Tukio la kukamatwa kwa Deogratius Tarimo lililotokea katika eneo la Kiluvya linaonekana wazi kabisa kuwa alikuwa ana kamatwa na watu ambao walijitambulisha kuwa ni Askari, hakuwa anatekwa.
Mwenye akili hawezi kusema kuwa eti alikuwa anatekwa! Utekaji hauwezi kufanyika vile.
Waliomkamata...
Kuna kijana kwenye mtandao wa kijami ameibua mjadala ambao nimeusikia na Clouds kwamba Tanzania kuna tabia iliyoota mizizi ya ya raia kujichukia sana(self-hate mentallity). Mifano yake aliyotoa sasa kwamba tuko vizuri ndio imenichekesha anazungumzia SGR, movie ya Idriss Sultan huko Netflix...
Mpaka nimekumbuka ile kauli ya akili za kuambiwa, unatakiwa kuchanganya na zako
Ukitembelea mjini MMU utakutana na nyuzi kibao za kuwaponda wanawake, watoto wa kike, vitoto vya 2000, nyuzi za kupinga ndoa (kataa ndoa), uanachama na wanachama wa Kataa Ndoa n.k Kila mtu anamsemea mwanamke kwa...
Nikiwasikiliza viongozi wetu ni kama wanalalamika na kutupa lawama kwa Wananchi kwamba hatupendi kutumia gesi dhidi ya kuni na mkaa.
Ukweli mbona mnaujua, hakuna Mwananchi atakayehangaika na kuni au mkaa kama gesi itapatikana kwa urahisi. Muda na nguvu inayotumika kuhubiri nishati safi iende...
I salute you kinsmen.
Kwa kweli Simba ya sasa ni hatari sana mpaka wanayanga tunaogopa sana hata match yenyewe.
Yaani mimi naona wazi kabisa siku hiyo matokeo hayatakuwa upande wetu kama mzunguko uliopita walipokula 5.
Mzunguko simba wamekuwa hatari sana uwanjani kuliko yanga tujipange sana...
Wadau hamjamboni nyote?
Hayo siyo maneno ni nukuu kutoka maandiko matakatifu
Muache kuwasema vibaya watumishi wa Mungu
Niombe tupigw hesabu kama ni Hela zinatolewa kama sadaka Kwa Kanuni hiyo hapo juu kuhani atastahili kupata asilimia ngapi ya sadaka
Niwatakie sabato njema
1 Makuhani...
Katika zama ambazo Ukoloni mamboleo umeshamiri ni bora tushauriane katika kujikita katika kufanya kazi ili kujitafutia maendeleo binafsi .
Nafahamu kwamba Siasa ndio kila kitu lakini kulaumu na kuumiza vichwa kuhusu wanasiasa haisaidii kubadili maisha magumu tuliyonayo .
Kama kuna watu...
Kama ulikuwa unawaza nahodha wa Simba, Mohamed Hussein 'Tshabalala' anaweza akatundiga daruga hivi karibuni, basi sikia majibu yake.
Tshabalala amejibu swali aliloulizwa na Mwananchi kutokana na kucheza kwa kiwango bora ndani ya misimu 10 katika kikosi cha Simba hawazi kustaafu?
Na haya ndiyo...
Pamoja na vyombo vya habari kupotosha taarifa nyingi zilizotolewa na wanachi kuhusu kutofurahishwa na nguvu kubwa ya kuzima maandamano, watanzania tunapaswa kujua kuwa tusipokuwa na upinzani imara nchi hii tutakuwa kama yatima, hapatakuwepo wa kututetea pale watawala watakapokuwa wanafanya jinsi...
Tuache kuamishana ujinga ukweli ni kwamba Tanzania haiwezi kuendelea kamwe.
Watu wajinga wajinga wenye tuakilli tudogo wanatwaa madaraka akishaanza kulindwa siku mbili tatu na polisi na wanajeshi anaona kamaliza kila kitu.
Hawa watu wenye tuakili tudogo ambao hata elimu zao tu hazieleweki eti...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amesema Serikali haitavumilia ukiukwaji wa haki za Binadamu na hatua zitachukuliwa kwa yeyote atakayebaini kuhusika na tukio la mauaji ya Ali Mohamed Kibao.
Amesema hayo wakati akitoa salamu za Serikali Jijini Tanga wakati wa Msiba wa...
Enzi za jpm watu wameuawa wengi san ama directly kwa kupigwa risasi au kupotezwa au indirectly kwa pressure baada ya account zao kuwa freezed ghafla eti haijulikani pesa zao walizipataje. Mfano Nimrodi mkono ambaye account zake zote zilifungwa baadae akafa kwa pressure. Wengine waliokuwa vhafla...
Kisheria bodi ya mikopo ya elimu ya juu pekee ndiyo bodi rasmi ya serikali ya kutoa mikopo, kulingana na vigezo mbalimbali vilivyowekwa. Wako vijana wanaokosa mikopo wakati wanavyo vigezo vyote, kwanini fedha hizo zielekezwe kwa wengine ilihali ni fedha ya umma na inatolewa kwa mfumo na...
Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane!
Kumekuwa na Video ya Binti mmoja inayozunguka mitandaoni ikionyesha namna anavyobakwa na kukawitiwa na Vijana kadhaa,Vijana hao ambao wamesikika wakitamka hadharani na kumshurutisha yule Binti akili hadharani na kumuomba radhi Afande.
Kwa akili ya...
Tunapohoji sana haya masuala tunaitwa Wapinga kila kitu, Sasa nyie mnaokubali kila kitu Tuambieni hapa mmeelewa nini?
Je ni kweli kwamba Abiria hawakujua na walifika wanapokwenda kwa wakati?
kubeti kumeingiliwa na matapeli wengi sana wanaojinadi kutoa fixed match
Fixed matches ni mechi ambayo imepangwa timu flani ipate matokeo flani, njia rahisi huwa ni kufungwa au kutoa sare. mfano Simba anajifungisha kwa Mtibwa, wachezaji kadhaa na watu ndani ya timu na wachache sana wa nje...
Kwa miaka nenda rudi genge la wazalishaji wa sukari wamekuwa wakilichezea soko letu ili kupiga super profit.
Wanatengeneza uhaba wa sukari, wanaacha ipande bei, kisha wanapata vibali vya kuagiza nje na kuuza kwa bei ya juu. Tena wakati mwingine wanabadili vifungashio ili ionekane imezalishwa...
Morning!
Serikali inatupenda sana watumishi wa umma. Hebu vuta picha ni upendo kiasi gani serikali imefanya kwa watumishi wa umma.
Ninaposema Serikali, namaanisha viongozi wakuu kuanzia Rais, mawaziri mpaka wabunge wamekubali hii neema ya kikokotoo iwe kwetu watumishi huku wao wako tayari...