Mwamba kabisa Semaji la Simba linatamani timu zote zitolewe isipokuwa Simba kwenye michuano ya kimataifa halafu wabaki Simba Peke yao, Timu anazotamani zitolewe ni Yanga, Azam na Singida Black Stars.
Neno moja Kwa semaji.
Wakuu
Akiwa anazungumza leo Agosti 20 Mdahalo wa Wadau wa Amani Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Wabunge na Madiwani 2025 Kamanda Muliro wakati anafunga hotuba yake ametoa kauli hii:
"Nina hakika kwa Jeshi hili sidhani kama yupo anaependa kufa"
Tuhimize watu Wakubali turudi kwenye Maandiko ya Mwenyezi Mungu kila Mtu kwa imani yake .
Aliye Mnafiki aambiwe ni Mnafiki
Aliye na Ukafiri wa kukiuka viapo aambiwe wewe ni Kafir
😳😳
Kwa sababu
Kimsingi
Tukisoma katiba yaJamhuri ya Muungano wa Tanzania 1977 toleo 2005 ibara 26(1)(2) ibara 09...
Sijui uko wenzwetu uku kwetu mambo yamekuwa magumu balaaa sijui ndio ukiona ugumu kuna neema mbele inakuja.maana hapa ata wakisema kuingia 2025 uwe na laki 2 naona bado kuna kubaki 2924
Kila kukicha kundi moja linalaumu kundi jingine.
Eeeehh mara hivi mara vile.
Dawa ni kila mmoja abaki na kitu chake anachoona ni cha thamani.
Mapenzi zama hizi hayana faida . Mambo ya kugeuzana ATM machine hapana.
Ni biashara ya upande mmoja.
Habari wakuu?
Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Baada ya Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) kutangaza matokeo ya mitihani ya Kidato cha Nne (CSE), nimetafakari sana na kugundua njia nzuri ya kuboresha elimu hapa nchini ni ama kufuta au kutaifisha shule zote za binafsi ili...
Production zetu bongo c nzuri na Biti zetu nyingi ni legevu na zisizoweza kushindana na Nigeria.
Nimekuwa naenda Club nyingi za usiku, ila Kila zinapopigwa nyimbo hizi mbili yaani Amelowa ya harmonize na Yataniua ya diamond naona kabisa ni Biti za tofauti na ni Kali sana kiasi kwamba nahisi...
Kauli ya Zitto imetokana Rais Mwinyi kumteua Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), ambapo chama hicho kinapinga kwa madai alihsika kuvuruga Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020.
Kiongozi huyo wa ACT Wazalendo, amesema kabla ya kuingia Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) walienda kwa wanachama na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.