tozo

Basconcillos del Tozo is a municipality and town located in the province of Burgos, Castile and León, Spain. According to the 2004 census (INE), the municipality has a population of 371 inhabitants.
The municipality of Basconcillos del Tozo is made up of twelve towns: Basconcillos del Tozo (seat or capital), Arcellares, Barrio Panizares, Fuente úrbel, Hoyos del Tozo, La Piedra, La Rad, Prádanos del Tozo, San Mamés de Abar, Santa Cruz del Tozo, Talamillo del Tozo and Trasahedo.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    JamiiForums Tanzania Kigwangala awatolea uvivu walalamikia tozo wanaoonea wivu Mawaziri

    Ila huyu jamaa ni kichwa sana, mama akimrudisha kwenye uwaziri halafu akaunganika na makamba, Nape, mwigulu itakuwa combination ya hatari sana, Tanzania tuna bahati sana kwa kweli kuna nchi zinatamani hawa vijana waende kuwatawala ila sisi kila siku tunawalaumu tu
  2. N

    JamiiForums Tanzania Wananchi wengi wanaunga mkono tozo, maneno ya maadui na vibaraka wa mabeberu yapuuzwe

    Baada ya kuona nchi inapiga hatua kwa kasi chini ya Rais mpendwa wa awamu ya sita, madaui wa taifa kupitia vibaraka wao wameibuka kwa kasi sana Mama hata halali kabisa akiwaza jinsi ya kuwaletea maendeleo hili lilithibitishwa na Gerson Msigwa lakini bado kuna wajinga wanalalamika tu Tozo...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Misamaha ya kodi na punguzo la tozo katika miamala

    Serikali katika Mwaka mpya wa Fedha 2022/23 imeanza kutekeleza punguzo la tozo katika miamala ya simu katika kutuma na kupokea fedha kwa 43%. (Tozo ya juu kabisa itapungua Kwa kutambua ukuaji wa sekta ya Sanaa na kujiajiri kwa vijana, serikali inatekeleza suala la punguzo la kodi(with holding...
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kilio Miamala ya Benki chatikisa nchi

    Tozo zilizoanza kukatwa kwenye miamala ya kifedha kupitia benki zimetajwa kuongeza makali ya ugumu wa maisha kwa watumiaji wa huduma husika. Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba kupitia gazeti la Serikali No.478 lililochapishwa Julai Mosi mwaka huu, alitangaza kuanza utekelezaji wa kodi ya...
  5. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Tozo Mpya: Kwa tabia za Watanzania, Rais Samia kazia hapohapo

    Kwa namna nikienda kwenye maduka ninavyoona Wafanyabiashara wanafanya mauzo bila kutoa risiti na Wananchi wananunua bidhaa bila kudai risiti napenda kusisitiza, Mama yangu Samia kazia hapo hapo. Nchi inahitaji kodi ili huduma za maendeleo ziweze kutolewa na kama wananchi hawako tayari...
  6. N

    JamiiForums Tanzania UZI MAALUMU: Vyanzo zaidi vya mapato na tozo kwa Serikali vipo vingi sana

    Tuache utani hii serikali inachapa kazi jamani, raia wako very happy wanasema mama anaupiga mwingi hadi unamwagika, Mungu awape nini watanzania kupata Rais ambaye anachapa kazi masaa 24 kwa ajili yao halali kabisa. Tuache kulalamika kuhusu TOZO , vitu vidogo sana ni lazima serikali itoze tozo...
  7. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Pendekeza tozo nyingine Serikali ya Samia iichukue

    Humu ndani tunaye Ndugu Waziri Mwigulu Nchemba, tutumie fursa ya uwepo wake kumkumbusha tozo zingine ambazo amezisahau. Ni kama akiziota usiku tu kesho anakuja nazo. Mimi naanza na tozo ya ugali, ugali utoe kodi. Mwaka huu kutokana na kupanda kwa bei za nafaka watu wengi sana watakula ugali...
  8. Artifact Collector

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba, kuongeza sifuri kwa mgongo wa tozo ni kuendeleza mateso kwa wananchi

    Kuwabebesha wananchi tozo na kodi nyingi sio suluhisho lenye tija la kuiongezea nchi mapato, ni kuendelea kuwatesa. Mwigulu Nchemba anachojua ni kuongeza sifuri, hana ubunifu wowote ule. Kama akiendelea kufanya anayoyafanya sababu ndo mwisho wake wa kufikiri ulipofikia, atawatesa sana wananchi...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Tukifanya haya tunaweza tusihangaike na tozo za benki

    NAWAZA kivingine. Haya ni mawazo tu namna tunaweza kutoka hapa tulipo kama nchi na mama hii kitu inamharibia sana wananchi walianza kumpenda sasa wanalia na tozo. Boresha Bandari yako, Punguza ushuru wa Magari ya kuanzia mwaka 2013-2018 watu wataagiza wengi na serikali itapata hela nyingi...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Nyongeza ya mshahara Tsh 10,000 nayo inatozwa kodi ukiitoa benki au ATM

    Wandugu, Wakati serikaki ikiongeza mshahara kwa shilingi 10,000.00 serikali hyo mshahara ukifika benk baada ya kulipa kodi ya PAYE, huko benki serikali inatoza kodi tena. Huu ni uonevu ulopitiliza, ni unyonyaji kwa wafanyakazi na ushamba kwa viongozi walobuni hiyo tozo bila kutafakari. Mtu...
  11. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Tozo zimekuwa nyingi sana kwa sasa

    Wakuu hivi hizi tozo za miamala kwenye bank, tozo kwenye tigo pesa, tutanyooka nasema. Ila mshauri wa uchumi wa nchi hii ni kiboko pamoja na bunge pia kama walikaa na kupitisha hili. Naamanisha kwamba ni maaumivu, hawa wabunge ni wabinafsi, kwa ufupi hawapo kwa ajili ya wananchi, ni wakati sasa...
  12. Said Cosmetics

    JamiiForums Tanzania Viwango vya tozo katika stendi mpya ya mabasi Nyamhongolo, Ilemela

    TANGAZO KUHUSU VIWANGO VYA TOZO KATIKA STENDI MPYA YA MABASI NYAMHONGOLO
  13. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa, Rais Samia angekuwa na uchungu na wananchi asingekubali tozo na maisha kuwa ghali namna hii

    Vyakula vimepanda bei. Nafaka zinauzwa nje ya nchi na kusababisha maisha kuwa ghali Maisha yamekuwa ghali. Tozo za kila namna zinaumiza wananchi wa chini. Sasa unaleta porojo! 👇
  14. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Tozo sasa miamala ya bank, sisi tuliokimbila bank tuhamie kwenye vyungu. Hatari sana wametufuata

    Wandugu hii nchi kama tumelaaniwa vile, zile tozo za kwenye simu sasa rasmi kwenye bank transaction zote ni balaa. Siku ya kufa nyani miti yote huteleza, najifikiria sasa bora bitcon kama zingekuwa kima cha chini, ukigeuka huku mfumuko wa bei, kule tozo .
  15. R

    JamiiForums Tanzania Kuna anayejua Pesa za Kodi, Tozo, Misaada na Mikopo zinakwenda wapi?

    Habari JF, Mimi kama mtanzania wa hali ya chini nimekuwa nikifuatilia namna wananchi tunavyolipa kodi na Tozo mbali mbali lakini kuna mikopo mikubwa sana tumechukua ndani ya kipindi kifupi. Kila nikijaribu kufuatilia pesa hizi zinatumika wapi sipati majibu sahihi, wengine wanasema JPM aliacha...
  16. Elitwege

    JamiiForums Tanzania Serikali yaanzisha kodi mpya kwenye miamala ya fedha kupitia Benki

    Waziri wa fedha Dr Mwigulu Nchemba ametangaza kwenye gazeti la serikali kuanza kwa kodi mpya kwenye miamala ya fedha kupitia bank pale unapotoa au kuweka fedha utakatwa kodi ya viwango tofauti kama inavyoonekana kwenye jedwari hili hapa chini. The Government of Tanzania has imposed levy on all...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Ni afya kwa Serikali kutoa taarifa za mapato na matumizi ya tozo ya miamala mara kwa mara

    Serikali ilipiga kampeni kali ikielimisha juu ya umuhimu wa tozo ya miamala kuwa ingejenga miundombinu mbalimbali nchini ili kuboresha huduma kwa wananchi. Mwanzo wananchi walipiga kelele juu ya utitiri wa kodi au tozo mbalimbali jambo lililofanya serikali kujitokeza na kutolea...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Unaweza kukuta kodi na Tozo tunazolipa zinaishia kulipa Mishahara na Posho za Watumishi!

    Nipo hapa Mwenge nafanya utalii wa ndani kwenye Stendi mpya ya Daladala. Kwa haraka haraka naona hapa patahitajika mwekezaji wa kumalizia kama ilivyokuwa pale Stendi ya Makumbusho Ndugu zangu juzi kodi na Tozo tunazolipa zinaishia wapi? We
  19. P

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Badala ya tozo kuelekezwa kusikojulikana, tozo hizo zielekezwe kwenye matibabu bure kwa kila Mtanzania

    Tanzania Salaam, Nchi yetu sio masikini, Bali wananchi mmojammoja ndio masikini! Na umasikini huo unaweza kuchangiwa na vitu vingi, ni pamoja na kutokuwa na viongozi wenye maono! Viongozi waliodumaa kiakili, huduma mbovu wazipatazo wananchi licha kwamba kodi wanatozwa kila wakilala na kuamka...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Mwaka mmoja tu, matumizi kodi za umma hovyo, harufu ya ufisadi, Tozo lukuki kwa wananchi maskini. Je, baada ya miaka mitatu?

    Hapa mnatakiwa mjiulize kwa kutumia akili sana. Kwamba sasa mnaekea wapi watanzania? Tozo kibao kila kukicha. Matumizi ya ajabu ajabu tu. Kwanu Uhuru Kenyatta hana wajomba huko Usa? Vipi kuhusu mikataba ya kijanja wizara ya nishati na madini. Mahindra tech, Lindi Lng. Huu ndio mwanzo tu...
Back
Top Bottom