toyota

  1. Nauza Toyota Cami wadau gari iko vizuri changamoto gia Box na inapaki muda mwingi kwakuwa Nipo nje ya mkoa njoo na offer yako au nicheki pm

    nauza Toyota cami iko vizuri sana ila changamoto gia Box gari ipo sawa sana kwakuwa kabla tatizo gari aina safari sana mara nyingi inapaki mimi naishi mkoani gari ipo dsm kama upo interested nicheki pm nipe offer yako ukamiliki gari
  2. M

    Car4Sale Toyota Rush 8.5M

    Good condition Toyota Rush available for sale. 8.5 Million Tshs . Buy now for 7.5 million (no negotiation) Engine size: 1490cc Manufacture yera:2006 Transmission: Manual Color: Black Fuel: petrol No DDR contact: call/sms/whatsapp 0699494650 Dar es Salaam
  3. Wakuu Nimeipenda hii gari Toyota Collora Fielder

    Wakuu Heshima Kwenu, Naomba kufahamishwa kidogo kuhusu hii gari,kwa upande wangu naona ni gari nzuri kwa muonekano ni ndoto zangu kuja kumiliki hii gari, maana naona haizungumzwi sana katika hili jukwaa. Naomba kufahamishwa machache kuhusu hii gari: - Changamoto zake - Ulaji wake mafuta -...
  4. Lexus lx570 vs toyota landcruiser v8

    Wakuu niaje Asee moja kwa moja kwenye mada kibongo bongo ukimuona v8 cruiser unaiheshimu ila kuna huyu mnyama lexus lx570 ni wa moto sana kwanzia interior and exterior design. Kuhusu hp performace mnyama lexus wa moto pia mjapan toyo ana 381hp huku mnyama lexi cute ni 383hp. Picha hapo...
  5. Car4Sale Toyota Runx inauzwa

    -Toyota runx version 2006 -colour silver -mileage 114,329 -haina shida yoyote -plate number DQR -imetumika TZ mwaka mmoja -bei ni milioni 10 -contact 0712518770
  6. Natafuta Toyota VITZ wakuu! Bajeti yangu maximum 5,000,000

    Natafuta Toyota vitz nzuri. New model au hata old model ambayo iko vizuri. Gari isiwe na vipengele/ubovu (nitafilisika/mke wangu atanilaumu) Bajeti 4,000,000 hadi 5,000,000 Napatikana Kinondoni Dar es Salaam. Mad Max Ndeko mmewadadako Tunzo10
  7. Viwanja Pacha vyenye Hati Miliki Vinauzwa MBWENI-Maputo

    Ni Viwanja 'pacha' kwa Matumizi za Shughuli za makazi. Vinauzwa vyote kwa pamoja au kimojakimoja. Eneo: MBWENI-Maputo, Maarufu kama Kwamasista. Ukubwa: Kimoja ni SQM 1227, Kingine ni SQM 1234. Jumla Viwanja vyote vina eneo la ukubwa wa SQM.2451. Umiliki ni HATI MILIKI ya Wizara ya...
  8. D

    Toyota IST: Too stiff suspension and bumpy ride. Je kuna softer/ luxurious Springs & Shock-ups for IST?

    Hizi beby walkers ni kavu mno wandugu. Kuna namna yoyote (mechanically) ya kufanya ili kuboresha ride quality kwenye Toyota IST? Kwenye suspension system. Hizi gari ni kavu mno kuendesha kwenye rough road. Their ride is too bumpy and too stiff!!! Je, kuna suspension system ambayo ni softer &...
  9. M

    Toyota kawajibu akina Ferrari na Lamborghini yani ni hatari

    Inakuwaje wanajamvi! Toyota ni nouma yani sheeda hatari Aisee. Watu wanaidharau sana Toyota. Mjapan akaamua kuwanyamazisha watu. Katoa kitu kikali sana ambacho Kilianza kutumika July 2020 ni Lexus Lc 500 convirtable 'sexy car' yani ukiimiliki hii demu yeyote hachomoki. Kina Ferrari, Porsche...
  10. Jiji la Moshi mliwakosea nini Toyota Tanzania Ltd? Hakuna Branch wala Authorized Parts Dealer

    Moshi yote: *Hakuna Toyota branch; * Hakuna Authorized Dealer; * Hakuna Authorized Service Workshop; *Hakuna hata Authorized Parts Dealer Nilisikiaga kuwa Moshi ni jiji, why Toyota Tanzania Ltd alipe kisogo jiji hilo la wajuaji? Kuna jamaa zangu hapo wamefika mji huo jioni ya leo na...
  11. Switching from Toyota IST to VW polo/golf... Ushauri wako please

    Kipato cha chini... ila IST nimeweza kuimudu vyema service & maitanance. IST ndo gari yangu ya kwanza kumiliki, ni mwaka mmoja sasa. Napenda speed, and stability matters a lot!! Ni mtu wa long trips mara kwa mara. IST NCP61 cc 1490 kwa town trips ni full enjoyment, ila kwa masafa marefu hizi...
  12. Natafuta gia box ya Toyota Cami

    Wadai mambo vipi. Nina shida natafuta gia box ya Toyota Cami mwenye nayo naomba tuwasiliane. Toyota Cami GearBox
  13. Car4Sale Toyota Runx for sale

    Car Basic Info Chassis NZE121-5025689 Maker TOYOTA Name RUNX Grade X AERO TOURER 2WD CC 1490 Color SILVER RYear 2002 /4 PYear 2002 KM 85 Price 13m. Piga simu 0688351006 Whatsapp me 0688351006
  14. M

    US Officials asked Toyota: How come Terrorists got a lot of Toyota Land cruiser Who funded them?

    U.S. counter-terror officials ask Toyota how terror group ISIS got so many of its Hilux pickup trucks and SUVs. Thousands of Hilux pickups and Land Cruisers have become fixtures in the terror group’s propaganda videos in Iraq, Syria and Libya. The Toyota pickup trucks was so dependable and...
  15. Natafuta duka la Toyota Spare kwa Dar

    Habarini wakuu na wale wazoefu mjini Dar, ni wapi nitapata spare parts za Toyota Noah, Corrola na RAV4 pia ningependa kujua wapi walipo mafundi wa kutengeneza Auto Transmission zinapokorofisha?
  16. F

    Toyota Alphard: Ubora na Mapungufu yake

    Ndugu wadau naomba kwa wale wenye uelewa juu ya aina hii ya magari, ubora wake, matumizi ya mafuta, na chochote kizuri kuhusiana na magari haya. Pia naomba kujua mapungufu yake kwa wale wenye uzoefu nayo. Je, kuna utofauti gani kati ya Toyota alphard "V" na Alphard "G" ingawa kwa macho huwa...
  17. B

    Naomba kujuzwa Uulaji wa mafuta wa Toyota V8

    Naomba kujua ulaji wa mafuta wa gari aina ya Toyota Land Cruiser V8 kwa upande wa injin ya disell na petrol per KM. Toyota Land Cruiser V8
  18. J

    Je, Toyota IST itanifaa kwa urefu wangu wa 6. 1 feet?

    Habari za saa hizi members wa forum ya magari. Najua humu kuna wazoefu wa Gari aina ya Ist. Ndio gari yangu ya kwanza nnayotaka kuinunua kwa sababu tatu. I. Utumiaji mdogo wa mafuta (nachukua yenye cylinder ya 1300) II. Nimeambiwa Haichemshi kwa safari za Dar - Moshi. III. Upatikanaji...
  19. Naomba Kufafanuliwa kuhusu Gari aina ya Toyota Belta

    Wasalaam Wanajamvi, Sina Mengi naomba mwenye Kujua kuhusu gari aina ya Belta Kiujumla Msaada kwa Ufafanuzi. Je, Belta na IST ipi gari bora katika kila Nyanja? Nawakaribisha kunitoa Tongotongo na Ahsanteni! Toyota Belta
  20. Car4Sale Toyota Rumion Inauzwa

    Price: 16.5 Ml. Engine Code :ZN Mileage 100,265km Engine Size 1,500cc Registration Year * 2009 Manufacture Year ** 2009/ 10 Ext. Color Black Wheel Drive :2wheel drive Transmission: Automatic Location: kinondoni,mwanamboka Steering :Right Fuel: Petrol Seats :5 Doors :5 Dimension: 4.21x1.76x1.63m...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…