tls

GnuTLS (, the GNU Transport Layer Security Library) is a free software implementation of the TLS, SSL and DTLS protocols. It offers an application programming interface (API) for applications to enable secure communication over the network transport layer, as well as interfaces to access X.509, PKCS #12, OpenPGP and other structures.

View More On Wikipedia.org
  1. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Nini msimamo wa TLS kwa wanachama wake kuwatetea wabakaji na walawiti ambao jamii nzima imeona unyama wao?

    Mimi siyo mwanasheria, lakini nimeona msimamo wa TLS kulaani tukio la unyama uliofanywa na wabakaji na walawiti na TLS imetowa wito kuhakikisha haki inatendeka. Sasa napata tabu kidogo kusikia kuna mawakili wanne wanaowatetea hawa washenzi wasiostahili huruma hata chembe. Mimi ningekuwa wakili...
  2. Abdul Said Naumanga

    JamiiForums Tanzania TLS Yatoa Tamko Kuhusu Maandamano ya Wananchi wa Ngorongoro, Yataka Haki Zao Ziheshimiwe

    Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimetoa wito kwa Serikali kufuatia maandamano yaliyofanywa na mamia ya wananchi wa Ngorongoro tarehe 18 Agosti, 2024, wakidai kuheshimiwa kwa haki zao za kimsingi. Maandamano haya yalionyesha hisia kali kutoka kwa wananchi wanaopinga kuondolewa kwenye ardhi...
  3. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania TLS Kuunda kamati Maalum Sakata la Ngorongoro

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Boniface Mwabukusi amesema Baraza la Uongozi la chama hicho limeunda kamati maalum kufuatilia suala la Ngorongoro ili kujua ukweli wake Mwabukusi amezungumza hayo alipokutana na wanahabari leo, Jumanne Agosti 20.2024 ambapo amesema pamoja na...
  4. Heparin

    JamiiForums Tanzania Wakili Mwabukusi: Aliyesababisha Binti wa Yombo Kubakwa na Kulawitiwa naye Afikishwe Mahakamani

    https://youtu.be/m9WGFYVzCvU Fuatilia yatakayojiri kwenye mkutano wa Rais wa TLS, Boniface Mwabukusi kwenye mkutano wake na waandishi wa habari, leo saa 4:00 asubuhi. Mwabukusi anazunguzia suala la wamasai kuondolewa kwenye eneo lao kwa nguvu, na serikali imeondoa huduma zote za msingi kwao...
  5. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Ukiachana na kulaani, yapi mamlaka mengine ya TLS?

    Kila tukio likitokea ambalo liko ndivyo sivyo, TLS inajitokeza kulaani. Latest ilikuwa ya Chadema huko Mbeya. Wakati Mwambukusi akiomba kura alionekana akituaminisha kama TLS ni bonge ya chombo ambacho kinaweza kufanya chochote wakati wowote lakini badala yake nacho kimekuwa chombo cha kulaani...
  6. Abdul Said Naumanga

    JamiiForums Tanzania TLS Yatoa Tamko Kulaani Ukamataji Holela wa Viongozi wa Siasa, Wanaharakati na Makundi ya Kiraia , na Kuonya Kuhusu Hatari ya Kuvuruga Amani ya Taifa

    https://youtu.be/FfitG5qRW2M?si=HcUhPfFnt9Wh7XCX Katika taarifa iliyojaa msisitizo na ufundi wa kisheria, Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimeonyesha wasiwasi mkubwa kuhusu mwenendo wa jeshi la polisi katika kukamata viongozi wa kisiasa, mawakili, waandishi wa habari, na wanaharakati...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Rais wa TLS Adv Mwambukusi tunaomba uwe na utambulisho ( Identified user) hapa JF

    Kwanini: Hii itasaidia kukupa mawazo, taarifa, fikra njema za wapenda haki ambao si rahisi kukufikia by whatever simple means. Na kwa njia hiyo utazifanyia kazi kama zitakuwa within your REACH!. Pia utaweza kupata the way out on a number of issues that need your attention as President of...
  8. Influenza

    JamiiForums Tanzania TLS yamtaka Rais Samia kuunda Tume ya kuchunguza Polisi kuhusu utekaji wanaohusishwa nao. Yataka ripoti za uchunguzi kutolewa

    Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimemshauri Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kuunda tume maalumu ya kuchunguza ushiriki wa Jeshi la Polisi kwenye masuala ya utekaji na utesaji kwa kuwa Jeshi la Polisi limekuwa likituhumiwa kushiriki katika vitendo hivyo...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Wakili Mwabukusi azawadiwa kuku.

  10. B

    JamiiForums Tanzania Fatma Karume uso kwa uso na Kikeke, Rukii, yanayo endelea uchaguzi TLS, kuhusu maisha yake

    Fatma Karume atoa shule kwa waandishi habari na wananchi juu ya umuhimu wa TLS Tanganyika Law Society https://m.youtube.com/watch?v=6Ga1OhmOZNI Fatma Karume wakili bobezi aliyesajiliwa Middle Temple London, Mahakama Kuu Tanzania na Mahakama Kuu Zanzibar anatoa somo kazi kubwa ya TLS ni...
  11. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania TLS ya Mwabukusi: Anza na Haya: Majaji Wanaoharibu Kesi na Ucheleweshaji wa Kusikiliza

    1.0 Kuanzia Mahakama za chini hadi Mahakama Kuu suala la Hakimu au Jaji kuharibu kesi kwa manufaa yake ni la kawaida tu. HAWAJALI. Wanajificha kwenye mstari wa mwisho wa hukumu zao unaosema "mlalamikaji/ mlalamikiwa ana haki ya kukata rufaa kwenye Mahakama ya juu" Mfumo wa kutengeneza rufaa...
  12. Abdul Said Naumanga

    JamiiForums Tanzania TLS Yalaani Vikali Udhalilishaji na Ukatili wa Kijinsia wa Binti kutoka Yombo Dovya, Dar es Salaam

    Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimelaani vikali kitendo cha udhalilishaji na ukatili wa kijinsia kilichooneshwa kwenye video inayosambaa mitandaoni, ikimuonesha mwanamke akifanyiwa vitendo hivyo na kundi la wanaume zaidi ya wanne. TLS imelitaka Jeshi la Polisi kuchukua hatua za kisheria...
  13. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Kauli hii ya Rais Samia Atafanya Kazi na TLS ya Aina Gani? Hizi ni Salaam kwa Mwabu,. Swali ni is He A Bow Down Type or a Stand Firm?.

    Wanabodi, Wakati tukisubiri salaam za pongezi za mihimili kwa rais mpya wa TLS, sio vibaya tujikumbushe kauli hii ya Rais Samia atafanya kazi na TLS ya aina agani! https://youtu.be/fZ7MWhPeyko?si=LtHTK8wfeAXMAtun Hizi ni kama salaam kwa rais mpya wa TLS, Wakili Boniphase Mwabukusi . Swali nI is...
  14. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Hakuna Ubishi Mwabukusi ni Mwanaharakati, Je TLS Yake Iwe ya Kiharakati, Au Asilete Harakati Zake kwenye TLS Yetu, Ibaki Kuwa Profesheno Body?

    Wanabodi, Hii ni makala yangu gazeti la Nipashe la leo Hii ni makala yangu ya pongezi kwa Wakili Mwabukusi kuchaguliwa kuwa rais wa TLS, na kumpa ushauri wa bure, aibadili TLS kutoka kule juu ilipo, aishushe chini ground zero Ihudumie wananchi wa kawaida wanaohitaji huduma za kisheria, badala...
  15. Unavoidable Servant

    JamiiForums Tanzania Ni vizuri kuwajuwa maadui wa Taifa, thread hii itumike kuwatambuwa maadui waliokata jina la Mwabukusi TLS

    JF ni maktaba ya Taifa, ni vizuri tukawajuwa maadui wa Taifa letu waliopo TLS walioshiriki kukata jina la Mwabukusi kugombea Urais wa TLS kabla Mwabukusi kutumia mahakama kupata haki yake ili watambulike kama ni Enemy of State. Watajwe hapa kamati nzima kwa majina ili waone aibu yao na...
  16. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Mwabukusi, uchaguzi umekwisha sasa jielekeze kwenye majukumu ya TLS

    Ushauri kwa Mwabukusi. Usicheze na jukwaa jikite katika MALENGO YA KUANZISHWA KWA TLS Kwa mujibu wa kifungu cha 4 cha Sheria ya TLS sura ya 307 malengo ya kuanzishwa TLS ni: (a)Kulinda na kukuza viwango vya taaluma ya sheria na mwenendo wa wanasheria nchini Tanzania; (b) Kuwezesha...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Kutojua Makonda yuko wapi na Hali gani, Hatuna Vyombo vya habari vya Kiuchunguzi

    Tunakaribia wiki moja au zaidi baada ya tetesi za kutoonekana kwa Makonda. Hapa Mimi nimejifunza kwamba ndio maana viongozi huwa wanafanya ufisadi Mkubwa na hatujui, Sasa kama issue ya Makonda tu eti mpaka leo Media zinareport udaku udaku tu na tetesi. Silaumu lakini nakiri tu kwamba Tanzania...
  18. comte

    JamiiForums Tanzania Sioni Rais wa TLS Wakili Mwabukusi akisimamia utekelezaji wa ibara na. 4 ya sheria ya TLS

    4. Objects The objects for which the Society is established are: to maintain and improve the standards of conduct and learning of the legal profession in Tanzania; to facilitate the acquisition of legal knowledge by members of the legal profession and others; to assist the Government and the...
  19. kavulata

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi TLS ulikuwa kati ya Sheria na utulivu wa nchi

    Kuna wakati watanzania wa kawaida wanashindwa kuchagua kipi Bora kati ya Sheria kwa upande mmoja na amani na utulivu kwa upande wa pili. Mh. Mwabukusi, Rais mteule wa TLS anahubiri Sheria Sheria Sheria Sheria mwanzo mwisho kwenye taifa ambalo watu wake wanajiona kuwa wako huru, Wana amani na...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Naona kuna kelele na nguvu nyingi sana huku mitandaoni kuhusu uchaguzi wa TLS hebu mnielimishe ina uzito gani hasa!?

    Kumradhi wanabodi kuuliza si ujinga naona tu nguvu nyingi sana zina tumika kuhakikisha TLS Inapata kiongozi fulani. Pengine tofauti na jumuiya zingine nyingi ambazo wahusika huchaguana tu na sa nyingine huchaguana kimyakimya lakini kwa TLS hali ni tofauti sana Natamani sana kujua nini nguvu ya...
Back
Top Bottom