tra

  1. Ni asilimia 21 tu zitaenda kwa Wazanzibari katika Nafasi 1,097 za kazi kutoka TRA, marekebisho yanahitajika

    Kwanza nitoe pongezi kwa serikali iliyosikia kilio cha vijana kwa kutoa ajira zaidi ya elf 1 TRA. Kama mnavyojua, Kwenye ajira wazanzibar hupewa asilimia 21, kwa hio katika hizi nafasi 1,097 ni sawa na wazanzibari 230 tu, 230 hao bado ni wachache kulingana na idadi kubwa ya vijana wanaomaliza...
  2. Hivi ni kweli kazi za TRA ni bora sanaa kimaslahi?

    Wajumbe salamaaa. Ni yuleyule Mr. Liverpool nikireport kutoka Anfield chini ya Mzee Klop..!! Ngoja niingie kwenye mada. Tarehe 22/10 TRA kupitia Sekretarieti ya ajira ili tangaza nafasi za ajira kibao. Lile Tangazo bana likafika Ofisini..!! Mimi ni mfanyakazi wa halmashauri fulani humu...
  3. Msaada: Naweza kulipia leseni ya Udereva TRA kwa njia ya simu?

    Habari! Nimepoteza leseni ya udereva, nimekamilisha taratibu zote za kupata mpya (renew). Wamenipa kile kikaratasi chenye maelezo mafupi na tin number. Ni lazima kulipia palepale wanapokuambia ukalipie au naweza kulipia kwa njia ya mitandao ya simu? Thanks
  4. Taarifa kutoka TRA kuhusu kubadilisha umiliki wa chombo cha moto

    Wakuu Someni Hii Taarifa Kutoka Mamlaka Ya Mapato Tanzania (TRA) ===== October 8, 2021 by Global Publishers MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesema kumekuwepo na changamoto kubwa ya baadhi ya watu wanakuwa wamesajili vyombo vya moto lakini usajili wao ni batili, hawajasajiliwa na TRA ambapo...
  5. Somo kwa ajili ya ununuzi wa gari toka kwa mtu bnafsi kutoka TRA elimu kwa mteja.

    1. Swali: Chombo cha moto ni nini? Jibu : Ni chombo kinachotumika katika usafirishaji ardhini, ambavyo ni pamoja na Magari, pikipiki na bajaji. 2. Swali: Nikitaka kununua gari kwa mtu taratibu zipoje? Jibu : Unapaswa ufike ofisi ya TRA na picha ya pasipoti ya muuzaji, ripoti ya ukaguzi...
  6. Napendekeza simu zenye thamani ya zaidi ya milioni 1 zisajiliwe TRA na zipewe kadi kama za gari, hii itapunguza wizi wa simu

    Kadi iwe na jina la mmiliki na taarifa zake zingine zote, na sehemu ya details ijazwe taarifa muhimu za simu kama IMEI, model, make, color na specification zingine zote. Pia pajazwe number of previous owners nk. nk. Endapo simu itapotea au kuibiwa, by default, systems za TRA ziwe na built in...
  7. S

    TRA fanyeni kazi yenu kwa ufanisi! Watu hawaombi risiti na wenye maduka hawatoi risiti kikamilifu!

    Juma mosi nilienda kariakoo kununua bidhaa kwenye duka linalomirikiwa na mtu mwenye asili ya kichina mara baada ya kufika muuzaji akamiambia yafatayo ▪︎Kitu unachotaka kununua ni cha laki na hamsini ila bila risiti laki na thelathini elfu ▪︎Na ukitaka bila risiti kabisa ni laki na ishirini...
  8. TRA yafanikiwa kukusanya Tsh. Trilioni 5.151 ktk robo ya kwanza ya mwaka

    Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) imeripoti kufanikiwa 94.3% katika malengo ya kukusanya Tsh. Trilioni 5.462 kwa robo ya kwanza ya mwaka 2021/22 Taarifa imesema hiyo ni sawa na ukuaji wa 17.4% ambao umechangiwa na ukuaji wa ulipaji kodi kwa hiari hasa kwa wachimba madini na mawasiliano na...
  9. Nina malalamiko dhidi ya Human Resources Officer wa TRA

    Unajua TRA ni wazembe sana. HR wa TRA alikua na doc za mama yangu toka amestaafu 24/5/2021 na amekaa nazo tuu hajazipeleka PSSSF hadi jana tarehe 01/10/2021. Sasa hii ni haki kweli kwa mtu aliyestaafu akitegemea alipwe mafao. Human Resource officer anakaa na documents mezani kwake to mwezi wa...
  10. B

    Ni lini TRA watatangaza kuomba usajili wa clearing and forwarding services?

    Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza. Naomba kuuliza ni lini applications za shughuli tajwa zitatangazwa.
  11. TRA tuacheni Watanzania tukuze uchumi wa nchi yetu mnatubana sana punguzeni njaa zisizo na tija kwa Taifa

    Sio kwamba msikusanye kodi hapana ila Kuna mambo mengi TRA wanafanya ambayo yamekua ni kero kwa wafanya biashara unakuta mtu katoka na mzigo China Ile kutua tu AirPort anakutana na msururu wa TRA apo na wapo serious vibaya mno wanakagua mzigo mmoja baada ya mwingine. Unakuta mtu kabeba simu...
  12. Rais Samia: Nilitaka kuzungumza Kiswahili kwenye Mkutano wa Baraza la Umoja wa Mataifa ila sikuwa na Mkalimani kwenye msafara

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema kiswahili kimekua kiasi cha kuweza kutumika kimataifa hali ambayo ilimfanya atake kuongea kiswahili alipokuwa akihutubia mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa(UNGA) Hata hivyo amesema katika msafara hawakuwa na mkalimani na hawakujiandaa kwa hilo, hivyo...
  13. L

    Naomba nieleweshwe gharama za kufanyiwa auditing ya TRA ktk kampun

    Habari,ninataka nifanyiwe mahesabu ya kampuni yangu naomba nijue gharama zake. Nawasilisha
  14. TRA Kariakoo (Kipata/Lumunba) imekuwa kero kwa wenye magari madogo ya mizigo. Mamlaka imulike wafanyakazi wa pale waache hii tabia ya ovyo

    Habari wanaJF, Niende moja kwa moja kwenye hoja yangu, kumekuwa na usumbufu mkubwa wanaoupata madereva wa magari madogo katika eneo la Kariakoo, wanapokodiwa na Wafanyabiashara wanaonunua mizigo, pindi mzigo unapokamatwa kwa madai mbalimbali ikiwemo kukosa risiti inayojitosheleza,maofisa hao wa...
  15. Clearing & forwarding agent available

    Natoa huduma ya clearlence kwa mizigo,pamoja na magari kutoka duniani kote,kwa haraka na kwa bei rafiki kabisa kwa maelezo Zaidi tupigie: +255710323599 au +255679132109
  16. N

    Ni zaidi ya mwezi sasa tangu utumishi walipoahirisha usaili wa TRA pale Dodoma bila Majibu

    Habarini wadau, ilikuwa siku ya 07/08/2021 Nyomi kubwa ya watu zaidi ya elfu 15 ilikusanyika chuoni UDOM kufanya usaili wa TRA hatua ya written kwa kada Mbalimbali kuanzia ngazi ya Diploma Hadi Degree. Lakini baada ya kufanya written siku ya 09/08/21 UTUMISHI wakatoa tangazo la kuahirisha...
  17. Ukwepaji huu wa kodi kwenye minada, Serikali na TRA Mnazidiwa mbinu na Wafanyabiashara Wahuni?

    Umofia kwenu. Nimesoma makala moja imenisikitisha kidogo Kuhusu ukwepaji kodi unafanyika kwenye biashara za minada huku TRA ikiambulia hasara. Haiingii akilini mfanyabiashara akadhamilia kukwamisha mnada kwa kutaja bei kubwa alafu anatokomea na nyie mlioandaa functions mnaishia kula hasara za...
  18. TRA kwanini Wamehamishia akaunti ya malipo KCB, siyo tena NMB? Ni ufisadi baada ya Magufuli?

    TRA na BOT watajitetea kwa sababu zozote zile lakini sisi tunaolipa kodi ktk nchi hii, kwa kujua nani anamiliki KCB (Kenya Commercial Bank) hii ni chini ya kiwango cha uzalendo uliohubiliwa miaka mitano iliyopita. Nalinganisha malipo niliyofanya 2020 na mwaka huu, yakielekezwa benki tofauti...
  19. D

    Wenye magari namba (A) tuwe waungwana tuyatoe barabarani ili TRA warudi kusajili (A) tena itakapo jaa namba D

    Katika utaratibu wa maisha Africa inabidi tujifunze kujiwekea kikomo! Ili tuendane na ulimwengu lazima tujifunze kubadilika! Nikimnukuu bwana Newton mwanasayansi msomi aliwahi kusema kwamba (Kila kitu hubaki kilivyo au kwenye mwendo hadi pale nguvu hasi itakapotumika) Hii inamaanisha kwamba...
  20. ELIMIKA: TRA wanaangalia Mwaka au Bei au Model?

    TRA WANAANGALIA BEI YA GARI AU NI MWAKA NA MODEL TU? Na Kimomwe Motors (T) Ltd- Waagizaji Magari Swali hilo muhimu liliulizwa na mmoja wa wadau wetu na majibu yake ni kama ifuatavyo. Kwa ufupi ni kwamba Ushuru wa gari yako utaamuliwa na vitu vyote vitatu yaani Bei ya gari, mwaka na model...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…