trekta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Wakulima Brussels wafanya maandamano kwa Matrekta, EU yaahirisha makubaliano

    Mamia ya wakulima wa Ulaya walijaa mitaa ya Brussels wakipinga makubaliano ya kibiashara ya EU-Mercosur trade . Maandamano yaliyoanza kwa utulivu yaligeuka vurugu, waandamanaji walishambulia Polisi kwa mawe, viazi, na kufanya maandamano ya trekta. Polisi walitumia mabomu ya machozi, maji na...
  2. Watu wapata ajali ya Trekta wakiwa wanaenda kwenye kampeni za CCM

    Ivi una jua kuna watanzania wanazingua sana unakubalije kupanda TREKTA halafu wenzako wamepanda V8 na viyoyozi ndani wewe na vumbi lako kwenye TREKTA na ka Tsh. 10000 uliyoahidiwa hii ni mbaya JF tusambaze elimu kwa watanzania ambao bado wamelala. ====== CCM mnabeba watu kwenye matrekta kama...
  3. M

    Samia aahidi trekta 10,000 karibu kila kijiji trekta moja

    === Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ameahidi trekta 100 sawa na trekta moja kwa kila kijiji nchini ikiwa atachaguliwa kuongoza Serikali katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu. Akizungumza kwenye mkutano wa kampeni, mgombea huyo alisema ahadi hiyo inalenga kuinua kilimo kwa kuongeza tija...
  4. Wapi nitapata trekta Right hand drive

    Msaada wakuu wapi nitapata trekta right hand drive? Yoyote anafaham anicheck PM inbox. Natanguliza shukran zangu za dhati kabisa. adriz
  5. P

    NANENANE: Jumla ya Trekta 500, Power Tiller 800, Magari 44, pikipiki 6,444, Vishikwambi 5,426 na vipima udongo 143 vimenunuliwa ndani ya miaka 4

    ||| Rais Samia amenunua vitendea kazi kwa ajili ya sekta ya kilimo magari 44, pikipiki 6,444, vishikwambi 5,426, na vipima afya ya udongo 143, Trekta 500, Power Tiller 800 ndani ya miaka minne. Tumenunua na kusambaza vitendea kazi kwa ajili ya kuboresha huduma za ugani na kuimarisha uzalishaji...
  6. GE2025 Abdallah Kirungu: Kununua trekta na kuchonga barabara sio kazi za Mbunge

    Mtia nia wa nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Ulanga Mkoa wa Morogoro Abdallah Kirungu kupitia Chama cha Mapinduzi amewataka Wananchi kutokubali kudanganyika kwa pesa za mtu bali wamchague Kiongozi mwenye maono na uwezo wa kuwasaidia Wananchi wa Ulanga. Kirungu ni mmoja kati ya watia nia sita...
  7. Jipatie Trekta za TAFE Kutoka kiwanda cha Massey Ferguson cha India (47-100 HP) kwa bei ya Punguzo

    Trekta za TAFE zimejizolea umaarufu kutokana na uimara wake, pamoja na uwezo wa kuhimili mazingira halisi ya kitanzania. Karibu ujipatie Trekta yako leo kutoka kampuni ya MeTL Agro, wasambazaji walioidhinishwa wa Trekta za TAFE pamoja na vipuri vyake. Model zinazopatikana ni pamoja na: 1. 47...
  8. Je, ulishawahi kukutana na Trekta, Guta, au mikokoteni ya ng'ombe na punda inayohatarisha usalama wa barabarani?

    FUNGUKA! Huenda safari zako nyingi ni za usiku. 1. Je, uliwahi kukutana na Trekta, Guta, au mikokoteni ya ng'ombe na punda ambayo inahatarisha usalama wa barabarani? 2. Taja wilaya/mkoa, au eneo lolote lenye changamoto ya wingi wa matrekta, guta, au mikokoteni ya ng'ombe na punda ambayo...
  9. N

    Umechoka kukoroma kama trekta bovu usiku? 🚜. Fanya Hivi

    "Umechoka kukoroma kama trekta bovu usiku? 🚜, Rudi kwenye chakula chepesi cha asili jioni! Supu ya mboga au samaki ni 'silent mode' kwa mwili wako, inakupa usingizi mtamu kuliko 'lullaby' ya mama! 😴🐟🇹🇿" #Afya Yako Jukumu Lako.
  10. R

    Mwenye trekta za kukodisha maeneo ya Dodoma , Iringa, Lindi, Pwani, Dar na Tanga tuwasiliane

    Kama uko maeneo hayo na una trekta lenye angalau HP 100 tuwasoliane kwa whatsapp 0656388678. Asanteni na heri ya mwaka mpya 2025.
  11. Trekta ya aina gani ni bora kwa mazingira ya Tanzania?

    Ndugu mwana JF! Kwa wenye uzoefu na matrekta, unahisi trekta gani limeonesha usanifu shambani(ulaji mzuri wa mafuta>upatikanaji wa vipuli>kudumu kwa chombo husika) katika ardhi ya Tanzania!?
  12. Agricom yaikabidhi Serikali Trekta 500, Power Tillers 800 na vifaa vingine vya Kilimo

    Kampuni ya Kitanzania ya Agricom imekabidhi vifaa na zana mbalimbali za kisasa za kilimo kwa serikali kupitia Wizara ya Kilimo, wakati wa maonyesho ya Nane Nane yaliyofanyika Dodoma leo. Hafla hiyo imehudhuriwa na Rais wa Tanzania, Mheshimiwa Dokta Samia Suluhu Hassan, ambaye alishuhudia...
  13. Trekta aina ya Mahindra

    Habari wana JF, karibuni mjipatie zana bora za kilimo ; trekta aina ya mahindra ni trekta bora yenye usanifu mkubwa katika nchi yetu ya tanzania. Karibuni kwa maswali na maelekezo juu ya namna ya upatikanaji wa trekta. Kwa mawasiliano zaidi piga namba 0717217520
  14. INAUZWA Massey Ferguson 135 na Massey Ferguson 158 Zinauzwa

    Habari, Ninauza hizi tractor mbili. Zote ni 2WD. Mtumba kutoka Uholanzi bila jembe/trailer. MF135-46Horsepower MF158-63 Horsepower Zimesajiliwa na kila kitu kinafanya kazi vizuri kabisa(Engine za Mbuni-Diff Kubwa, PTO, drawbar na zina connection za hydraulics). Hazijatumika Tanzania. Bei MF135...
  15. Kuna wimbi kubwa la wamiliki wa Trekta hizi Hybrid kuziuza miezi michache baada ya kuzitumia au kuzikopa

    Tuambiane ukweli, kwanini watu wengi wanaziuza Trekta hizi za kisasa, Mahindra, Swalaj, Tafe, New Holland TT75, miezi michache baada ya kuzitumia? Zamani mtu akinunua trekta tegemea umuone nayo miaka kibao.
  16. Hivi ukikopa trekta unaweza toboa?

    Wazo la kukopa trekta HP 50 kulima mashamba yako kukodisha Mara chache ili upate mafuta.Kulima heka 600 yaani eka 20 kwa siku. Mazao ni yale yasiyo na changamoto nyingi mfano kunde, karanga,mtama,mihogo,viazi vitamu,mbaazi,njugu. mategemeo ni gunia 1000 kwa msimu mmoja wa zao moja wapo. HP 50...
  17. Hii trekta millioni 46 tu

    Hii chombo bei yake ni Millioni 46 tu. Kama unahitaji, jichange piga hii simu haraka 0747744895.
  18. Wapi naweza kukodi trekta na kwa bei gani? Nikiwa Dar

    Wadau za mida Naomba msaada kujua bei ya kukodi trekta kwa Dar Es Salaam na pia kama kuna yeyote mwenye mawasiliano ya wapi naweza kulipata untaarifu kwa 0678 151 275
  19. M

    Wadau wa trekta, Mahindra vipi?

    Habari, wadau nnaomba kuwasilisha hapa jukwaani, kuna aina mbalimbali za trekta hapa bongo, nimeona watu wanazungumzia sana Holland, Ford, Sonalika, Swaraj na mengineyo lakini sijaona sehemu wanayozungumzia Mahindra wakati nikiangalia kwenye mitandao wanasema ndo ya kwanza kwa mauzo. Maswali...
  20. TANZIA Mwakata, Shinyanga: Ajali ya magari matatu 'Lori, IST, Hiace' na Trekta yadaiwa Watu 20 wamefariki, 15 wajeruhiwa (Agosti 8, 2022)

    Watu 20 wamefariki dunia na wengine 15 kujeruhiwa kwenye ajali iliyohusisha magari matatu na Trekta katika eneo la Mwakata barabara ya Isaka Kahama mkoani Shinyanga. Mashuhuda wa ajali hiyo wamesema ajali hiyo imetokea majira ya saa nne usiku Jumatatu Agosti 8,2022 ikihusisha gari ndogo IST...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…