tukio

Arto Tukio (born April 4, 1981) is a Finnish professional ice hockey defenceman, currently playing for Ilves in the SM-liiga.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania TEC: Makao makuu ya baraza la maaskofu yamevamiwa na heshima ya taifa imejeruhiwa

    Makamu wa Rais Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania TEC Askofu Eusebius Nzigilwa akizungumzia tukio la kushambuliwa kwa katibu wa baraza hili Padre Charles Kitima amesema wanatafakari na kujiuliza ni ni hasa kinachoshambuliwa kwa tukio kama lile. "Anashambuliwa mtu,, inashambuliwa taasisi, au...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Matangazo Mubashara Tumaini Tv, mtu anapigwa vijembe muda huu. Ni tukio la kusimikwa askofu katoliki jimbo Bagamoyo..

    Nukuu; 1. Bora kuadhibiwa kwa kusema ukweli, 2. kiongozi usitimie mamlaka kwa kulazimisha watu kufuata matakwa yako binafsi. Wapo Dr. Mpango na RC Dar Es Salaam.
  3. JamiiForums Tanzania LHRC yalaani tukio la Mdude Nyangali kuvamiwa, kuchukuliwa na Watu wasiojulikana

    KUKEMEA NA KULAANI VIKALI SHAMBULIO DHIDI YA NDUGU MDUDE NYAGALI Dar es Salaam, 02 Mei 2025 Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kinalaani na kukemea vikali shambulio dhidi ya ndugu Mdude Nyagali lililotokea usiku wa kuamkia tarehe 2 Mei 2025 akiwa nyumbani kwake mkoa wa Songwe. Hivi...
  4. JamiiForums Tanzania Yule anayetoa pole mtu akipata madhila kwenye kurasa za Rais Samia kaenda likizo kwenye tukio la Kitima?

    Wakuu, Ni swali tu nauliza maana kama sijaelewa hivi👀 Tumekuwa tukiona watu mbalimbali maarufu na hata kundi la watu wakipata madhila Rais Samia kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii hutoa pole, na kwengine huenda mbali hata kutoa mkono wa pole, na kwa wengine hufika kabisaaa, kama...
  5. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi mnakumbuka lile tukio la Zakaria alivyowatandika risasi? Basi ndio mnataka kuwa hivi kwa mtindo wenu

    Afande Muliro usipojiangalia kwa kauli zako nyepesi na majibu rahisi utakuwa unajiwekea wakati mgumu kwa wananchi na Polisi Tanzania nzima. Mpaka sasa ni wazi polisi mshakuwa na mifumo ya wahalifu ambayo hata kupelekea mwanya huu ndani ya watawala na watu wengine kutumia mtindo wenu. Kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Kwa namna ambavyo inaelezwa tukio la kukamatwa Mdude, ni vigumu sana kupatikana tena!

    Inaweza kuwa ni Polisi kama inavyoelezwa lakini hakuna jipya kwao kuhusu usalama wa watu wanaokamatwa siku za karibuni. Siku hizi Polisi wanakuchukua hadharani na unarudi maiti au hupatikani tena na hakuna jambo lolote linalofanyika. Hawaambiwi chochote ndiyo maana nasema kwao hakuna tena jipya...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ukimya wa Mkuu wa KKKT, Askofu Alex Malasusa tukio la Padri Kitima unatia shaka

    Ukimya wa Mkuu wa KKKT,Askofu Alex Malasusa kukaa kimya hadi sasa tangu kutokea tukio lililomkumba Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima, unaweza kuibua maswali mengi, hasa ikizingatiwa kuwa viongozi wa dini mara nyingi huonyesha mshikamano wanapokumbwa...
  8. JamiiForums Tanzania Ukiona tu Tukio lolote Baya limetokea halafu akatokea Kiherehere Mmoja kujifanya ameumia nalo kwa 100% jua kwa 200% Yeye ndiyo Kalitenda na Anajihisi

    Chama cha Mapinduzi (CCM), kimelaani shambulio dhidi ya na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima kikisema ni tukio la kihalifu. Chama hicho kimekwenda mbali na kutoa maagizo kwa Jeshi la Polisi kuhakikisha wahusika wote wa shambulio dhidi ya kiongozi...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Tangu nizaliwe sijashuhudia tukio kama hili lililofanyika katika kijiji cha Utegi

    Wanajeshi wa Ulinzi wa Wananchi wamechukua eneo iliyokuwa shamba la mifugo la Utegi bila ridhaa kwa kuwa Shamba hili tayari ilikwishagawiwa kwa wananchi wa Vijiji vinavyozunguka shamba hilo. Malipo kwa Serikali iliikwishafanyika na shamba ilikabaki mikononi mwa vijiji hivyo. Ghafla katika...
  10. JamiiForums Tanzania Polisi: Tunamshikilia Mtu mmoja kutokana na tukio la Padri Kitima kushambuliwa

    MMOJA ASHIKILIWA KWA KUHUSISHWA NA TUHUMA ZA KUJERUHIWA KWA PADRI KITIMA Tarehe 30 April 2025 majira ya saa nne usiku maeneo ya Baraza la Maaskofu Tanzania Kurasini Temeke Dar es salaam ilipokelewa taarifa ya kujeruhiwa kwa Padri Charles Kitima ambaye ni Katibu wa Baraza la Maaskofu Tanzania...
  11. JamiiForums Tanzania Kama huamini uchawi kwenye biashara basi wewe bado sana kwenye biashara,sitasahau hili tukio

    Habari zenu wana jamiforum ,hakika hili jukwa linazidi kuwika kila siku maana kila unachohitaji kujifunza kipo hapa . TWENDEE KWENYE MAADA. Katika harakati za kufanya biashara yangu ya dagaa nilipata mteja mmoja ambae sijawahi na sikufikiria kuwa inaweza kuwa hivyo maana mambo ya ushirikiana...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa tukio la jana la Mahakama ya Kisutu, bado uongozi wa chadema haujawaelewa G55 kwamba ni vigumu kuzuia uchaguzi kwa maandamano?

    Wahenga wanasema, shetani akitaka kukusababishia majanga, kwanza lazima akupe kiburi cha kukataa kila ushauri. Kama unaumwa, kwa makusudi unakataa kwenda hospitali, kama mto umejaa maji, unaambiwa usivuke, kwa kiburi unavuka. Kama ilikuwa ni ku-test theory, jana chadema wameona. Wana chadema...
  13. JamiiForums Tanzania Tukio la Mwijaku, serikali Imenajisiwa

    Hivi karibuni Mwijaku kalizua baada ya video kusambaa ikionyesha watoto wa chuo wakimgombania. Kwenye malumbano Yao inaonekana mara mwisho Mwijaku alizini na mmoja kati Yao mwanzoni mwa mwezi huu ikiwa ni ndani ya mwezi mtukufu wa ramadhani na mfungo kwaresma pia. Ikumbukwe ana mke na...
  14. JamiiForums Tanzania Tukio la kupasuka kioo cha ndege kilicho mtoa rubani na kupona

    Mnamo Juni 10, 1990, Ndege ya British Airways nambari 5390 ilikuwa safarini kutoka Birmingham kuelekea Malaga. Ilipofika urefu wa takriban futi 17,300, tukio la kutisha lilitokea baada ya kioo cha mbele cha ndege kujitenga ghafla wakati ndege ilikuwa ikiruka katika urefu wa juu. Nguvu ya...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Ukimya balonzi za nje zilizopo hapa nchini na kutokulaani tukio la kukamatwa Tundu Lissu na kufunguliwa kesi ya uhaini.

    Tumezoea kuona hizi balozi za nje mfano Marekani, EU n.k zilizopo hapa nchini zikitoa matamko ya kulaani pale zinapoona kuna uminyaji wa demokrasia nchini, lakini hawamu hii tangia kukamatwa mwenyeketi wa CHADEMA taifa Tundu Lissu na kuwekwa kolokoloni ni kimya kimetawala hamna ubalozi uliotoa...
  16. W

    JamiiForums Tanzania Picha hii inakukumbusha tukio gani?

  17. JamiiForums Tanzania Tukio la Kupigwa kwa Katibu Mwenezi wa BAWACHA, Bi. Sigrada Mligo na Kudhoofika kwa Uongozi wa CHADEMA

    Tukio la kupigwa kwa Katibu Mwenezi wa Baraza la Wanawake la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Bi. Sigrada Mligo, na mlinzi wa makamu mwenyekiti wa chama hicho, John Heche, Noel Ilivale, ni tukio linalosikitisha na linastahili kulaaniwa kwa nguvu zote. Tukio hili linavunja kabisa...
  18. JamiiForums Tanzania Tukio la basi la Yanga kwenda Mo Simba Arena kule Bunju linatakiwa liondoke na watu pale Yanga

    Ndugu zangu, matukio ya siku chache zilizopita mnaweza kuyachukulia kwa utani ila ni matukio serious sana ambayo yangeweza kuleta maafa makubwa. Sitaongelea tukio la Simba kushindwa kufanya mazoezi wala Yanga kupeleka timu uwanjani maana kuna nyuzi nyingi zinazozungumzia hayo. Mimi nitaongelea...
  19. JamiiForums Tanzania Zimwi la tukio la Mwanza bado linaiandama Simba

    Watu wengi hawana upeo wa kuconnect dots kwa hiyo ngoja niwasanue jambo. Kuna lile tukio lililotokea kule Mwanza lililomuhusisha Mkuu wa Mkoa wa Mwanza aliyejaribu kutumia mamlaka yake vibaya hadi kuzua taharuki kubwa. Tukio lile halikuwapendeza baadhi ya watu wanaodhani na kuamini wana...
  20. JamiiForums Tanzania Mechi ya Yanga na Simba ni tukio la Kisiasa mpaka kuhairishwa kwake.

    Leo ikiwa siku ya wanawake duniani Rais atakuwepo Arusha hivyo taifa linapaswa kumsikia. Hivyo nahisi kwa sense yangu ya Sita ambayo ni "intuition" Hivyo tukio lilipangwa kimkakati kabisa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…