Bei ya control box ya Toyota RAV4 miss Tz ya mwaka 2006

dracular

JF-Expert Member
Dec 24, 2013
767
1,058
Habari za majukumu ndugu zangu, kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo juu napenda kuuliza bei ya control box ya gari tajwa hapo juu maana gari yangu iliingia kwenye maji ikapiga shot So nataka kununua mpya..

Naomba kuwasilisha kwenu
 
Habari za majukumu ndugu zangu,, kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo juu napenda kuuliza bei ya control box ya gari tajwa hapo juu maana gari yangu iliingia kwenye maji ikapiga shot So nataka kununua mpya..
Naomba kuwasilisha kwenu
Pole mkuu.
Nakumbuka kwenye uzi wako ule nilikuambia itakua control box imeingia maji na baada ya kuiwasha mkaiua kabsa....
Unaweza kwenda ilala au tandale kule magari mengi yamechinjwa ukajipatia control box.

Au mcheki kijana 07156666656 Jerry Spare.
 
Aiseee ni kweli mkuu ila huyu Jerry ni kama nimchek akasema hana
 
Back
Top Bottom