Dr. Tulia Ackson (born November 23, 1976) is the Speaker of the National Assembly of Tanzania, in office since 2022. She was appointed as a Member of Parliament by President John Magufuli.
Mgombea ubunge wa jimbo la Uyole jijini Mbeya Dkt Tulia Ackson, amewaomba wananchi kujitokeza kupiga kura siku ya oktoba 29 ili kuchagua viongozi wanao wahitaji kuwaongoza baada ya uchaguzi mkuu.
Dkt Tulia ameeleza hayo wakati akinadi sera kwa wakazi wa kata ya Ilemi ambapo amewaambia kua...
Mgombea Udiwani wa Kata ya Igawilo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Msole Sanga amepongeza jitihada za Dkt. Tulia Ackson kwa namna alivyowasaidia wananchi wa kata hiyo pamoja na Jimbo jipya la Uyole kwa ujumla, licha ya kumpigia magoti akiomba ujenzi wa barabara za lami katika mtaa wa...
Mgombea Ubunge wa Jimbo jipya la Uyole Dkt. Tulia Ackson amesema ili kuinua secta ya kilimo ndani ya Kata ya Iganjo jijini Mbeya watahakikisha Mbolea za Ruzuku na Pembejeo zote za kilimo zinapatikana kwa wingi ili kuongeza tuja katika uzalishaji wa mazao ya chakula na biashara kwa wakazi wa kata...
Mgombea ubunge wa jimbo jipya la Uyole, jijini Mbeya, Dkt Tulia Ackson, amewaondoa hofu wananchi wa kata ya Iduda, kuwa ilani ya chama cha mapinduzi inaeleza namna itakavyo boresha miundombinu ya barabara inayounganisha kata hiyo na Mbeya vijijini hadi Rungwe ambayo imekua shida kwa wakazi wa...
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Dkt. Tulia Ackon, leo tarehe 25 Agosti 2025, amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya wananchi wa jimbo jipya la Uyole katika Uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu.
Dkt. Tulia amechukua fomu hiyo katika ofisi za tume huru ya Uchaguzi zilizopo katika...
RANGO!
You hate death wapi weweeee.. watu wengi wanatekwa na kupotezwa kila uchwao, huumizwi. Mzee Kibao alitekwa na kuuwawa, hukusikitika. Uliishia kukejeli.
You hate death wakati ulizuia hoja ya utekaji kujadiliwa? Mdude ambaye alitekwa jimbo kwako, hujawahi hata kutoa pole. Unaumizwa na...
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dkt. Tulia Ackson, ameongoza majadiliano muhimu yaliyoandaliwa na UN Women kwa kushirikiana na wadau mbalimbali, yaliyolenga kutafuta suluhisho la kudumu kwa changamoto zinazowakabili wanawake na...
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dkt. Tulia Ackson, tarehe 22 Julai 2025, amefungua rasmi Kikao cha Jukwaa la Kibunge katika Mkutano wa Ngazi ya Juu wa Umoja wa Mataifa wa Mwaka 2025 kuhusu Maendeleo Endelevu (Parliamentary Forum at the...
Huu ndio ukweli ila hakuna aliejiuzulu kwasababu hawajakomaa kisiasa, siasa imekuwa biashara, hawakuandiwa kwa viongozi, hawasomi historia na zaidi wametawaliwa na tamaa ya fedha na madaraka na ndio maana hakuna hata mmoja alieona thamani ya kujiuzulu ubunge na kukataa kuwa sehemu ya Bunge...
Wakuu,
Kwa sasa jimbo hilo halina Mbunge baada ya aliyekuwapo Dk Tulia Ackson kutangaza kugombea Jimbo jipya la Uyole katika uchaguzi mkuu ujao.
Mpaka sasa makada watano wa CCM, wametia nia kulitaka jimbo hilo wakiwa ni Nsomba, Mwandishi wa Habari, Charles Mwakipesile, aliyewahi kuwa...
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Ackson, amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea ubunge katika Jimbo jipya la Uyole, mkoani Mbeya.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi...
Wananchi wa Jimbo la Uyole Mkoani Mbeya wamemchukulia fomu ya kuwania Ubunge Dkt. Tulia Ackson katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2025 hapa nchini.
Akizungumza baada ya kuchukua fomu hiyo kwa niaba ya wananchi wa Jimbo la Uyole Adil Mwansepele amesema kilichowasukuma...
Kwa Wanasheria na Mawakili, Moja ya kosa kubwa kabisa linaloweza kukufanya uzuiwe kuendelea kufanya kazi za Uwakili ni pale unapothibitika kufanya kosa la kitaaluma yaaani professional misconduct.
Katika sekta ya Sheria Proffesional Misconduct ya juu kabisa ni kudharau Mahakama. Ikiwemo...
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Tulia Ackson amesema ni muhimu wananchi na viongozi waelewe majukumu ya mihimili ya dola na kuheshimu mipaka yake, ili kulinda utawala wa sheria na demokrasia ya kweli.
Akizungumza leo Jumapili Juni 15, 2025 Ikulu jijini Dodoma katika hafla...
Kuna la kujifunza kwa Tulia Ackson Mwansasu kwa jinsi lvyoweza kujinyenuekeza kwa mumewe pamoja na cheo chake kuwa kikubwa.
Kuna hawa mburukenge wa kitaa ambao mafanikio kiduchu tu yanawafanya kugeuka kuwa kunguru.
*Mwanamke kapata ubunge tu, tayari anaanza jeuri. Mfano Jesca Kishoa alikuwa...
Spika wa Bunge na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dkt. Tulia Ackson ametumia mazishi ya aliyekuwa Askofu Mkuu wa kwanza wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG), Askofu Immanuel Lazaro kuwataka Watanzania kuliombea Taifa katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu ili viongozi wapatikane kwa...
Wiki chache zilizopita Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Tulia Ackson akihojiwa na television ya Wasafi alitetea kitendo chake cha kuvunja Katiba kwa kuruhusu Wabunge 19 waliofukuzwa na Chadema kuendelea kuwa wabunge bila kuwa na Chama bungeni huku wakilipwa mamilioni ya fedha...
Wakuu,
Sheikh Ponda ametema cheche jinsi Spika Tulia alivyozingua na kucheza na maisha ya Watanzania kana kwamba matukio haya hayatokei na watu hawatekwei.
====
Sheikh Ponda amesema;
"Namkumbusha Tulia Utekaji sio suala la kisiasa au la kubabaisha, ni suala linalohusu uhai wa watu. Ni suala...
Majibu fikirishi kutoka kwa Mh Tulia Ackson kuhusiana na kupotea kwa Mh Mdude Nyangal, mwanachama wa CHADEMA
Spika na Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Tulia Ackson akifafanua hoja ya Bunge kutotoa maelekezo kuhusu uwepo wa matukio ya Watu kudaiwa kutekwa na wengine kupotea Nchini, amesema hiyo...
TAREHE 2 MEI, 2025 | KIBAHA
Kwa heshima kubwa, Klabu ya Uzalendo Wilaya ya Kibaha ilipata fursa adhimu ya kukutana na kufanya mazungumzo na Mtangazaji Kinara Mstaafu wa BBC na Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Crown Media, Ndugu Salim Kikeke.
Katika mazungumzo hayo ya kihistoria, Mwenyekiti wa Klabu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.