Kiki za Traore zimeishiwa pumzi 🤣

Kiki za Traore zimeishiwa pumzi 🤣

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
98,016
Reaction score
142,778
Kiki za kwenye mitandao huwa zina muda mfupi wa uhai!

Yule jamaa yenu wa Burkina Faso naona kiki zake zimeshaishiwa gesi sasa.

Siku hizi hasikiki tena baada ya watu kama mimi kuwafumbua macho watu juu ya ulaghai wa persona yake.

Au nyie wa Burkinabe wa Tabata Sanene mnasemaje?

🤣
 
Siyo wewe ila hii vita ya wakubwa ndo iko hot sasa hivi huoni hata Russia Vs Ukraine kama haipo vile?
 
Kiki za kwenye mitandao huwa zina muda mfupi wa uhai!

Yule jamaa yenu wa Burkina Faso naona kiki zake zimeshaishiwa gesi sasa.

Siku hizi hasikiki tena baada ya watu kama mimi kuwafumbua macho watu juu ya ulaghai wa persona yake.

Au nyie wa Burkinabe wa Tabata Sanene mnasemaje?

🤣
Sija wahi mkubali ibra maana najua tu ni dikteta au mjima
 
Pengine India vs Pakistan na kesi ya Lissu ndo zimepoteza hizo Kiki.
 
Kiki za kwenye mitandao huwa zina muda mfupi wa uhai!

Yule jamaa yenu wa Burkina Faso naona kiki zake zimeshaishiwa gesi sasa.

Siku hizi hasikiki tena baada ya watu kama mimi kuwafumbua macho watu juu ya ulaghai wa persona yake.

Au nyie wa Burkinabe wa Tabata Sanene mnasemaje?

🤣
Wewe endelea kufua chupy za wazungu, huku Afrika tuachie wenyewe
 
Nilikuwa nakuona wa maana kumbe ni walewale walamba matako ya wazungu, 🌈
Ignore
 
ukiona mtu kapindua kijeshi na anazurula na uniform za jeshi huyo ni mhuni tu.
 
Back
Top Bottom