tra

  1. JamiiForums Tanzania Siku ya leo ngumu sana, wengine wanasubiri mshahara, wengine wasubiri PDF ya TRA

    Ni mwendo wa kuangalia notifications, Email na SMS tu, kila ukisikia mlio unashtuka
  2. JamiiForums Tanzania TRA Yatumia Consultant Kusaidia Kuajiri na Sio Utumishi

    Kulikuwa na Haja Gani TRA Kuajiri/Kutumia Consultant Kama Haiwezi Ku-Handle Zoezi La Ajira Yenyewe. Inamaana Huyo Consultant wao ni Mtenda Haki kwa Watanzania Maskini Kuliko Utumishi….! Pitia Screenshot ya Taarifa yao..
  3. JamiiForums Tanzania Mrejesho inteview TRA

    Mkurugenzi wa Rasilimali Watu na Utawala wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Moshi Jonathan Kabengwe, amesema majina ya Waombaji wa ajira 1,596 zilizotangazwa na TRA hivi karibuni yatatangazwa rasmi kesho March 22 2025 kupitia tovuti ya TRA (www.tra.go.tz) kwa ajili ya usaili wa kuandika...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Je kuna professional recruitment managers TRA?

    Kuajiri watumishi/wafanyakazi ni mchakato ambao unafanywa na watu wenye elimu na uzoefu wa kazi hiyo. Sasa napata mashaka pale ninapoona kasoro katika mchakato wa kuajiri wafanyakazi kwenye sekta mbali mbali serikalini. Moja ya kosa kubwa sana ni ku select applicants wengi wanaoitwa kwenye...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Jedwali kamili la mishahara ya wafanyakazi wa TRA, Loooh !! 😋😋

  6. JamiiForums Tanzania Taasisi kama TRA, ualimu, NSSF, Tanroads, TARURA, BOT, n.k wanatakiwa waajiriwe kwa mkataba wa miaka 10 baada ya hapo waajiriwe wengine

    Ukitoa wanaofanya kazi kwenye kada zifuafazo Udaktari Ufundi kama tanesco Walimu wa vyuo vikuu na shule ya msingi Polisi Wanajeshi Hawa wanatakiwa waendelee kuajiriwa kwa mfumo wa sasa kwa sababu umri unavyozidi kwenda ndo wanakua na utaalamu wa juu Walioajiriwa kwenye kada zifuatazo...
  7. JamiiForums Tanzania TRA mnarudia kosa lile lile

    kuna zoezi la kukusanya kodi madukani linaendelea uratibu uonaotumika ni kuvamia maduka ya watu na kuchukua vitu imepelekea baadhi ya maofisa kupigwa maeneo ya kivule, ni utaratibu gani huu jamani elimu ya kodi inatakiwa. Kwa sasa maduka yote yamefungwa nimemuuliza mfanyabiashara mmoja kwanini...
  8. JamiiForums Tanzania Moderator:umenikose heshima kuanika ukweli ukaniunganisha kwenye kuchania kuhusu Bar kubwa na TRA

    Nilieleza uzi kuhusu: Kilicho fata ukapeleka kuunganisha mada watu wakwepe ukweli. Shida hipo wapi wakati naeleza kuhusu kodi na TRA
  9. JamiiForums Tanzania Kero za Biashara za ma bar makubwa yalivyo kuwa matapeli ila TRA mpo wapi?

    Nimekumbuka niliingia bar kubwa kinywaji nilichouziwa bei ilikuwa zaidi ya thamani ya ukweli ila nilipotaka kulipia kwa vile mimi na VAT na TIN kama mfanya biashara ilikuwa ni kukwepana tu.
  10. JamiiForums Tanzania Tuna bahari ila uwezo wa kupata samaki wa bahari mikoa mingine ni kama ndoto?

    Hivi hakuna tajiri ambaye mwenye uwezo wa kununua meli inayoweza kuvua tani kubwa za samaki. Sawa tuna serikali njia za reli ila zimeshindwa kuwa na mabehewa yenye friji kusambaza bidhaa hii ya samaki. Tuje kwa wawekezaji hakuna mtu ambaye ataweza kuonesha kumbe watu wa maziwa tunaweza kupata...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Ili kuongeza ufanisi wa ukusanyaji mapato, TRA igawanywe na kuwa mamlaka mbili, mamlaka ya mapato ya ndani na mamlaka ya mapato ya nje

    Salamu Rais wa JMT, Dkt. Samia Suluhu Hassan Wazir wa Fedha, Dkt.Mwigulu Nchemba Ninayo furaha sana kumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema na huruma kwa baraka zake kuu tunazoendelea kuzishuhudia katika Taifa letu. Kwa namna ya pekee kabisa ninamshukuru Mwenyezi Mungu kwa amani, umoja na...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Interview za TRA zinakaribia soon naomba msaada jamani nondo za tax management officer

    Msaada wadau maaana sielewi ni guse wapi navurugwa tu hapa mwenye idea jamani naomba masaada maeneo ya kugusa ili nisipishane na keki ya TAIFA hii TRA huko
  13. R

    JamiiForums Tanzania Kwenu watanzania bara mlioomba TRA mjipange kisaikolojia ! Waombaji 135,027 nafasi 1,596 ukitoa nafasi 20 % za wazanzibari, mchuano ni mkali sana !!

    Sina Lengo la kukatisha tamaa ila Namba hazidanganyi WAOMBAJI - 135,027 Kwa makadirio kuna wazanzibari 3000, waliobaki wabara 132,027 NAFASI - 1,596 20 % kwa Wazanzibar - 319 80 % kwa Bara - 1,277 CHANCE YA KUPATA KAZI Wazanzibari - 10 kwa kila waombaji 100 ( 319/3000) Wabara - 1 kwa...
  14. JamiiForums Tanzania DOKEZO TRA Kipata nani anamkingia kifua Thom Lardha/Phares Lardha kupandisha kodi kubwa ghalfa ndani ya muda mfupi?

    Mwenye nyumba Kariakoo (Mtaa wa Sikukuu/Kipata) anataka kuvuruga watu. Hapo nyuma alikuwa anapokea kodi ya TZS 24,000,000/= p.a, lakini yeye analazimisha na mwanasheria wake kuandika kodi ya TZS 6,000,000 tu p.a. Mwaka jana akasema kodi imepanda kutoka Mil 24 mpaka Mil 36! Akaambiwa kama...
  15. JamiiForums Tanzania Usaili TRA tax manager and internal affair officer position mock test

    Wakuu Habari zenu. Wale walio tuma mahombi Tax Manger position na Internal Affair Officer tuchangamshe vichwa na Maswali ya Miaka ya nyuma. IMPORTANT ANNOUNCEMENT ALL CANDIDATES EXPECTED TO SIT FOR THE TAX MANAGEMENT OFFICER APTITUDE TEST MUST TAKE THIS TEST:👇👇 📌 TAX MANAGEMENT OFFICER II...
  16. JamiiForums Tanzania Kamba uliomba nafasi za kazi TRA jipange, jiandae mapema

    Leo, Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yussuf Mwenda, ametangaza kuwa waombaji 135,027 wamejitokeza kuomba nafasi za kazi 1,596 zilizotangazwa na mamlaka hiyo. Nafasi hizi za ajira zilitangazwa mnamo Februari 6, 2025, zikijumuisha kada mbalimbali. Kutokana na idadi kubwa ya...
  17. JamiiForums Tanzania TRA yavunja rekodi ya makusanyo miaka 4 ya serikali ya awamu ya 6

    TRA YAVUNJA REKODI YA MAKUSANYO MIAKA 4 YA SERIKALI YA AWAMU YA 6 Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Juma Mwenda leo tarehe 12.03.2025 amewasilisha mafanikio ya TRA kwa kipindi cha miaka 4 ya Serikali ya awamu ya 6 chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe...
  18. P

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mfumo wa TRA hauna ubora na hausaidii Watanzania

    TRA wamekua wakitamani sana kufanya mabadiliko na maboresho kwenye huduma zao lakini kuna jambo bado HAWALIFANYII KAZI AU HAWALIJUI. Pia nina mashaka sana na UWEZO wa watu wao wa kitengo cha TEHAMA. 1. Website yao ina mambo mengi sana, inatembelewa na wateja wengu sana. Walitakiwa kuongeza...
  19. JamiiForums Tanzania Dar es Salaam: Kuhamishwa kwa ofisi ya TRA idara ya walipakodi wakubwa

  20. JamiiForums Tanzania TRA kawafundisheni wateja wenu namna ya kutumia mashine za efd kutoa risiti

    Wakuu kwema? Hiki kipengele kinasumbua sana. Yani unahitaji risiti ambayo ina tin halafu muuzaji anakwambia mashine haina option ya tin. Hapo ili tu asisumbuke kwa kuwa hajui hiyo hatua. Pia mashine zenyewe ziko aina tofauti kiasi kwamba procedure za kutoa risiti zinatofautiana. Sasa muuzaji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…