tozo

Basconcillos del Tozo is a municipality and town located in the province of Burgos, Castile and León, Spain. According to the 2004 census (INE), the municipality has a population of 371 inhabitants.
The municipality of Basconcillos del Tozo is made up of twelve towns: Basconcillos del Tozo (seat or capital), Arcellares, Barrio Panizares, Fuente úrbel, Hoyos del Tozo, La Piedra, La Rad, Prádanos del Tozo, San Mamés de Abar, Santa Cruz del Tozo, Talamillo del Tozo and Trasahedo.

View More On Wikipedia.org
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Serikali: Watumiaji wa Daraja la Tanzanite, Barabara ya haraka Kibaha - Morogoro, Igawa - Songwe -Tunduma kuanza kulipia ushuru

    SERIKALI imesema magari yataanza kulipia fedha yanapopita kwenye Daraja la Tanzanite na katika barabara nyingine mbili za haraka ya Kibaha - Mlandizi - Chalinze - Morogoro (Expressway) na ile ya Igawa - Songwe -Tunduma (Expressway) kwa kuwa zote zina sifa za kutozwa fedha. Kwa jinsi Pesa...
  2. Risk manager

    JamiiForums Tanzania Tozo zapunguzwa

    Hawa Ni mafundi wa ccm wanatengeneza wanalitatua halafu wajinga ama mazombie tunawaona kuwa wao Ni heroes. Ni Kama reli ya to Arusha wameifufua wanatafuta credit kwa wananchi wakati wao wao ndio wameiua. Twende nzetu kimalikia ,nenda kwa rasi Simba Kama hakipandi. Dodoma. Mobile money...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Hatukatai kulipa Kodi na Tozo ila inauma sana pesa zetu kuliwa na Watu wachache. Serikali yetu muonee huruma Mama ntilie wa Itigi

    Habari wana JF , Serikali ya awamu sita imeonyesha dhamira njema katika kuleta maendeleo katika nchi yetu . Hicho inakusanya kodi kwa nguvu zote na imeongeza kodi na Tozo Mbali mbali ,yote hiyo ni katika kuhakikisha pesa za maendeleo zinapatikana. Haijaishia hapo imefanikiwa kupata mikopo...
  4. Extrovert

    JamiiForums Tanzania Serikali iache kutujazia tozo kufidia matanuzi yao

    Hii nchi ilipofikia nafikiri kilichobaki ni watu waamue kujitoa akili tu utaratibu uvurugike mazima hata nusu mwaka hivi then kitakachofuata baada ya hapo tutakaa kamati ya maridhiano maana dunia nzima itakuwa inaelewa hasa kinachoendelea ni nini! Hii biashara ya kubembelezana watu wazima kwa...
  5. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Haiingii akilini Serikali kupendekeza kuanzisha tozo ya ving'amuzi wakati kuna mapato yanapotea eneo la uvuvi wa bahari kuu. Huu ni uonevu usiofaa

    Bila hata aibu waziri mwenye Phd ya uchumi anapendekeza kuwa kuwe na ada ya ving'amuzi. Yaani unawakamua wananchi ambao nao wanalipia kupata matangazo ya TV kwa tabu hii ni akili mbovu na unyama usiofaa. Kwa nini tusidhibiti makampuni ya kigeni yanayoiba mapato ya taifa letu kwa kukwepa kodi...
  6. Replica

    JamiiForums Tanzania BAJETI: DStv yaunga mkono TOZO ya king'amuzi. Yataka 'Free chanels' zisiwepo ili Serikali ikusanye zaidi

    Jana kwenye bajeti iliyopendekezwa na Serikali, wamependekeza tozo ya shilingi 1000-3000 kwenye ving'amuzi kulingana na kifurushi mtu ananunua. Serikali tayari inakusanya kodi kwenye haya makampuni na pia inakusanya VAT kila mteja anaponunua king'amuzi au kifurushi, kumuongezea tozo itakuwa...
  7. Mpwayungu Village

    JamiiForums Tanzania Takwimu za tozo za miamala mbona hatupewi tena kulikoni

    Ilikuwa ni kawaida ya kila baada ya wiki mbili wanaita press, mwigulu na genge lake la tamisemi wakijimwambafai kuwa kila senti itaenda kunakostahili na wakasema kuwa kila baada ya wiki mbili watakuwa wanatupa mrejesho wa mapato na matumizi ya tozo za miamala ya simu. Mbona kimya tena hatusikii...
  8. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    JamiiForums Tanzania Kuliko kukopa ili kushusha bei ya mafuta kwanini tusitumie Tozo zetu kufanya hivyo

    Wakuu, Waziri wa fedha alitangaza tozo zilizopitishwa na Bunge letu,na kujinasibu kuwa tumekusanya fedha nyingi Sana za tozo. Kwa kuwa lengo la tozo hizi zilikuwa kujenga madarasa na vituo vya afya nchini lakini tulikopa tena kwa ajili ya ujenzi huo. Kwanini tozo zile tusitumie kushusha bei...
  9. Lobapula

    JamiiForums Tanzania Agizo la Rais Samia kuhusu utozaji wa Ushuru wa Mazao lapuuzwa Wilaya ya Sumbawanga

    Rais SAMIA SULUHU alitoa agizo kuwa wakulima wasitozwe Ushuru wa mazao kwa magunia yasiyozidi tani moja akiwa Tabora. Jambo la ajabu hapa Mkoa wa Rukwa wilaya Sumbawanga kuna kizuizi cha Mazao njia ya kwenda Tunduma kinaitwa Laela wananchi wanatozwa ushuru wa mazao mfano leo tarehe 24/05/2022...
  10. chiembe

    JamiiForums Tanzania Dar: Tozo za Daraja la Nyerere Kigamboni zimeshuka

    Rais Samia Suluhu na Mbunge Faustine Ndugulile wamevunja kikwazo kigumu kabisa Cha maendeleo ya kigamboni. Sasa tozo zimeshuka na zitalipwa kwa siku badala Kila mtu anapovuka Hiki kilikuwa kikwazo kikubwa kwa maendeleo ya kigamboni. Kigamboni ikianza kujengwa itakuwa mji mzuri sana na...
  11. OLS

    JamiiForums Tanzania Inaonekana watu wamekubali tozo za miamala

    Mwezi wa Saba serikali iliweka tozo kwenye miamala ya simu na kukawa na lawama nyingi sana huku wengi wakiamini wananchi wangeacha kutumia huduma hiyo ya kutoa na kupokea fedha. Hata hivyo kwa kutumia takwimu inaoneshwa wananchi walisusa kidogo halafu hali imerudi kama kawaida watu wameanza...
  12. X-Agent

    JamiiForums Tanzania Bangi Dawa na mirungi iruhusiwe kama chanzo cha Mapato

    Kutokana na Ugumu wa Maisha ni muda sasa serikali iangalie namna mbadala ya kuwasaidia wananchi wake kujikwamu kimaisha! Soko la bangi dawa lonakadiriwa kufikia USD Billion 344 kwa mwaka ( Zaidi ya Mara Tano ya uchumi mzima wa Tanzania )...
  13. Magazetini

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Mjadala wa dharura kuhusu kupanda kwa bei ya mafuta nchini. Mbunge asema tozo mbili zinaongeza 792 kwenye bei

    Leo May 5, mbunge Kilindi, Omary Kigua ametoa hoja ya kuahirisha shughuli zake za kawaida ili kujadili dharula ya ongezeko la bei ya mafuta. Kigua amesema kuna changamoto ya kupanda kwa haraka sana kwa mafuta ya taa, dizeli na petroli ambapo hivyo vikipanda ni kimepandishwa kila kitu na...
  14. OLS

    JamiiForums Tanzania Kushusha tozo za sukari kuna matokeo gani kwenye mfumuko wa bei

    Waziri wa Fedha na Mipango, Dr. Mwigulu Nchemba mwenye PhD zake za uchumi amekubali kuondoa tozo kwenye sukari kwa 10%. Ni jambo jema lakini naomba nimkumbushe yafuatayo. Sukari ina impat kwa bidhaa nyingine lakini impact kubwa na inayosafiri kwa haraka ni impact inayotokana na bei za mafuta...
  15. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Kinachoendelea suala la tozo ya kodi ya pango kupitia LUKU za TANESCO si sawa

    Hili suala ambalo mnalifanya mwezi huu tunaomba Waziri Makamba tazama upya Kodi ya tozo ya jengo ilianza mwezi Julai mwaka 2021, ajabu kuna watu wameungiwa umeme mwezi Februari 2022, wengine mwezi March 2022 wananunua umeme wanapata unit ndogo wakihoji wanambiwa umekatwa tozo ya Kodi kuanzia...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Je, tutegemee tozo kwenye miamala kwa sababu ya special operation kule Ukraine?

    Bunge liko Dodoma tayari kujadili kama sio kupitisha mapendekezo ya budget za wizara mbalimbali. Kwa mwaka wa fedha 2021/2022 tuliona bunge likichukua mapendekezo ya Zungu kuweka tozo kwenye miamala ya simu ili kugharamia ujenzi wa zahanati, je mwaka huu wa fedha 2022/2023 tutegemee tozo...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Serikali inayowaza kumnyonya Mtanzania kwa tozo haitawaza kupunguza kodi kwenye bidhaa ili kupunguza mfumuko wa bei

    Serikali ya CCM inayoongozwa na Raisi Samia haiwezi kufikiria cha kufanya angalau kupunguza uchungu anaopitia mwananchi kwa sasa wa kupanda kwa bidhaa karibu zote nchini. Serikali hii inachowaza ni kupata pesa ili wao waendelee kunufaika ndii maana wamelundika tozo na kodi za kila aina, zingine...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Waziri wa Nishati aliondoa Tozo kwenye mafuta kimakosa kwa sababu Tozo ilipitishwa na bunge, Nimeirejesha!

    Rais Samia amesema waziri wa Nishati January Makamba alifuta tozo ya tsh 100 kwenye mafuta kwa nia njema ya kupunguza bei lakini ikaonekana kuna utaratibu haukuwa sawa. Tozo ile ilipitishwa na bunge siyo waziri hivyo kuifuta kulitakiwa kuanzie bungeni. Rais ameirejesha tozo ya mafuta kama...
  19. Big Phil

    JamiiForums Tanzania Tozo katika awamu ya 6 imekuwa kawaida, lini gharama za maisha kwa wananchi wa kawaida zitapungua?

    Hili neno limekuwa maarufu sana kipindi hiki cha awamu ya 6, lini litafika mwisho na lini gharama za maisha kwa wananchi wa kawaida zitapungua! Mafuta ya kula juu, petroli ndo balaa, mbolea, yaani necessary items zote hazishikiki na bado upatikanaji wa hela umekuwa mgumu sana. Na wakati huo huo...
  20. Replica

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nimeagiza tozo ya mafuta irudishwe, asema nauli na bei za bidhaa vitapanda. Sababu ni vita ya Urusi

    Leo Rais Samia amepokea ripoti ya CAG Ikulu Dodoma na kuongelea mambo kadhaa ikiwemo suala la mafuta. Rais Samia amesema waziri husika aliondoa tozo ya Tsh 100 kwenye lita ya mafuta bila kuangalia upana wake ikiwemo tayari ilikuwemo kwenye bajeti ambayo ilipitishwa na Bunge hivyo Rais ameagiza...
Back
Top Bottom