tulia ackson

Dr. Tulia Ackson (born November 23, 1976) is the Speaker of the National Assembly of Tanzania, in office since 2022. She was appointed as a Member of Parliament by President John Magufuli.

View More On Wikipedia.org
  1. Uzalendo Club Tanzania

    JamiiForums Tanzania Mchakato wa uanzishaji wa Taasisi ya Uzalendo na Malezi Tanzania (TUMT)

    TAARIFA RASMI | MCHAKATO WA KUANZISHA TAASISI YA KITAIFA YA UZALENDO NA MALEZI TANZANIA (TUMT) Kwa mujibu wa haja ya dharura ya taifa katika kujenga msingi imara wa maadili, uzalendo wa kweli, na malezi chanya ya kizazi kijacho, Klabu ya Uzalendo Wilaya ya Kibaha imeanza rasmi mchakato wa...
  2. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tulia Ackson: Kwanini Ulaya waone Mahakama zetu hazina uwezo?

    Wakuu, Akiwa anazungumza kwenye kipindi cha Goodmorning cha Wasafi, Tulia Ackson amekosoa vikali azimio la Bunge la Ulaya kuhusu kutaka Serikali ya Tanzania imuachie Tundu Lissu "Baadhi ya sheria kama Uhaini, mapenzi ya jinsia moja yote yalianzishwa enzi za ukoloni, sasa hivi wamebadilisha...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania "Shemeji Bungeni!" Mume wa Spika Dkt. Tulia akitambulishwa, Sauti yasikika kwa mbwembwe

    Wakuu! Huko Bungeni wakati anatambuliswa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) Dkt. James Andilile Mwainyekule ambaye pia ni mume wa Spika Dkt. Tulia Ackson kuna sauti imesikika ikisema ''Shemeji''
  4. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Spika Dr.Tulia: Rais Samia anafanya vizuri kuliko wanaume

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan anaendelea kufanya vizuri zaidi ya baadhi ya Viongozi wa kiume akieleza kuwa mafanikio yake ni ushahidi wa uwezo mkubwa wa Wanawake katika uongozi. Dkt. Tulia...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa utambulisho alioufanya Spika Tulia Ackson Bungeni kwa Mumewe sasa nimeamini kuwa Ukioa tu Mwanamke wa Mkoani Mbeya jiandae Kutawaliwa nae mazima

    Nilidhani atamtambulisha Muwewe (Boss wa EWURA) kwa Majina yake yote Matatu au hata Yeye pia kuacha Kujiita Tulia Ackson Mwakyusa na kujiita Tulia Andilile Mwainyekule lakini kila Mtu kabakia na Jina lake la Ubini / Ukoo ikidhihirisha kuwa ni kweli Wanawake wa Mkoa wa Mbeya wanapenda mno kuwa...
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt Tulia: Mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi ni muhimu sana kuchagua viongozi wanao hubiri amani na kutujali kama Rais Samia

    Dkt Tulia Ackson Mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi ni muhimu sana kuchagua viongozi wanao hubiri amani na kutujali kama Rais Samia ambaye anataka kutujengea kawe yetu ibadilike. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio...
  7. 1Africa54

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya kwenda Liwale haifaiiii

    Kero jamani tunaomba serikali iangalie barabara ya kwenda liwale ni mbovu hatari, tunaomba liwale iunganishwe kwa lami kutoka nachingwea to liwale iwe lami Barabara haifai kutoka liwale to songea via tunduru tunaomba lami kutoka liwale to dar es salaam lami tunaomba kutoka liwale to morogoro via...
  8. BigTall

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Tulia Ackson atunukiwa Tuzo ya Heshima ya Malkia wa Nguvu

    Kwa niaba ya Dkt. Tulia, tuzo hiyo imepokelewa na Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais -Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Zainab Katimba. Alizaliwa Novemba 23, 1976 kijijini Mabonde Tukuyu Mkoani Mbeya na kupata elimu ya msingi katika Shule ya Mabonde na baadaye kupata elimu ya...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Tulia atoa msaada wa mavazi kwa zaidi ya watu 130

    Taasisi ya Tulia Trust Chini ya Mkurugenzi Wake ambaye ni Mbunge wa Mbeya Mjini, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Mhe. Dkt. Tulia Ackson imeendelea na Zoezi la Kutoa Msaada wa Mavazi kwa Wananchi Wenye uhitaji Walio pata msaada huo leo...
  10. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Tulia atoa misaada kwa wananchi wenye uhitaji Ilomba

    Taasisi ya Tulia Trust chini ya Mkurugenzi Wake ambaye ni Mbunge wa Mbeya Mjini, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani(IPU) Mhe. Dkt. Tulia Ackson imefika Kata ya Ilomba na kuwapa msaada wa mavazi wananchi 22 wenye uhitaji. Leo 23 Machi 2025 Tulia...
  11. upupu255

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Tulia kujenga nyumba nyingine nne kwa wahitaji wenye makazi duni Mbeya

    Spika wa Bunge la Tanzania na Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Dkt. Tulia Ackson, kupitia Taasisi yake ya Tulia Trust, wamesema pamoja na kuendelea na ujenzi wa nyumba ya Mzee Obed Ambonisye, anayeishi kwenye mazingira magumu pamoja na familia yake katika Kijiji cha Matema, Wilaya ya Kyela, Mkoa...
  12. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makamu Mwenyekiti wa BAWACHA Taifa: Dkt.Tulia sitisha ugawaji wa nguo, utaaibika!

    Mwenyekiti wa Wa Balaza la Wanawake Chadema Mbeya, ambaye pia niMakamu Mwenyekiti wa BAWACHA Taifa, Elizabeth Mwakimomo amewataka wanachama na wasio wanachama kufika katika mkutano wa hadhara ambao utazindua kampeni ya 'No reform no Election ' kwa Kanda ya Nyasa ili kuwaeleza wananchi juu ya...
  13. upupu255

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbeya: Dkt. Tulia Ackson afuturisha Waumini 200 wa dini ya Kiislam

    Taasisi ya Tulia Trust chini ya Mkurugenzi wake ambaye ni Spika wa Bunge, Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani(IPU) na Mbunge Mbeya Mjini Dkt. Tulia Ackson imetoa futari kwa waumini 200 wa dini wa kiislam. Futari hiyo imekabidhiwa leo Jumatano, Machi 19,2025 kwa Shekhe Mkoa wa Mbeya, Msafiri...
  14. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu akijivua uanachama Chadema, nitampigia kampeni Tulia Ackson achukue ubunge wa Mbeya Mjini

    Nasikia kina Sugu na MBOWE wanataka kuanziaha chama chao ambacho kipo sponsored na CCM na wameahidiwa kwamba chama hicho kipya ndio kitabeba viti vingi vya upinzani. CHADEMA wameshasema No Reform no election, kina Sugu waroho wa madaraka wanadhani wataenda bungeni kirahisi, nawahakikishia...
  15. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbeya yaanza mchakato wa kuligawa jimbo la Mbeya Mjini alipo Tulia Ackson na kupata jimbo lingine la Uyole

    Wakuu, Wameona wamtengee kabisa Tulia jimbo asipate tabu ya kusumbuana na Sugu, maana wanajua ataibika! ==== Halmashauri ya Jiji la Mbeya imependekeza kuanza mchakato wa kuchunguza na kuligawa Jimbo la Mbeya Mjini kupata jimbo jipya la Uyole, katika Uchaguzi Mkuu Oktoba 25, 2025. Jimbo...
  16. Mudawote

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia Ackson kama Rais Trump alikataa Kuburuzwa na Propaganda za Ukraine

    Dkt. Tulia Ackson Mwasau, Spika wa Bunge la Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), alionesha ujasiri wa kipekee alipokataa kuburuzwa na propaganda za kijinga zinazolenga maslahi ya baadhi ya watu au nchi, hususan mashambiki wa Zelensky na Ursula. Katika msimamo wake thabiti, Dkt...
  17. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Tulia awataka vijana kujitokeza kugombea kwakua CCM imejipanga kushika dola

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, ambaye pia ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mlezi wa CCM kwa Mikoa ya Kusini na Kaskazini Unguja, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amesema kuwa CCM imejipanga kikamilifu kuhakikisha inaendelea kushika dola...
  18. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia Ackson alivyofungua Mkutano wa uwasilishaji wa maazimio ya Umoja wa Mabunge Duniani (IPU)

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt. Tulia Ackson, tarehe 14 Februari 2025, amefungua Mkutano wa uwasilishaji wa maazimio ya Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) kuhusu taarifa za utekelezaji wa malengo ya maendeleo endelevu (SDGs) na...
  19. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Spika Tulia: Hakutakuwa na ugumu wowote kwenye kampeni za mwaka huu. Mengi yaliyokuwa yanalalamikiwa, sheria zimebadilishwa

    Wakuu, Tulia anasema hana presha yoyote kwenye Uchaguzi Mkuu 2025. Katika Mahojiano Maalum aliyofanya na ManaraTv Dkt.Tulia ameeleza kuwa hakutakuwa na ugumu wowote kutokana na mambo yaliyokuwa yakilalamikiwa yamefanyiwa maboresho ikiwemo ubadilishaji wa baadhi ya sheria.
  20. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee na Tulia Ackson wakiwa na vibe kama lote Dodoma leo

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dkt. Tulia Ackson, akifurahi jambo na Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA, Mhe. Halima Mdee Jijini Dodoma leo tarehe 26 Januari, 2025.
Back
Top Bottom