tls

GnuTLS (, the GNU Transport Layer Security Library) is a free software implementation of the TLS, SSL and DTLS protocols. It offers an application programming interface (API) for applications to enable secure communication over the network transport layer, as well as interfaces to access X.509, PKCS #12, OpenPGP and other structures.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Kuna kampeni zinaendelea chinichini za kumfanya Mwabukusi asipigiwe kura kwenye uchaguzi wa Rais wa TLS

    Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS) kinarajia kufanya uchaguzi wake mkuu hivi karibuni Jijini Dodoma kumchagua rais wa kuongoza chama hicho kwa kipindi cha mwaka mmoja Wagombea halaii waliopitishwa kupigiwa kura kwenye nafsi hiyo ni sita kati ya hao Wakili machachari Boniface Mwambukusi ni...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Wakili Mwambukusi huenda akashidwa kwenye kura uchaguzi wa TLS

    Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS) kinarajia kufanya uchaguzi wake mkuu hivi karibuni Jijini Dodoma kumchagua rais wa kuongoza chama hicho kwa kipindi cha mwaka mmoja Wagombea halaii waliopitishwa kupigiwa kura kwenye nafsi hiyo ni sita kati ya hao Wakili machachari Boniface Mwambukusi ni...
  3. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 2025 tunahitaji mdahalo wa wagombea Urais kama ilivyofanyika kwa TLS. Unawaweka wagombea kwa uhalisia wao, hakuna longolongo

    Wakuu, Mwakani wagombea Urais wanatakiwa kufanyiwa mdahalo kama huu ulioendesha leo na Star Tv. Pia soma: Mdahalo wa Wagombea Urais Chama cha Mawakili Tanzania Bara (TLS) mwaka 2024 Kupitia mdahalo huo unaona kabisa huyu anafaa huyu amejaa pumba, na wengine wapo kwaajili ya kujaza nafasi tu...
  4. Chance ndoto

    JamiiForums Tanzania Nkuba ana uwezo wa kuwa kiongozi. Hata akishindwa TLS

    Nimefatilia kwa undani sana huu mdahalo wa TLS election candidates, na namfahamu sana nkuba na bwana boniface mwabukusi. Nkuba ana uwezo wa kuwa kiongozi. Hata akishindwa TLS, huyu bwana tunamuhitaji katika medani ya siasa ya taifa. Kuna muda hatuhitaji watu harsh tunahitaji watendaji, nchi...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kwa vyovyote vile Adv Nkuba akishinda Uchaguzi TLS umma utaamini ameshinda kwa njia za Napenization

    Namba hazidanganyi hata kama akishinda kwa halali bado sifa yake ya kuwa mwanachama wa chama cha mapinduzi inaonekana kama imemchafua. Siku hizi ukiwa kijana na ukawa mwanaccm jamii na vijana wenzako wanakutazama kwa jicho la Tofauti kabisa na huwenda ikakukosesha fursa muhimu. Njia pekee...
  6. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Nadhani Boniface Mwabukusi amekosea fani ya sheria . Nadhani alitakiwa kugombea udiwani au ubunge

    Nadhani Boniface Mwabukusi amekosea fani ya sheria. Nadhani alitakiwa kugombea udiwani au ubunge. Tukubaliane kimsingi uendeshaji wa nchi mbali na kufuata sheria na katiba lakini maslahi ya nchi yapo mbele zaidi ya sheria hii ni common sense tu unaweza usiikute kwenye sheria au katiba...
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mwabukusi: TLS ni Kiungo wa kuifanya Nchi yetu kushamiri Kiuchumi, Kisiasa na Demokrasia

    Ameyasema hayo leo Julai 26/7/2024 baada ya kushinda kesi yake Baada Mahakama kutengua maamuzi ya Kamati ya Rufani ya TLS, na kumrejesha Wakili Mwabukusi kugombea Urais wa TLS Hapo awali, Wakili Mwabukusi aliondolewa kwenye mchakato huo ambapo aliamua kufungua shauri la kupinga maamuzi ya...
  8. R

    JamiiForums Tanzania TLS inaweza kukata rufaa Mahakama ya Rufaa dhidi ya ushindi wa Mwambukusi kabla ya uchaguzi? Je, uchaguzi utasimamishwa kusubiri rufaa au utaendelea?

    Kwa huku iliyotolewa leo tarehe 26/07/2024 je TLS na Serikali wanaweza kukata Rufaa? Endapo watakata rufaa uchaguzi utaendelea au utasogezwa mbele kusubiri maamuzi? Hongera Mwambukusi kura yangu unayo baada ya kusikia matamanio yako ya utekelezaji s. 4. Nimefurahi pia kwamba umekubali kuwa...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Tushangilie ushindi wa TLS lakini tusitegemee mabadiliko TLS kupitia Mwambukusi; huyu ni mwanasystem kindakindaki

    Tunaposhangilia ushindi wa Mwambukusi nakuona anafaa kuwa RAIS wa TLS tusitegemee jipya sana baada ya kuapishwa kuwa Rais wa TLs. Maambukusi ni zao la mfumo wa nchi kama alivyokuwa Hosea. Tunachopaswa kushangilia ni kwamba mahakama imerejesha hoja kwa mawakili wa Tanzania kujitafakari kama...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Boniface Mwabukusi ashinda kesi dhidi ya Tanganyika Law Society. Ruksa kugombea Urais wa Chama hicho

    Kesi ya Boniface AK Mwabukusi kupinga kukatwa kwenye Uchaguzi wa Rais wa Tanganyika Law Society kutolewa hukumu leo pale Mahakama kuu ya Tanzania Jumaa Mubarak 😃 ---- Mahakama Kuu ya Tanzania kanda ya Dar es Salaam leo, Ijumaa Julai 26.2024 imetoa hukumu ya kesi iliyokuwa imefunguliwa na...
  11. Black Butterfly

    JamiiForums Tanzania Mahakama yaridhia Wakili Mwabukusi afungue kesi ya kupinga kuenguliwa kuwania Urais TLS

    Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imemruhusu wakili Boniface Mwabukusi kufungua shauri la marejeo ya uamuzi uliomwengua kwenye orodha ya wagombea urais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS). Hata hivyo, imekataa ombi la kusimamisha mchakato wa uchaguzi huo ambao sasa utaendelea kama...
  12. comte

    JamiiForums Tanzania Fatuma Karume: Mnaelewa mnataka Urais wa TLS ya Serikali lakini inayolipiwa na Mawakili?

    Fatuma KArume: Jana kwenye mdahalo wa TLS nimewasikiliza wagombea wa Urais wote na nimewauliza: *Mnaelewa mnataka URAIS wa TLS ya Serikali lakini inayolipiwa na mawakili? *TLS haiwezi kutunga regulations bila ya idhni ya AG. *Hamuoni AG anaingilia “Freedom of Association”? Sidhani nimeeleweka.
  13. comte

    JamiiForums Tanzania TLS ni chama cha serikali hakikuanzishwa na mawakili bali na sheria ya bunge tena la kikoloni

    Mawakili na wanachama a TLS ni watu wajivuni sana; wanajiona sana kiasi kwamba na wao wenyewe wanajitambulisha kama wasomi. Lakini TLS hawakuianzisha wao; walianzishiwa na serikali. Halafu wanatupigiza kelele hapa kana kwamba ni watu wa mhimu sana kuliko wengine. wanazidiwa na walimu ambao...
  14. dubu

    JamiiForums Tanzania Kama kweli Raisi Samia kaingilia Uchaguzi wa Tanganyika Law Society, itakuwa ni hujuma na ukatili wa hali ya Juu

    Salaam Wakuu, Mwezi wa nane chama cha Wanasheria Tanganyika (Tanganyika Law Society - TLS) wanafanya Uchaguzi wa kumchagua raisi wao na Viongozi wengine. Kitu ambacho kimewashangaza wengi, ni kukatwa kwa jina la Wakili Mwabukusi asigombee Urais wa TLS kwasababu eti anawavunjia heshima Viongozi...
  15. Influenza

    JamiiForums Tanzania Wakili Kibatala: Nitasusia Uchaguzi was TLS kama Mwabukusi asiporudishwa kwenye orodha ya Wagombea

    Katika kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (Tanganyika Law Society -TLS), utakaofanyika Agosti 2, 2024, Wakili Msomi Peter Kibatala ametishia kususia Uchaguzi huo ikiwa Wakili Boniface Mwambukusi hatarudishwa kwenye orodha ya Wagombea Soma; Kamati ya Rufaa ya Uchaguzi...
  16. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Mwabukusi: Kamati ya Nidhamu ilinihukumu sababu ya kukosoa viongozi wa juu wa serikali, hakuna aliye juu ya Sheria na Katiba

    Mwabukusi anasema aliadhibiwa kwa kwenda kinyume na maadili sababu ya kuwakosoa viongozi wa juu kwenye mkataba wa DP World, kuwa mkataba unaoiba rasilimali za tanganyika kiyume cha sheria. Mwabukusi ameyasema hayo katika mkutano wake na waandishi wa habari baada ya kamati kufafanya maamuzi ya...
  17. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Mwabukusi afungua kesi kupinga maamuzi ya Kamati ya Rufaa ya TLS kumuengua kugombea Urais wa TLS

    Wakili Boniface Mwabukusi amefungua kesi kupinga maamuzi ya Kamati ya Rufaa ya Chama cha Tanganyika Law Society (TLS) kumuengua kugombea Urais wa TLS. Pia soma: Kamati ya Rufaa ya Uchaguzi imemuengua Boniface Mwabukusi kugombea nafasi ya Rais wa TLS Ikumbukwe Mwabukusi alifikishwa kwenye...
  18. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Rufaa ya Uchaguzi imemuengua Boniface Mwabukusi kugombea nafasi ya Rais wa TLS

    Kamati ya Rufaa ya Uchaguzi imemuengua Boniface Mwabukusi kugombea nafasi ya Rais wa TLS katika Uchaguzi Mkuu wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika kwa mwaka 2024 Wanadai hana sifa ya kugombea urais wa chama cha mawakili tanganyika. Mashauriano yanaendelea baada ya maamuzi husika. PIA SOMA -...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Wakili Boniface Mwabukusi hafai na hastahili kuongoza TLS, heshima ya taasisi itashuka mno

    TLS ni body corporate, ina common seal, ni chama chenye historia kubwa katika nchi, ndio maana serikali imeingiza mipango yake kwenye TLS, sheria za nchi hii haziwezi kwenda bila kushirikishq TLS, ndio ukitaka kuchukua hatua za kinidhamu kwa mawakili, TLS wapo kama wajumbe, ukitaka kupata...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Opinions and recommendations regarding The Finance Bill 2024

    In reviewing the Finance Bill 2024, published on June 18t, 2024, SARC Law Chambers would like to highlight our opinions and recommendations regarding certain proposed and non-proposed provisions within the Tax Revenue Appeals Act (CAP 408) and the Tax Administration Act (CAP 438). 1.0 Regarding...
Back
Top Bottom