trump

Donald John Trump (born June 14, 1946) is the 45th and current president of the United States. Before entering politics, he was a businessman and television personality.
Trump was born and raised in the New York City borough of Queens, and received a B.S. degree in economics from the Wharton School at the University of Pennsylvania. He took charge of his family's real-estate business in 1971, renamed it The Trump Organization, and expanded its operations from Queens and Brooklyn into Manhattan. The company built or renovated skyscrapers, hotels, casinos, and golf courses. In the 1980s and 1990s, following setbacks in several highly leveraged real estate ventures, Trump diversified into various side ventures, mostly by licensing his name. He co-authored several books, including The Art of the Deal. He owned the Miss Universe and Miss USA beauty pageants from 1996 to 2015, and produced and hosted The Apprentice, a reality television show, from 2003 to 2015. Forbes estimates his net worth to be $3.1 billion.
Trump entered the 2016 presidential race as a Republican and defeated 16 other candidates in the primaries. His political positions have been described as populist, protectionist, and nationalist. He was elected in a surprise victory over Democratic nominee Hillary Clinton, although he lost the popular vote. He became the oldest first-term U.S. president, and the first one without prior military or government service. His election and policies have sparked numerous protests. Trump has made many false or misleading statements during his campaign and presidency. The statements have been documented by fact-checkers, and the media have widely described the phenomenon as unprecedented in American politics. Many of his comments and actions have also been characterized as racially charged or racist.
During his presidency, Trump ordered a travel ban on citizens from several Muslim-majority countries, citing security concerns; after legal challenges, the Supreme Court upheld the policy's third revision. He enacted a tax-cut package for individuals and businesses, rescinding the individual health insurance mandate. He appointed Neil Gorsuch and Brett Kavanaugh to the Supreme Court. In foreign policy, Trump pursued an America First agenda, withdrawing the U.S. from the Trans-Pacific Partnership trade negotiations, the Paris Agreement on climate change, and the Iran nuclear deal. He imposed import tariffs triggering a trade war with China.
A special counsel investigation did not find sufficient evidence to establish criminal charges of conspiracy or coordination with Russia, but found that the Trump campaign welcomed the foreign interference under the belief that it was politically advantageous. Trump was also personally investigated for obstruction of justice and was neither indicted nor exonerated. In a July 2019 telephone call, Trump pressured the Ukrainian president to investigate Joe Biden, a potential rival U.S. presidential candidate for 2020, and his son Hunter Biden. A whistleblower alleged a White House cover-up and a wider pressure campaign which may have included the withholding of military aid to Ukraine, sparking the Trump–Ukraine scandal. In response, the House of Representatives initiated an impeachment inquiry to investigate whether Trump had abused his office for political gain.

View More On Wikipedia.org
  1. ELI COHEN

    Huyu ameua wazazi wake ili arithi pesa zao na azitumie katika operasheni yake ya kumuua Trump

    Ni dogo tu wa miaka 17. Amewauua alafu akaishi na maiti zao ndani. Haya ni matokeo ya afya mbovu ya akili na utoto mwingi pale vyote vinapokutana na influence ya mitandao na habari za mrengwa wa kushoto (liberals) zinazoshinikiza chuki dhidi ya Trump.
  2. Codehood

    Trump nae ni mduanzi tu, kashindwa kukaza

    Trump hikes China tariffs to 30% and then 84% China reciprocates Trump hikes tariffs to 145% China reciprocates Trump announces that he wants Xi to call him China does nothing Trump announces he would be ready to "make a deal" China does nothing Trump rolls back tariffs I forgot the exact...
  3. Yoda

    Trump aanza kulainika katika vita vya tarrifs, aondoa bidhaa za marafiki zake katika tarrifs.

    Katika kile kinachohesabiwa na wengi kama kuanza kutepeta kwa Trump rais huyo wa Marekani ameondoa bidhaa za electronics katika vita vyake vya tarrifs na China. Hata hivyo Wamarekani wengi wamelalama wakidai sio sawa kujali bidhaa za electronics tu wakiamini inachangiwa na sababu za ukaribu...
  4. T

    Trump Atoa Msamaha wa Ushuru kwa Simu, Kompyuta na Vifaa vya Kielektroniki

    Baada ya kuona China ameamua kutokupepesa macho, Sasa ameamua kufuta tozo zote za Simu, na Vifaa vyote vya electronic kutoka China. Kama amefuta hizi tozo, nini maana yakujifanya anaweka tozo za 145%, wakati asilimia kubwa ya vitu kutoka China ni Simu, na vifaa vya electronic ? Hili zee ni...
  5. Echolima1

    Mjumbe wa Trump, Steve Witkoff anakutana na Putin huko St Petersburg

    Baada ya mkanganyiko wa mambo mengi yakiwemo masuala ya Iran, Tarrif Rais wa Marekani amtuma mjumbe wake ili kuzungumza na Putin kuweka sawa mambo yao.
  6. I

    Australia yakataa ofa ya China ya 'kuiunga mkono' kwenye ushuru wa Trump. Inaona kila moja afe kivyake.

    Australia yakataa ofa ya China ya 'kuiunga mkono' kwenye ushuru wa Trump. Australia imekataa haraka ombi la China la "kuungana mkono" dhidi ya ushuru wa Donald Trump, wakati Washington inazidisha vita vyake vya kibiashara na Beijing. Ikulu ya Marekani hivi majuzi ilitoza ushuru wa kuagiza wa...
  7. Webabu

    Kushindwa mapema kwa vita vya kibiashara vya Trump ni ujumbe tosha kuonesha hata vita vya silaha dhidi ya Hamas na watetezi wake havitawezekana

    Siku moja tu tangu vita vya kibiashara kwa dunia nzima vianze rasmi raisi Donald Trump ameinua mikono na kutoa matamshi ya kurudi nyuma na kufedheheka. Vita hivyo vimesambaraka mapema kwa vile vimehusisha maslahi ya mataifa mengi ambayo yamekereka kwa kulazimishwa kuingia uwanjani huku machache...
  8. Echolima1

    Kipigo kwa Iran kikifika Israel itashirikishwa- Donald Trump

    Mazungumzo na Iran yanayotarajiwa kufanyika kesho kama yatashindikana basi kipondo kwa Iran kitafuatia kabla ya hapo Israel atashirikishwa kikamilifu ili kuondoka kitisho kinachoikabili dunia kwa Iran kumiliki silaha za ki Nuclea.
  9. 6 Pack

    Trump anaipambania Marekani kwa faida ya kina nani, mbona hata Ibrahim Traore anaonekana kumshinda uzalendo?!

    Niaje wakuu Leo ningependa kujua haya anayoyafanya Trump sasa ivi hapa duniani na nchini kwake kwa ujumla anayafanya kwa faida ya nani? 1. Nchi? 2. Wananchi 3. Au yeye na genge lake? Nauliza hivi kwa sababu toka amekamata wahamiaji, na kuwarudisha kwao kwa nguvu hakuna mabadiliko yoyote ya...
  10. Yoda

    Trump: Kuna nchi zinabusu 'makalio' yangu kuomba makubaliano!

    Akiwa katika moja ya mikutano ya Republicans Trump ametumia lugha kali ya mtaani kujisifia kwamba kuna nchi zinabusu makalio yake kuamba makubaliano katika vita vya tarrifs alivyovianzisha!
  11. T

    Trump ameruhusu kusitishwa kwa siku 90 kwa ushuru kwa nchi nyingi, ila ameongeza ushuru kwa bidhaa za China hadi 125%

    Bei za mafuta zilipanda Jumatano, zikirejea kutoka viwango vya chini vya miaka minne vilivyoshuhudiwa mapema katika kipindi hicho, baada ya Rais wa Marekani Donald Trump kutangaza kuwa atazidisha tena ushuru dhidi ya China lakini atasitisha ongezeko la ushuru alilotangaza wiki iliyopita kwa nchi...
  12. Loading failed

    Africa tujifunze kucheza na fursa kupitia hii adhabu walopewa china na trump

    Mataifa ya afrika ni wakati wetu wa kuamka na kupigana hii vita ya tatu ya dunia iliyobadilishwa upepo na kugeukia kwenye vita ya kiuchumi. Waafrika hii vita ni yetu na tukicheza vizuri hakika tunatoboa na kusonga mbele na kuacha kuwapigia magoti mabeberu kuwaomba msaada ili hali tuna maligafi...
  13. Sir John Deere

    Kwanini katika nchi zote Trump alizozipandishia ushuru Russia haipo?

    Kwa anayejua Tafadhali katika mkeka alioutoa Bwana Trumpet ameorodhesha nchi zote lakini Russia haipo je kulikoni? Hebu mwenye ufahamu aje atueleze hapa.
  14. X

    Alichosema Trump baada ya Marekani kuiongezea ushuru China kufikia 104%: Tunasubiri simu zao

    "Tunasubiri simu zao" hivyo ndivyo Trump alivyopost kwenye akaunti yake baada ya Marekani kuongeza ushuru kwa China kufikia 104% Tangu mwanzoni kabisa Trump alipoanza kuiongezea ushuru China, serikali ya China ilishasema; China itapambana hii vita mpaka mwisho. Trump aache kuwazia eti kuna...
  15. Mi mi

    Marekani yaongeza ushuru wa asilimia 104% kwa China

    Rais Donald Trump anatarajiwa kuweka ushuru wa kushangaza wa asilimia 104 kwa bidhaa zote zinazoingia kutoka China kuanzia Jumatano, kwa mujibu wa msemaji wa Ikulu ya White House, Karoline Leavitt, aliyezungumza Jumanne. Awali, China ilikuwa tayari inakabiliwa na ongezeko la asilimia 34 katika...
  16. ELI COHEN

    Kiuhalisia, Trump anashindana na utapeli ambao utapelekea nchi yake kudondoka siku zijazo ila watu wasio weledi katika current affairs wanakurupuka tu

    Kama ni tarrifs nchi yake imewekwa kitimoto muda mrefu na hata wale aliowekeana makubaliano sasa hivi wana lean kwa adui zake huku wakiendelea kumuumiza kikodi. Jeshi la Marekani liligeuka uwanja wa kuruhusu mashoga kuongoza nafasi nyeti. Vyuo vya marekani viligeuka chombo cha iran kutuma pesa...
  17. Webabu

    Trump na Netanyahu wamalizia mpango wa kuifuta Gaza na Hamas nao waidondoshea kombora 5 nzito miji miwili ya Israel ambayo yameleta madhara.

    Katika ziara yake nchini Marekani,waziri mkuu wa Israel,Benjamini Netanyahu wameweka mikakati yao ya kuifuta Gaza kwa uwazi kuonesha mataifa yao hayana kificho kwa mpango huo. Katika mazungumzo yaliyonaswa na waandishi wa habari na kuwekwa kwenye mtandao wa kijamii wa Trump,raisi huyo amesema...
  18. Mi mi

    Trump wachina walimkera nini huyu mzee ? Maana ana waandama kila pande

    Hapa kazungumza na waziri mkuu wa Japan kuhusu hatua alizochukua kwa nyongeza ya ushuru na namna gani wanaweza fikia makubaliano na Japan. Huyu mzee kaona haitoshi katika kuzungumzia Japan kaamua akazie kwa kuitaja China. Ni tishio gani serikali ya Trump inapata kutoka kwa China maana kila...
  19. flood

    Forex experts tukutane hapa kujadili namna ya kutrade new Trump market

    Hali sio nzuri kwa upande wangu naweza kupandisha trade double lakini ikifika kuanzia saa 5 narudi nilipokuwa. Muds naomba kuweka link ili kunusuru traders https://youtu.be/5J01qKDAziM?si=fgGr9YmXU2BlCFxN Kiukweli hali ya sasa inalazimisha kuwa scalper 5min unaingia na kutoka kitu ambacho sio...
  20. Mi mi

    Bado Trump yupo nao wachina jino kwa jino safari hii kazi wanayo

    Rais wa marekani Donald Trump bado anaendeleza msimamo wake juu ya nchi ya China katika suala zima la kuiwekea ushuru. Pia Trump amehitaji usaidizi wa haraka wa Federal Reserve kuondoa interest rates. kwa kipindi cha karibuni Trump amekuwa akihishutumu Fed chini ya mwenyekiti Jerome Powell...
Back
Top Bottom