    Kwa tuliowahi kuibiwa na ma dada poa au malaya tukutane hapa

    NDUGU ZANGU... Mnamo mwezi wa sita mwaka huu nikiwa nchini kenya.baada ya kuzunguka katika kaunti zake kazaa kikazi nikitokea dar es salaam tanzania (si mara yangu ya kwanza kwenda kenya) nimejikuta niko kaunti ya kisumu.nimekaa katika kaunti tangu tareh 20 mwezi wa saba,nimeondoka juzi tareh...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    Nimekumbuka hii nikacheka sana; tuliowahi kukojoza kitandani tukiwa boarding njooni tutoe ushuhuda

    Wakuu Kwema! Leo Taikon nimekumbuka Maswahibu yaliyonikuta nikiwa Advance huko Matema Beach High School, Kyela mkoani Mbeya. Taikon ni mtu wa Stori, mjanja mjanja, mcheshi, na mtu wa watu. Taikon ni mtu anayeongea na kila mtu. Hapendi mtu akwazike. Siku zile nikafika shuleni, Kyela ikiwa...
  7. K

    Tuliowahi kufukuzwa kazi tukutane tupeane experience

    Kati ya vitu vinavyouma katika maisha ni kufukuzwa kazi, nakumbuka miaka kadhaa nyuma baada ya kumaliza degree yangu nikabahatika kupata kazi kwenye kitaasisi kimoja hivi. Nikapiga kazi kwa kujituma sana aliekuwa boss wangu akawa ananichukia mno visa kila siku kikianza hiki kinakuja hiki nikawa...
Back
Top Bottom