tls

GnuTLS (, the GNU Transport Layer Security Library) is a free software implementation of the TLS, SSL and DTLS protocols. It offers an application programming interface (API) for applications to enable secure communication over the network transport layer, as well as interfaces to access X.509, PKCS #12, OpenPGP and other structures.

View More On Wikipedia.org
  1. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Baada ya Vyombo vya Kikatiba kushindwa kusimama kwenye nafasi zao hatimaye TLS yafanikiwa kuwa chombo pekee kinachosimamia misingi ya Kikatiba

    Watu watajiuliza kwa nini sasa TLS inakuwa maarufu sana? Jibu ni moja tu! Umaarufu wa TLS unatokana na vyombo vya kikatiba kushindwa kusimama katika nafasi yake hivyo kupelekea TLS kama watu wanaojua umuhimu na unyeti wa katiba zaidi kuwa na sauti hivyo kupelekea wananchi kuanza kuwaona kuwa...
  2. Yoda

    JamiiForums Tanzania Rais mpya wa TLS, Mwabukusi ni mwanachama wa chama gani cha siasa?

    Uchaguzi wa TLS uliomalizika umeghubikwa sana na mivutano ya kichama kwani rais mpya wa TLS aliyechaguliwa, Mwabukusi ni mwanachama wa chama gani cha siasa hapa nchini?
  3. Kalamu Nzito

    JamiiForums Tanzania Mawakili wa Serikali walitumwa kuongeza nguvu uchaguzi TLS

    Nianze kwa kusema tu hii nchi ina pesa za mchezo. Maendeleo yanacheleweshwa kwa makusudi lakini fedha zipo. Ni Jambo lisilopingika kwamba Serikali inatamani sana kuviweka vyama vya kitaaluma mkononi mwake. Kwa wasiofahamu, Serikali ilituma mawakili wa Jamhuri kwenda kuongeza nguvu kwa mgombea...
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Wakili Sweetbert Nkuba kupinga ushinda wa Wakili Boniface Mwabukusi kuwa Rais wa TLS

    Aliyekuwa mgombea wa nafasi ya Rais wa chama cha Wanasheria nchini TLS, Wakili Sweetbert Nkuba amekataa kutambua ushindi alioupata mpinzani wake wa karibu Mwabukusi kwa madai ya ukiukaji wa mwenendo wa uchaguzi. Pia soma: Uchaguzi wa TLS 2024: Boniface Mwabukusi ashinda Urais, apata kura 1274...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA ina ushawishi Mkubwa katika Chama cha Wanasheria(TLS) nchini?

    Sabato Njema! Kama swali linavyoeleza Hapo juu. Kûna MTU anaweza kuniambia nini kinapelelea CHADEMA kuwa na ushawishi ndani ya Chama kikubwa cha TLS chenye Taaluma muhimu ndàni ya nchi? Nakabidhi Maiki kwèñu wataalamu.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Wenye Kujuwa Watufahamishe; Ucheleweshaji matokeo ya Uchaguzi wa TLS haukuwa na nia ya kutaka kubadili matokeo?

    Uchaguzi wa TLS umekuwa na mafunzo mengi, baadhi yakiwa wazi. Kwa mfano, juhudi kubwa zilizofanywa kumzuia mmoja wa wagombea wa nafasi hiyo asiwemo kwenye kinyang'anyio. Kampeni zilipoanza ilionekana nguvu za ziada zikielekezwa kwa mgombea aliyetakiwa kushika nafasi hiyo. Lakini juhudi hizo...
  7. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Chama cha Walimu wajifunze kutoka TLS

    Uchaguzi wa Chama cha Walimu huwa ni Aibu tupu, hebu wajifunze kutoka TLS. HONGERA TLS Hongera Mwabukusi
  8. J

    JamiiForums Tanzania Tanganyika Law Society ilianzishwa na Wazungu mwaka 1954 ikiwa na Mawakili wote Wazungu

    Tunakumbushana tu Kwamba TLS iliasisiwa na Wakoloni kabla Tanganyika haijawa Huru Ahsanteni Mlale Unono 😀
  9. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Online TVs zote uchaguzi TLS, Mtangazaji ni Mmoja , nini maana yake?

    Kwanza itakua ni wendawazimu mkubwa Kwa WATU tunaowaita Mawakili kua Wala Rushwa na Kupokea Rushwa ili mradi kura wampigie mtu anayetakiwa na Serikali. Pili, Ni Ujinga wa kiwango Cha juu sana ikiwa Serikali itahitaji Kuiongoza TLS. Tatu, Hili la Online TVs zote kua na Mtangazaji Mmoja, ni...
  10. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Mpaka polisi wa kutuliza ghasia wamewekwa standby, ina maana walishajipanga mapema kutupa matokeo ya mchongo Urais TLS?

    Wakuu, Dodoma huko mambo ni moto. Kura wamemaliza kupiga saa 8 lakini mpaka sasa matokeo hola. Kura zenyewe ziko elf 2 tu, nini kinawafanya wachukue muda mrefu hivyo? Unaambiwa mpaka polisi wa kutuliza ghasia wamewekwa standby kama kikinuka waingilie kati! Mpaka wamejitayarisha na polisi...
  11. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania TLS waomba radhi kwa post yao waliyoweka mtandao wa X kuhusu zoezi la kupiga Uchaguzi wa Rais TLS kumalizika

    Wakuu, Tls waomba radhi kwa post waliyoweka kuhusu uchaguzi kuisha, wasema zoezi la kupiga kura litaendelea kwa muda wa saa moja kuanzia saa 07:20 mchana hadi 08:20 mchana.
  12. Abdul Said Naumanga

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Uchaguzi wa Viongozi wa TLS umeingia Katika hali ya Sintofahamu, mfumo wa “Mjue Wakili” wagoma

    Kutoka katika Ukumbi wa JKCC uliopo jijini Dodoma, mawakili wa Tanzania Bara wamekusanyika kwa ajili ya zoezi muhimu la kupiga kura kuchagua Rais, Makamu wa Rais, na viongozi wengine wa Chama cha Mawakili Tanzania bara(Tanganyika Law Society - TLS). Matokeo ya uchaguzi huu yanatarajiwa kutolewa...
  13. figganigga

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi TLS: Ni Mwabukusi vs Nkuba. Serikali imeshatia Mguu

    Salaam Wakuu, Pamoja na kwanza Mawakili hasa wa kujitegemea na Wananchi wote wanampenda Mwabukusi, lakini Serikali imeshatia Mguu, Mawakili wote wa Serikali wamelipiwa kwenda Dodoma kupiga Kura. Na wapo kikazi kwani wamepewa Maelekezo kwamba Nkuba ashindwe. Kwa siasa za TLS, na Mawakili...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Mkuu Dkt. Biteko amwakilisha Rais Samia Mkutano Mkuu wa Chama cha Wanasheria Tanganyika 2024, Dodoma

    Fuatilia yanayojiri kwenye Mkutano Mkuu wa Chama cha Wanasheria Tanganyika 2024 - Dodoma. Naibu Waziri Mkuu, Dkt. Dotto Biteko akijibu hoja ya Mawakili kukamatwa wanapotekeleza majukumu yao amesema kuwa Serikali imelichukua hili. Amesema kuwa nchi hii inaendeshwa kwa misingi ya sheria hivyo...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo ya Elimu ya juu ni haki kufadhili mkutano mkuu wa TLS?

    Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) nchini Tanzania ina majukumu muhimu katika usimamizi na utoaji wa mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu. Majukumu yake ni pamoja na: Utoaji wa Mikopo: Kusimamia utoaji wa mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu wanaostahili, kulingana na taratibu na vigezo...
  16. L

    JamiiForums Tanzania TLS isajiliwe kama chama cha siasa tujue moja

    Hakuna chama cha wanasheria hapa, heshima imeshuka sana katika taasisi hii. Hiki chama kimegeuka kuwa chama cha siasa na mm ntafurahi sana huyo Mwabukusi mnayedhani ataleta mabadiliko awe Rais wa hicho chama kipya cha siasa nchini kilichojificha kwenye mwamvuli wa chama cha kitaaluma...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Wakili Kitale apingwa kesi dhidi ya TLS, uamuzi Agosti 9

    Mvutano wa kisheria unaoendelea Kuibuka katika shauri lililofunguliwa na Wakili Steven kitale katika Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza baada ya mjibu maombi wa nne, Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) kuwasilisha pingamizi likiwa na hoja mbili. Wajibu maombi katika shauri hilo namba 17558/2024...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Kumbe urais wa TLS maana yake ni dictatorship kind of presidency.

    Nasikia watu wanasema kuw mwabukusi atakuwa moto as of TLS siyo taasisi bali mtu mmoja anaweza kuidrive tu akijisikia. Sasa kama.wana sheria ni madictator tutakimbilia wapi
  19. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Je Mwabukusi atawasaidia Watanganyika dhidi ya ukatili na uovu wa jeshi la polisi iwapo atashinda urais wa Tls?

    Tangu tuwe chini ya mkoloni jeshi la polisi linalalamikiwa kila siku. Utesaji na mauaji ya watuhumiwa. Kila siku ni kilio kwa wananchi. Moja ya dhima ya kuanzishea Tls mwaka ni 1954 ni kutoa msaada kwa jamii inayoonewa na kunyimwa haki . Sasa mbona utesaji wa polisi na hata mauaji...
  20. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Wakili Paul Kaunda: Mawakili tulindwe tunapotekeleza wajibu wetu

    Wakili Paul Kaunda amesema ameamua kugombea nafasi ya Urais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kwa Mwaka 2024, sababu anataka kuwalinda na kuwatetea Mawakili wachanga ili aongeze thamani na heshima. Ameeleza kuwa Mawakili wachanga wapo takribani 60% na kutimiza hilo taanza kwa...
Back
Top Bottom