toyota

  1. Bangila

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Toyota IST bajeti 7 Milioni

    Wakuu NAHITAJI mtu mwenye gari aina ya Toyota Ist aniuzie. Iwe Cc 1290. Isiwe imerudiwa rangi au kusushwa injini. Namba DF na kuendelea. Awe mwenye gari sio dalali. Mwenye nayo anicheck- PM
  2. Junior83

    JamiiForums Tanzania Toyota Prado inauzwa

    Toyota Prado Diesel 2012REG no DHB74000 KMS2980 CC1KD diesel enginerunning greatno faultssingle userno accidentsnew good year tyresclean int
  3. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Inahitajika Toyota Noah new model

    Nahitaji Toyota Noah New Model ambayo haijawahi pata ajali, isiwe inadaiwa, isiwe imesha funguliwa gearbox. Namba iwe C a D Bajeti yangu mil6-6.9
  4. Ramon Abbas

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Toyota vitz for sale

    IMESHUKA BEI TOYOTA VITZ Full A/C Cc 990 4 piston No mechanical problems imebadilishwa rangi Bei: mil 4.5 Simu- 0713096076 ipo kawe, Dar es salaam. Serious customers dont comment. Pls call asap
  5. Spaghetti

    JamiiForums Tanzania Toyota TUNDRA 2022

  6. M

    JamiiForums Tanzania Toyota mark ii grand gx 11o tatatizo la kuwa na mis mara kwa mara ukitembea kama 40 tu halafu ukichomoa terminal ya betri kwa dak 1 ukirudisha hakuna

    Wandugu, nimekutana na changamoto hiyo kwenye gari langu kwa mda wa zaidi ya miezi 4 sasa nimejaribu kuonana na mafundi tofauti dhidi ya watano kla mmoja alifanya alichozani ni tatzo, nimebadili coil, o² sensor , control box ,cylinder head, plug, pump bila mafanikio ila ikiwa na miss ukifungua...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Nissan Tanzania, Toyota Kenya na VW Rwanda

    Kwanza tunawashukuru Nissan kuja kufungua kiwanda cha magari Tanzania. Sasa ukitaka Toyota nenda kanunue Kenya maana huko nasikia Toyota wamefungua/wanafungua kiwanda. Ukitaka VW nenda Rwanda maana huko tayari kiwanda kipo. Ila Nissan, Tanzania ndio zitakuwa zinaundwa. Nasikia hata hao VW...
  8. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Yesterday morning at Abidjan port. They were waiting for two Toyota Corolla vehicles, bought online from Dubai

    Yametokea jana bandari nyama Ivory Coast iitwayo Abidjan.
  9. DOKEZO

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa Bei ya BEARING miguu ya mbele za Gari Toyota Wish

    Habari wakuu. Tafadhali mwenye kujua bei ya bearing za miguu ya mbele za gari aina ya Toyota wish naomba tujuzane tafadhali. Ahsanteni
  10. GAGL

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Toyota Noah Roadtour namba C au D inahitajika

    Kuna mtu anahitaji Toyota Noah, roadtour yenye namba C au D. Ana kianzio cha shilingi mil tano, nyingine atamalizia baadae. Kama unayo au kuna mtu anayo anataka kuisukuma, tafadhali, weka namba zako hapa, utapigiwa simu.
  11. Ramon Abbas

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Toyota caldina for sale at Magomeni Dar es Salaam

    Gari inauzwa. full AC mileage 121,000 haina tatizo lolote. asking price 3.5mil 0713096076
  12. 100 others

    JamiiForums Tanzania Filamu ya James Bond ikionyesha Land Cruiser Toyota inavyozipa shida na kuziharibu Range Rovers

    Mwezi huu wale wazee wa torrent imetoka hii filamu ya James Bond kwa jina la no time to die ,katika kutazama hii filamu nimeona scene ambayo imenifikirisha kwa nini na kuna maana gani? Mapema land rover walitoa video fupi ya no time to die ambayo ipo YouTube, cha kushangaza ni James Bond...
  13. ommytk

    JamiiForums Tanzania Nataka gari aina ya Toyota IST, bajeti 5 to 6m

    Nahitaji gari aina ist bajeti yangu ni 5 to 6m gari iwe yako sio dalali sinunui kwa dalali
  14. Ramon Abbas

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Toyota Vitz namba BV cc 990, kwa milioni 3

    .......
  15. J

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Toyota allion for sale

    TOYOTA ALLION NAMBA D ENGINE 1800CC IKO DAR BEI 6.4M(NEGOTIABLE) CONTACT 0762295954
  16. Tujisahihishe Tz

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Toyota IST inauzwa Tsh. milioni 10.5

    TOYOTA IST NAMBA D NZURI (Mwaka 2004) Haina tatizo lolote, Haijafunguliwa engin Well maintained, Full paid documents Engine Type 2nz, Engine capacity 1290 Haijarudiwa rangi, Full aircondition Bei 10.5million maongezi yapo PiGa 0621604087 WhatsApp 0621604087 Call 0621604087
  17. Junnie27

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Toyota crown for sale

    Toyota Crown Year:2005 EngineCC:2500 Price 8,800,000/= Call/what's app 0626409908 dsm
  18. Ramon Abbas

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Toyota IST no DLW inauzwa kwa 8mil. Dar es salaam

    iwahi, bei haina udalali. cc 1290. imenyooka call 0713096076 nikuunganishe kwa boss mkaongee zaidi.
  19. Junnie27

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Turbo Glanza for sell

    glanza turbo manual transmition 5.5m dsm 0626409908
  20. C

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Inauzwa/For sale: 2007 Toyota IST

    Toyota IST ya 2007, 1490 CC, 63,800 KM. Price/Bei: TSh 14.5 million Inuzwa na mmiliki (hakuna dalali). Ipo Mbweni malindi/Mbweni JKT, Dar es Salaam. Wasiliana 0759970963/ Whatsapp 0625536529 2007 Toyota IST Details Price negotiable: Yes Condition: Used Year: 2007 Make: Toyota Model: IST...
Back
Top Bottom