tra

  1. D

    JamiiForums Tanzania Chemba ya majitaka round about ya Mwenge kuelekea TRA jirani na Mwenge Sokoni ni kero kubwa sana

    Kwakweli hii chemba imekuwa kero sana kwa watumiaji wa hiyo njia kwani mara kwa mara inazidiwa uwezo na kupelekea maji taka kutoka katika mfuniko wake na kusambaa katika barabara na kuleta kero kubwa na hatari ya kupata magonjwa ya mlipuko kwani maji yenyewe ni meusi na yananuka sana ukizingatia...
  2. JamiiForums Tanzania Waziri wa fedha ingilia kati sakata la uboreshaji wa mashine za EFD, kamishna wa TRA ataleta balaa kubwa

    Muda uliotolewa wa kuboresha Mashine za EFD wa mwezi mmoja (kuanzia desemba 7 hadi Januari 7) hautoshi, kwa sababu mawakala wanaofanya kazi hiyo wamezidiwa na kazi hiyo kutokana na wingi wa mashine hizo na tayari wameomba kuongezewa muda wa kufanya marekebisho hayo ya ghafla yaliyosababishwa na...
  3. JamiiForums Tanzania TRA yafafanua ongezeko la ushuru wa magari

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetolea ufafanuzi taarifa juu ya kupanda kwa gharama za kodi za magari yaliyotumika yanayoingia nchini. Ufafanuzi huo umekuja wakati kukiwa na malalamiko ya wafanyabiashara ya magari wakidai kuwepo kwa ongezeko la kodi za magari ya mitumba. Taarifa ya TRA...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu kuhusu mnada wa TRA wa mtandaoni

    Huu mwaka natamani kununua gari, naomba kupata mwongoza wa minada ya TRA inayofanyika online, kuhusu kupata gari kama IST kwamba bei zake zinakuwaje, ubora wa magari yao, kodi, nk
  5. JamiiForums Tanzania Mpango wowote wa TRA kukamata wasiodai risiti hautofanikiwa hadi pale Wamachinga watakapoondolewa

    Ni vigumu sana kujua nani kanunua bidhaa zake wapi, hii ni kwa sababu Wamachinga wanauza kila kitu kinachouzwa madukani tena bila kikwazo chochote. Wamachinga wanauza nguo, simu, vifaa vya simu, vifaa vya mahospitalini, vifaa vya shule, TV , vifaa vya majumbani na maofisini, ikiwa ni pamoja na...
  6. M

    JamiiForums Tanzania TRA kukusanya Tsh. 4.972 trilioni

    .
  7. J

    JamiiForums Tanzania TRA: Ukinunua bidhaa na usipodai risiti utapigwa faini ya kati ya Tsh. 30,000 na Tsh. 1,500,000

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetoa mwongozo wa kisheria kwa wananchi wote kwamba endapo utanunua bidhaa au Huduma ni lazima udai risiti. Endapo utakamatwa umenunua bidhaa au Huduma na hauna risiti basi utapigwa faini ya kati Tsh. 30,000 na 1,500,000 kwa mujibu wa kanuni za sheria ya kodi...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Kupata "TIN certificate" ni mpaka uende TRA?

    Wakuu naomba kuuliza, ikiwa mtu tayari unayo TIN ili kupata kile cheti cha TIN mpaka uende physcally TRA? Kama ndiyo mbona TRA wanajipa usumbufu wa bure.kwa nini wasiweke utaratibu kwamba mtu mwenye namba ya mlipa kodi anaweza pata cheti chake kwenye mtandao. Kama upo huo utaratibu wa kupata...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Zitto: Taarifa ya TRA kukusanya trilioni 2 ni ya kubumba

    Zitto Kabwe ameandika hivi kwenye ukurasa wake wa Twitter “Taarifa ya makusanyo ya kodi iliyotolewa na TRA leo kuwa Desemba wamekusanya shs 2T naamini ni ya kubumba. Nachambua Taarifa za Benki Kuu za mapato kulinganisha na Taarifa ya TRA. Nitaonyesha kwa ushahidi kuwa TRA wamedanganya Umma.”...
  10. D

    JamiiForums Tanzania TRA inaweza, sasa fikirieni lengo la Trilioni 3.5 ifikapo Dec 2021

    Kwa kufikia lengo la asilimia 101 la tr. 2.08 ninaamini kuwa kuna uwezekano wa kufikia lengo la tr. 3.5 iwapo tu mambo yafuatayo yatazingatiwa: 1. Rais alikwisha sema kwa TRA kupanua wigo wa kodi nchini ili kila mwananchi achangie kutokana na Idadi kubwa ya watu ukilinganisha na nchi nyingine...
  11. JamiiForums Tanzania TRA yavunja rekodi ya makusanyo ya mwezi Desemba 2020

    Leo 01/01/2021 mamlaka ya mapato Tanzania kupitia kwa waandishi wa habari, imetangaza makusanyo ya mwezi Disemba 2020 kuwa ni takribani trilioni 2, hii ni rekodi tangu kuanzishwa kwa mamlaka hii mwaka 1996 Hii ni hatua ya kupongezwa sana kwa Watanzania wote walipa kodi na mamlaka ya...
  12. JamiiForums Tanzania RC Tanga: TRA acheni kujenga Mazingira ya chuki kwenye ukusanyaji wa kodi

    MKUU wa Mkoa wa Tanga, Martine Shigela amewataka watumishi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na wafanyabiashara mkoani humo, kutojenga mazingira ya chuki wakati wa ukusanyaji kodi. Alitoa jana rai hiyo wakati wa kikao cha wadau wa kodi, ambao alisema kuwa iwapo pande zote mbili zitafanya kazi...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli awataka TRA kuwashughulikia wafanyabiashara wanaohujumu uchumi kwa kutoa risiti za uongo

    Rais Dk. John Magufuli, amekemea suala la wananchi kununua bidhaa bila kupewa risiti huku pia akiiagiza Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuwashughulikia wafanyabiashara wanaohujumu uchumi kwa kutoa risiti za uongo. 'Wananchi hakikisha unachukua risiti kwa kila bidhaa unayonunua na muuza duka...
  14. JamiiForums Tanzania Serikali mwangalieni kwa jicho kubwa meneja TRA wa Masasi

    Nimepata bahati ya kuja masasi kula sikukuu ya xmass na nimepata bahati ya kuongea na watu tofauti tofauti hasa wafanyabiashara Asilimia kubwa ya wafanyabiashara ambao tumekaa na kuongea nao malalamiko yao makubwa ni kutoka kwa Meneja wa TRA Masasi Huyu jamaa anazorotesha sana biashara kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Napendekeza leseni za biashara zitolewe na TRA badala ya manispaa, pia SDL ilitolewe TRA badala ya manispaa

    Hii itapunguza sana urasimu wa kuzungusha watu kutoka ofisi moja kwenda ofisi nyingine kufuatilia vibali vya aina mbali mbali ambavyo vingeweza kutolewa na taasisi moja tu kwa urahisi sana. Mfano , kuna haja gani ya kwenda kuchukua leseni manispaa badala ya TRA ambao ndio wanatoa Tax clearance...
  16. JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Mpango aagiza watumishi 22 wa TRA kusimamishwa kazi

    Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), akizungmza na Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti pamoja na Mameneja wa Mikoa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA na kuwapa maelekezo ya kuboresha zaidi utendaji wao wa kazi, kuimarisha mazingira ya ufanyaji biashara na kuongeza...
  17. JamiiForums Tanzania Rais, Mawaziri, Wakurugenzi bado kuna shida kubwa kwenye mchakato wa uwekezaji nchini

    Baada ya kuisoma ilani ya chama tawala CCM na kusikiliza hotuba ya rais alipokua anafungua bunge watanzania wengi tuliiona nia ya dhati ya serikali yetu kuboresha uchumi kwa kiasi kikubwa haswa kwa kuhakikisha wawekezaji wanapewa support na serikali kwa kujengewa mazingira mazuri na rafiki ya...
  18. M

    JamiiForums Tanzania TRA yadaiwa kuvamia Waturuki na kufunga Ofisi jioni ya Leo (Desemba 14, 2020)

    Jioni ya leo, TRA imevamia na kufunga ofisi moja ambayo ilikuwa bado haijaanza kufanya kazi wakidai kodi. Hii ni kampuni ya Waturuki inayohusika na kutengeneza tiles za majengo. Mashine zililetwa lakini kwa bahati mbaya jamaa walishindwa kuanza kufanya kazi kutokana na mtaji kutokutosha...
  19. JamiiForums Tanzania TRA wanavyofunga biashara za wazalendo

    Tunalazimika kueleza jinsi TRA wanavyofunga biashara za wafanyabiashara. TRA wamepangiwa malengo ya ukusanyaji fedha, kinyume cha hivyo mtu anafukuzwa kazi na ajira inakoma. TRA kama ilivyo ada kwao, hawafuati weledi wa kibiashara au kuona jinsi ya kupata mapato endelevu, wao ni kutimiza amri...
  20. JamiiForums Tanzania TRA yampiga faini ya 3,500,000 dereva kisa kapakia tenga 27 za nyanya

    Siku chache zilizopita niliandika kueleza ugandamizwaji unaofanywa na TRA uliomuhusu dereva mmoja wa semi ambae alipigwa faini ya 3,000,000/= kisa kapakia tenga 20 za parachichi na alipoulizwa risiti ya transport hakuwa nayo kwani mzigo ule haukuhusu ofisi,ilikuwa ile kawaida ya madereva...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…