traore

Traoré or Traore is a surname of Manding origin (Bambara: Taara-oray), as written in French orthography, which is common in Mali, Senegal, Burkina Faso, Ivory Coast and Guinea. In anglophone West Africa the name is often spelled Trawally.

View More On Wikipedia.org
  1. Siku yaja Ibrahim Traore wa Tanzania atakua madarakani

    Mambo ni moto . ..nilisema Kuna siku isiyo na Jina TRAORE wa Tanzania ataingia madarakani . .. Na siku hio itakapokuja, hakika kuna watu watafungwa... Wengine watakimbia nchi, wengine watanyongwa, wengine watafilisiwa, Tanzania mpya itazaliwa yenye kusimikwa ufalme na Mungu na sio shetani...
  2. W

    SI KWELI Burkina Faso inajenga sanamu kwa ajili ya Rais wao Traore

    Wakuu nimeona huko mitandaoni hili jambo lina trend sana
  3. Traore Mwanajeshi aliyeamua Kulinda Rasilimali za Nchi yake !! JWTZ kikatiba Ina WAJIBU huo, shuhudia za Polepole ,nalitegemea Jeshi lichukue Hatua !

    Inawezekana kabisa Watu wameridhika kwakua wanaishi vizuri kupitia Wana mtandao. KOSA kubwa tunalolifanya kama Nchi ni kutokuwaza THAMANI YA RASILIMALI ZETU MIAKA MICHACHE IJAYO !!. Katika Wakati ambao Thaman ya Rasimali zetu itakua juuu zaidi, ndio wakati ambao Serikali itakua Haina chochote...
  4. Tunahitaji Raisi kama Traore wa Burkinafaso sio madikiteta

    https://youtu.be/vtxezmGOgQI?si=MUyi4Mzqdi4Mnb-v Sikiliza kilichotokea kwenye kikao cha Viongozi wa AU kule Addis Abeba. Rais kijana mwanapinduzi bila kupepesa macho wala unafiki alimlipua Rais Rutto wa Kenya kuhusu mauaji ya Gen Z huko Kenya. Aliiungwa mkono na Cyril Ramaphosa wa A. Kusini...
  5. G

    Majasusi wa Urusi wamkabidhi beji maalumu Rais Traore , huku wakitoa mienendo mibaya ya Marais karibu Asilimia 90 WA afrika hawafai kubebwa na Urusi.

    Ripoti za Siri zimevuja Cremlin kumewaka Moto, majasusi wanadai Marais wengi WA afrika ni vibaraka wanaotumiwa kuiba rasilimali za nchi zao kwa manufaa ya magharibi. Majasusi wanasema viongozi wengi WA afrika Wana uraia Pacha hasa WA ulaya , Oman, Dubai, America, na wengi wanamiliki majumba...
  6. Itakuwa ndoto sana

    Itakuwa ndoto sana mtu unawaza eti traore angekuwa mtanzania. Mnahitaji miujiza km Gaddafi au traore wahenga wanasema nabii hakubaliki kwao wapo watu km traore tanzania ila tunawaona takataka wanatuchelewesha nchi ya ahadi.
  7. Anachofanya Ibrahim Traore ni kizuri ila kinakosa misingi ya utawala yaani ni one man show

    Ni ukweli kwamba anachofanya Ibrahim Traore ni jambo zuri in term of mabadiliko ni jambo ambalo waburkinafaso wanafurahia na waafrika wote wanafurahia Hawa viongozi wengi wa Afrika ambao ni charismatic wanachangamoto moja inayofanana wana-upeo na hesabu ndogo sana naweza sema hivyo wako ambao...
  8. Magufuli anafariki Mashariki, Traore anaibuka Magharibi. Burkina Faso inapepea mwendo wa Ngiri mkia juu

    Upande wa mashariki mwa Afrika nchini Tanzania. Hayati John Pombe Magufuli aliupiga mwingi sana enzi za utawala wake kiasi kwamba uchumi ulipanda mpaka uchumi wa kati kabla ya kurudi kwenye uchumi wa chini katika utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan. Magufuli alileta Elimu bure jambo lilionekana...
  9. N

    GE2025 Afrika ukifanyika uchaguzi wa uhuru ni Marais wachache watabaki kwenye viti vyao kina Ibrahim Traoré wa Burkina Faso na Hichilema wa Zambia

    Hali ya demokrasia imekuwa ni mbaya kupitiliza kila kukicha Viongozi sio chaguo la wananchi na wanafanya kila namna kuhodhi madaraka kwa dola na yeyote anaekuwa tishio kwenye nafasi zao hushughulikiwa
  10. Ibrahim Traore afuta Tume ya Uchaguzi Burkinafaso

    Power corrupts, and absolute power corrupts absolutely. Madaraka yakianza kulevya. Sababu alizotoa hazina mashiko. Bado moyo wangu ni mzito kumkubali Ibrahim Traore kama ambavyo mitandao mingi inavyomshabikia kwa "mafanikio hewa. Cc Nyani Ngabu
  11. kwa nini namuona Makonda kama Traore

    Kwa wafuatiliaji watasema ukweli.kwa sasa Ibrahim Traore anavuma. anachokifanya kinagusa mpaka mabara mengine kwa initiatives zake. kwanin nasema Makonda ni kama Traore. 1. Traore kaanzisha kampen inaitwa FasoMebo. hapa sasa nchi nzima inawekwa pavement na usafi( city beatification) ingia...
  12. Kiki za Traore zimeishiwa pumzi 🤣

    Kiki za kwenye mitandao huwa zina muda mfupi wa uhai! Yule jamaa yenu wa Burkina Faso naona kiki zake zimeshaishiwa gesi sasa. Siku hizi hasikiki tena baada ya watu kama mimi kuwafumbua macho watu juu ya ulaghai wa persona yake. Au nyie wa Burkinabe wa Tabata Sanene mnasemaje? 🤣
  13. Ni Marufuku Kwa mwanaCCM kujifananisha na Rais Traore wa Burkinafaso !! Traore anauchukia Ufisadi, Anaijenga Nchi Kwa dhati , Hateki wala kuua watu

    Traore majuzi kasema 'Naijenga Burkinafaso Kwa ajili ya wanyonge '!! Akaenda mbali zaidi, akasema 'Nauchukia Ufisadi na viongozi Mafisadi ambao wametanguliza Maisha yao mbele kuliko Raia wetu. Akasema zaidi " Lazima tuheshimu na Tulinde Maisha na Uhai wa Kila Mwanamapinduzi wa Nchi hii'...
  14. Wanazi wa Ibrah Traore angalieni Citizen TV ya Kenya, General wa US atakuwepo mubashara

    Kenya bado ikiendelea kuwa ndio jukwaa kubwa zaidi la mambo makubwa yanayotokea katika ukanda wa Africa Mashariki imepata ugeni wa ujumbe mzito wa jeshi la Marekani kamandi ya Africa (US AFRICOM) ambapo mkuu wa kamandi hiyo Gen.Michael Langley, leo atakuwa anahojiwa mubashara katika kituo cha...
  15. Ngoma ya R. Kelly: God protect Ibrahim Traore

    Hakika hiki kimbunga cha Ibrahim Traore hakizuiliki. Huenda hata kukiita kimbunga ni kutokukitendea haki. Hili ni tsunami kabisa. Mwanamuziki nguli wa R&B kutoka jiji la Chicago, jimbo la Illinois, R. Kelly, kaachia wimbo matata sana akimpongeza Rais wa Afrika, Le Capitaine Ibrahim Traore na...
  16. Fuatilia mahojiano kati ya Rais wa Bukina Faso Ibrahim Traore aliyoyafanya akiwa Russia. TV za Magharibi zimegwaya kuyarusha

    https://www.youtube.com/live/2qqTsst4p7A?si=-AST3P5ebKD9C8hX Huyu dogo katika umri wake wa miaka 37 lakini ana ufahamu na uelewa wa hali ya juu sana.. Jamaa unaweza kudhani ni kama wanajeshi wengine tu ambayo wengi wao ni weupe kichwani zaidi ya kujua kubeba na kutumia bunduki tu.. Lakini...
  17. Nusrat ul-Islam wa al-Muslimin Wana muhujumu Ibrahim Traore

    Waislamu ni rahisi kutumika kwa maslahi ya wakuu Ona sasa Traore ambaye ni muislamu mwenzao wanamshambulia. Juzi magaidi wa Alqaida ambao wanaundwa na kabila la Tuareg waliua wanajeshi 90 wa Burkinafaso. Jana wameua tena wanajeshi 200 wa Burkinafaso. Wanajiita Jama’a Nusrat ul-Islam wa...
  18. Uzushi mwingine kumhusu Ibrahim Traore!

    Ukiona mtu anazushiwa sifa lede kede basi ujue huyo mtu ni mweupe kichwani. Sasa inadaiwa eti Ibrahim Traore kamuandikia barua Papa Leo. Inadaiwa ni barua ambayo hakuna kiongozi mwingine wa Kiafrika ambaye amewahi kuthubutu kuandika maneno ambayo dikteta uchwara aliandika 🤣. Huamini...
  19. Kwanini Pro West humu jukwaani wengi wanamchukia Captain Ibrahim Traore?

    Mzuka wana jamvi ?? Nashangaa sana chuki zimekuwa nyingi kwa Kamanda Rais wa Burkinafaso Captain Ibrahim Traore kutoka kwa Pro_West maarufu humu jukwaani tena chuki za kipuuzi sana. Tukianza na Hawa ; Yoda ; huyu ni chawa mkubwa wa Marekani na matendo yake ameshika usukani kwa vinyuzi yake...
  20. Ibrahim Traore: Huu ndo ujinga na upumbavu wa Waafrika!

    Hivi kwa nini Waafrika hudanganyika kirahisi rahisi hivyo? Kuna watu kwenye hii mitandao wanaotumia nguvu za ziada kulazimisha umaarufu wa dikteta uchwara wa Burkina Faso. Habari nyingi kumhusu yeye ni za uongo. Kwa bahati mbaya zaidi, watu wanaouamini huo uongo ni wengi sana na ni Waafrika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…