Kodi lazima ilipwe na watu wote wa dini zote, makabila yote na hata mashabiki wa timu zote.
Inafahamika kuwa taifa la Tanzania limegawanyika kati ya wanaume na wanawake, wakristo na waislam na pia mashabiki wa Simba na Yanga. Hii inamaanisha kuwa kwenye jambo la kitaifa usiingize jinsia...
Mchezo unaendelea kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha, upinzani ukiwa ni mkali, wenyeji TRA wanacheza pungufu baada ya mwenzao mmoja kucheza kadi ya pili ya njano.
Hadi Kipindi cha Kwanza kinakamilika hakuna timu ilioona lango la mpinzani wake.
Mchezo umemalizika kwa timu zote...
Kutokana na Mvua kubwa kunyesha, Mechi ya Simba na Tabora iliyokuwa ichezwe leo, 14 Machi 2026 imeahirishwa hadi itakapopangiwa ratiba na bodi ya ligi
Hayo yamesababishwa na uwanja kujaa maji na mpira kushindwa kudunda
Uamuzi huo umetolewa na Mechi Kamishna baada ya vikao vya pande zote 2
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano.Kati ya maandiko yangu ya siku zilizotangulia niliwahi kugusia bwana mmoja maarufu kwa jina Baraka wasila ambaye ni muasisi wa kuuza dhahabu feki hapa bunda mjini.Niliwahi pia kueleza kwamba licha ya kuwa muuza dhahabu feki mjini aliamua kufungua...
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetoa Tuzo za ubunifu kwa washindi 9 waliotoa mawazo bora zaidi yatakayosaidia kuendelea kuboresha huduma za kodi na kuongeza wigo wa kodi.
Akikabidhi tuzo hizo, vyeti pamoja na hundi kwa washindi hao Februari 25.2026, Waziri wa Fedha Mhe. Balozi Khamis Mussa...
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetoa ufafanuzi kuhusu mfumo wa ulipaji kodi kwa kueleza kuwa kwa sasa changamoto iliyokuwepo imefanyiwa kazi na kila kitu kimekaa sawa.
Awali, Mdau wa JamiiForums.com alieleza kuwa mfumo mpya wa TRA, wa ulipaji kodi (Tax Payers Portal) una changamoto ya 'IP'...
Someni wazo mtoe maoni yenu!!
Maendeleo ya taifa lolote hujengwa juu ya mshikamano na ushirikiano kati ya Serikali na wananchi wake. Ushirikiano huu hujidhihirisha kupitia ushiriki wa wananchi katika kulinda amani, kushiriki katika shughuli za maendeleo, pamoja na kutekeleza wajibu wao wa...
Je, unapata changamoto katika kuandaa au kuwasilisha TRA Returns zako?
Usihangaike tena โ tupo hapa kukusaidia kwa haraka, usahihi na kwa kuzingatia sheria zote za TRA.
Tunatoa huduma zifuatazo:
โ Kuandaa na kuwasilisha VAT Returns
โ Income Tax Returns (Individuals & Companies)
โ SDL, PAYE &...
Ningependa kutoa ushauri wangu kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuhusu changamoto ya makampuni na biashara zenye madeni makubwa ya kodi lakini ambazo kwa sasa hazifanyi kazi au zimekwama kabisa.
Kwa uhalisia, biashara nyingi hazikufa kwa makusudi ya kukwepa kodi, bali kutokana na mazingira...
Karibu Leo, Linda na kuza biashara yako nasi.โ๏ธ
Huduma zetu โ๏ธ
1. Ushauri WA kodi
โ Kufanya makadirio ya 2026 ( January -March)
โkutuma return za PAYE, SDL, VAT na WHT ( January - December)
โ Ukaguzi WA kodi
โ kufanya mapingamizi ya KODI
โ kusajili VAT
2. Huduma nyinginezo
โ leseni za biashara...
Habari mjasiriamali,
Kwema thread iliyopota niliongelea namna ya kujisajili Brela, kwenye thread hii nitaelezea documents 6 unazohitaji ili Kuisajili Kampuni Yako TRA baada ya kumalizana na BRELA.
1. Copy ya TIN certificates za directors
Utatakiwa kuwasilisha printed copies za TIN directors...
TRA msipitwe na gari la mshahara
TRA kataeni siasa chukueni Pesa
TRA mleteni mjomba StarLink msipoteze muda kwenye pesa
Nchi zilizochelewa kuipokea zimegundua kuwa zilijikosesha mamilioni ya USD kwasababu Elon Musk analipa kodi kwa wakati na jambo kubwa zaidi hana longo longo kipengele mje...
Je, unahitaji huduma yoyote ya kiserikali au binafsi inayohusisha matumizi ya mifumo rasmi kama TRA, leseni za biashara na mengineyo?
Jibu ni ๐๐บ๐ถ๐ฐ๐ฎ๐ฏ๐น๐ฒ ๐๐ฟ๐ผ๐๐ฝ ๐๐ผ๐น๐ฑ๐ถ๐ป๐ด๐ ๐๐ถ๐บ๐ถ๐๐ฒ๐ฑ (๐๐บ๐ถ๐ฐ๐ฎ๐ฏ๐น๐ฒ ๐ฆ๐ผ๐น๐๐๐ถ๐ผ๐ป๐) โ kampuni iliyosajiliwa kwa mujibu wa Sheria za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Karibu sana upate...
https://tanesw.tra.go.tz/cgme/onln/actn/cgme0504001q?menuId=menu_cgme0833
Mfumo huu unakua na bidhaa nyingi sana unaweza tu bei unaotaka, mfano kuna mpaka scania za mil 0, however ni bidding atakaekuzidi anachukua
Ndugu Mjasiriamali habari,
Kwa miaka kadhaa tumekua tukipiga kelele TRA irahisishe huduma zake ziwe kama za Brela na Tausi maana struggle ilikua ni kubwa.
TRA wameanzisha mfumo unaitwa IDRAS ambao ni mfumo unaokuwezesha
-kusajili Kampuni yako TRA
-Kupata TIN certificate
-Kufanya Tax clearance...
Kwenye mitandao, kuna document inayodaiwa ni ya TRA inayoonyesha mlolongo wa kodi kwa mtu anaeagiza gari nchini kwa sasa.
Tozo hiyo inasomeka kama "HIV Response Levy " ambayo ni kiasi cha shilingi 100,000.
Swali: TRA, hiii ni kweli na hiyo document imetoka kwenu?
Ndugu Mjasiriamali,
Unapomaliza Kusajili Kampuni hakikisha unawahi sana kwenda TRA.
Unapochelewa TRA wanaanza kukuhesabia fines.
Lakini ukiwahi unaweza Anza ku file zero Taxes.
Yes. Serikali lazima iende mbele, miradi muhimu yote lazima iendelezwe na miradi mipya lazima ianzishwe. Option ni moja tu kukusanya kodi kwa wingi.
Kuna watu wanaitwa wamachinga wako Dar es salaam na majiji mengine wanateneza faida nyingi sana kuliko hata baadhhi ya wafanyabiashara wenye...
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Juma Mwenda ametoa pole kwa Walipakodi, Watumishi wa TRA na Watanzania wote kwa ujumla waliopata athari mbalimbali zilizotokana na changamoto wakati wa uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 29, 2025.
Akiwa ziarani katika mikoa ya Kikodi...