GnuTLS (, the GNU Transport Layer Security Library) is a free software implementation of the TLS, SSL and DTLS protocols. It offers an application programming interface (API) for applications to enable secure communication over the network transport layer, as well as interfaces to access X.509, PKCS #12, OpenPGP and other structures.
Tamko Kuhusu Matukio ya Ukiukwaji wa Haki za Binadamu Wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 2025 (29 Oktoba hadi 04 Novemba)
1.0 Utangulizi
Tamko la Mtandao Wa Watetezi Wa Haki za Binadamu Tanzania na Chama Cha Wanasheria Tanganyika Kuhusu Matukio ya Ukiukwaji wa Haki za Binadamu Wakati wa Uchaguzi...
Kwa Masikitiko Makubwa tunapenda kuwataarifu kuhusu kifo cha Wakili Peter Elibariki Makundi (Roll No. 5937), mwanachama wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Tawi la Ubungo, aliyefariki dunia kwa bahati mbaya siku ya Jumatano, tarehe 29 Oktoba 2025, baada ya kupigwa risasi katika eneo la...
Naamini kuna haja ya kuwa na kumbukumbu sahihi za raia wenzetu ambao wameuawa au kujeruhiwa kwa risasi za moto tangu 29 October 2025.
Hivyo, ninapendekeza familia za wahanga ziwasilishe kwa TLS taarifa za ndugu zao ambao wameuawa au kujeruhiwa kwa risasi za moto tangu maandamano ya 29 October...
Inawezekana kweli ndio walomteka Shyrose na Kumuua , inawezekana ni kweli kabisa
Kwanini wafariki wakiwa mikononi mwa Polisi?
Ni wazi, Kwa Matukio ya Utekaji na Mauaji yanayoendelea, katika Intelijensia , Huenda Polisi wangewatumia Hawa watu kuprove MADAI Yao ya Kila siku kua Wanaotekwa, ni...
Chama cha Mawakili wa Serikali (PBA) kimesema hatua zilizochukuliwa na viongozi wa Chama Cha Wanasheria Tanganyika (TLS) cha kuwataka mawakili wa kujitegemea kutoshiriki kwenye shughuli za utoaji wa msaada wa kisheria kwa wananchi ni kinyume cha sheria za nchi na miiko ya kazi za wanasheria...
Wakili Mwabukusi ambaye pia ni Rais wa TLS (Chama cha Wanasheria Tanganyika), akizungumza na Wakili TV leo, amesema TLS inachukulia suala la polisi kuzunguka katika ofisi zao kwa uzito mkubwa sana. Amesisitiza pia kuwa TLS si wahalifu bali ni chombo cha kisheria kinachotekeleza majukumu yake kwa...
Wanajamvi kwema?
Nadhani wote tunakumbuka tarehe 15/09/2025, taifa lilishuhudia kadhia ya aibu katika Mahakama Kuu DSM. Wanachama wa CHADEMA walipigwa na kudhalilishwa na jeshi la polisi ila mbali na hayo pia Wakili Deogratius Mahinyila (ambaye pia ni mwenyekiti wa CHADEMA Vijana), akiwa kazini...
Chadema walikuwa wameomba ukumbi pale kufanya mkutano wa kuwakumbuka mashujaa yote.
Eneo lote limezingirwa na ‘Mapolisi’
===
CHADEMA kupitia ukurasa wao wa X wameandika kuwa;
"Jeshi la Polisi limezingira ofisi za @TanganyikaLaw na kufunga barabara zote za kuelekea katika ofisi hiyo na kuzuia...
Ama kwa hakika hakuna kulipo salama!
Kasikika Mwabukusi:
1. Kudogosha taarifa ya Polepole kuwa mifumo INEC na NIDA kusomana ni jambo la kawaida. Sina hakika alisahau kuwa kwa mujibu wa Polepole kulikuwa na mfumo wa tatu uliotajwa pale. Haikuwa siri, kulikuwa na mfumo wa CCM uliotajwa pamoja na...
Palikuwa na uzi humu:
Soma: Polepole kuitisha mifumo ya uchaguzi na NIDA kuhusiana na CCM kukaguliwa, ili kujiridhisha ina maana gani kiufundi?
Uzi huo ulikuwa na maelezo ya kina katika lugha rahisi kuhusiana na alichosema Polepole na kuibiwa uchaguzi alikokuangazia.
Ikumbukwe anayeweza...
TAARIFA YA MAKUBALIANO
Kati ya
Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (Tanganyika Law Society – TLS)
Na
Mheshimiwa Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. George M. Masaju
Tarehe: 11 Agosti 2025
Kufuatia ahadi iliyotolewa mnamo Aprili 2025 ya kufika mbele ya Mheshimiwa Jaji Mkuu wa Tanzania, uongozi wa TLS...
1 AGOSTI, 2025.
TAMKO KUHUSU HADHI, STAHA, HAKI NA UTU KATIKA UENDESHAJI WA SHAURI DHIDI YA WAKILI TUNDU ANTIPAS LISSU MUGHWAY.
Baraza la Uongozi la Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) limefuatilia kwa karibu mwenendo wa uendeshaji wa shauri linalomkabili Mwanachama wetu, Wakili Tundu...
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi amewaomaba wananchi wa Kahama Mjini kumchagua Sweetbert Nkuba aliyewania kugombea ubunge endapo atapitishwa na chama chake cha CCM.
Wakili Mwabukusi ameandika katika ukurasa wake wa Facebook baada ya Nkuba kumtembelea ofisini...
Siku chache zilizopita niliandika uzi unaoitwa: “Watu wanasali, mabomu yanalia. Je, kuna uhuru wa kuabudu?”Ulikuwa ni mwitikio wa kile tulichoshuhudia tarehe 22 na 29 June 2025: waumini wa dhehebu flani wakitawanywa kwa mabomu wakati wakiwa kwenye ibada.
Sikuandika kwa lengo la kutetea mtu...
NINA LAANI NA KUKEMEA UNYANYASAJI NA SHAMBULIO LA KIIMANI LINALOFANYWA DHIDI YA WAUMINI WA KANISA LA UFUFUO NA UZIMA.Ni Vema Viongozi wa Serikali wakatambua kwamba
1.Nikiambiwa nichague kati ya Yesu na Tanganyika nitachagua Yesu.
2.Nikiambiwa nichague kati ya Yesu na Ukimya munao uita amani...
Chama cha Wanasheria Tanganyika (Tanganyika Law Society – TLS) kimetoa taarifa rasmi leo tarehe 30 Juni 2025 kuhusu tukio la kuuawa kwa mmoja wa wanachama wake, Wakili Joseph Masanja (Roll No. 7664), lililotokea tarehe 23 Desemba 2024 katika bwalo la Jeshi la Magereza, Babati – Manyara.
PIA...
Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) kimesema kinafuatilia taarifa za kutoweka kwa Joseph Mrindoko na Jackson Kabalo wanaounda kundi la Wchokonozi.
Vijana hao wanadaiwa kukamatwa na Polisi leo Juni 20 na kupelekwa kituo cha polisi USA River wilayani Arumeru Mkoa wa Arusha.
Hata hivyo, Jeshi...
Chama cha Wanasheria Tanganyika(TLS) kimewataka wananchi kuwa makini na watu wanaotoa huduma za kisheria bila ya kuwa mawakili(maarufu kama vishoka) ili kujiepusha na madhara yanayoweza kujitokeza.
Akizungumza kwa niaba ya Kamati ya Malipo ya Pamoja na Mapambano Dhidi ya Vishoka (anti vishoka)...
TLS ni chama cha wanasheria ambacho kazi yake kubwa ni kusimamia maadili ya wanasheria.
Kwa sababu hiyo ndani yake kumeundwa kamati ya maadiliya mawskili ili ukiwa na lalamiko lolote dhidi ya mawakili wao watasikiliza na kutoa maamuzi.
Kuna shauri la kimaadili nililipeleka Toka mwaka Jana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.