Kubadilika kutoka “selected for oral interview” kuwa “shortlisted interview”

Learner41

Member
Oct 31, 2018
22
65
Habari wakuu, poleni na majukumu. Siku ya leo nimeingia ajira portal na kukuta mabadiliko fulani nikashindwa kuelewa japo Hii ni mara yangu ya 7 kuomba kazi utumishi.

Kwa wale mliokuwa mkikubaliwa for oral interview, hivi ile sentence huwa inabadilika? Mfano kwenye picha nilizoambatanisha, mwanzo ilikuwa selected for oral interview na leo baada ya kuingia nimekuta shortlisted.

NB: tumekwisha kufanya oral interview ya TRA. Na baada ya kufanya nimekuta neno shortlisted na mwanzo ilikuwa selected for oral interview.

Mwenye ufahamu na hili tafadhali atujuze. Je ni kawaida kuwa hivyo au ni system tu imecheza kidogo
 
Mkuu hii notification ni kwa wote haina impact yoyote . Wakiondoa kule kwenye website yao list ya walioitwa kufanya usahili na kwenye account huwa zinaondoka inabaki hiyo shortlisted Kwa Kumbukumbu zako na zao.
 
Mm nafahamu ukifanikiwa kupita kwenye oral wanaandika selected, hapo unakua ni mmojawapo wa kupata kazi.
 
Hata Mimi imebadilika ila wale wa Customs haijabadilika. Mimi nachojua kama not selected inatakuwa ibaki ivyoivyo, kama selected inatakiwa ibaki ivyoivyo, kurudi kwenye shortlisted maana yake kuna circumstances flan.

Wale wa customs wanasema wao ipo vilevile Selected and not selected, why was Tax iwe shortlisted?
 
Hata Mimi imebadilika ila wale wa Customs haijabadilika,,,Mimi nachojua kama not selected inatakuwa ibaki ivyoivyo,,kama selected inatakiwa ibaki ivyoivyo,,,kurudi kwenye shortlisted maana yake kuna circumstances flan,,,Wale wa customs wanasema wao ipo vilevile Selected and not selected,,,why was Tax iwe shortlisted?
Hapo ndo tujue tushaliwa vichwa yatoke Tujihakikishie Daah aisee haya mambo
 
Back
Top Bottom