tls

GnuTLS (, the GNU Transport Layer Security Library) is a free software implementation of the TLS, SSL and DTLS protocols. It offers an application programming interface (API) for applications to enable secure communication over the network transport layer, as well as interfaces to access X.509, PKCS #12, OpenPGP and other structures.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Mwambukusi wa TLS ndio yule yule?

    Ndiyo yule aliesema jua mvua Tanzania TLS Itapigania katiba mpya? Ndiyo yule yule aliesema atainyoesha serakali nini TLS Tanzania hii? Au huyu anaepiga madogo vyama vya upinzani kupitia account yake X Ni yupi hasa?
  2. Kwanini TLS ya Mwabukusi imefilisika ghafla? Hela zimeenda wapi? Imeshindwa kushiriki uchaguzi serikali za mitaa

    Najiuliza taasisi tajiri kama hii fedha zake zinekwenda wapi? Tena muda mfupi tangu uongozi mpya iingie madarakani? Jamani!
  3. S

    TLS na Mwabukusi: Fungueni kesi dhidi ya serikali kwa ukiukwaji mkubwa wa haki na udhalilishaji wa utu wa binadamu katika mahabusu na magereza nchini

    Kwako Mwabukusi, TLS na wadau wote wanaoguswa na ukiukwaji wa haki za binadamu na udhalilishaji wa utu (dignity) wa mwanadamu nchini. Hali za mahabusu na magereza hapa nchini ni ambazo hazifai kwa binadamu kuwekwa. Ni jambo ambalo kila mtu anajua kwamba mfumo wa mahabusu na magereza zetu ni ule...
  4. Eliakim Maswi aitaka Wizara na TLS kushirikiana kwa maslahi ya Taifa

    Wito huo umetolewa na Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria, Eliakim Maswi katika kikao kazi kilichowakutanisha Wizara, Baraza la Uongozi la Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS) na Kitengo cha Kuzuia Utakatishaji wa Fedha Haramu kwa lengo la kujengeana uwezo wa utekelezaji wa masharti ya Sheria...
  5. Q

    LGE2024 Hivi TLS haiwezi kwenda Mahakamani kuhoji ukiukwaji wa sheria, taratibu na kanuni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Ukiukwaji ni mkubwa tena unafanyika wazi wazi mbele ya jamii bila hofu yeyote kwa wahusika. Waziri wa TAMISEMI yupo, Tume ya Uchaguzi ipo, Vyombo vya sheria vipo. Lakini.... 1. Watoto chini ya miaka 18 wanaandikishwa, ushahidi wa picha upo. 2. Makarani wanaenda nyumbani kulala na vitabu vya...
  6. H

    Sheria ya kutokamata mali za serikali ya Tanzania inaposhindwa kesi za madai imepitwa na wakati TLS liangalieni hili

    Habarini, Sheria za Tanzania haziruhusu kukamata mali za serikali na Taasisi za Umma za serikali za Tanzania katika utekelezaji wa hukumu pale inapodaiwa na kushindwa kesi za madai kitu ambacho kinawanyima haki wananchi wengi wanaoidai. Kwa maana hiyo sheria hizo zimepitwa na wakati kwani...
  7. TLS - Kongamano la kitaifa kujadili matukio ya utekwaji na upoteaji wa raia nchini Tanzania

    (FULL VIDEO IPO CHINI) Leo tarehe 5 Oktoba 2024, mawakili wote wa Tanzania bara, hasa wa jijini Dar es Salaam, wanakutana katika jengo la Ubungo Plaza, Dar es Salaam, ili kujadili suala la utekwaji na upoteaji wa raia nchini Tanzania. Tukio hili la kitaifa linaandaliwa na Tanganyika Law Society...
  8. SI KWELI Kongamano la kitaifa juu ya matukio ya kupotea kwa raia lilioandaliwa na TLS limehairishwa

    Nimekutana na taarifa mtandao wa X juu ya kuahirishwa kwa kongamano la kitaifa juu matukio ya kupotea kwa raia lilioandaliwa na TLS ambalo lilipangwa kufanyika katika ukumbi wa Ubungo plaza, je taarifa hiyo ina ukweli wowote?
  9. Tuliombe Jeshi la Polisi kuzuia mkutano huu wa TLS hapa Ubungo Plaza kuhusu watu waliopotea

    Najua polisi makao makuu mpo humu na mnapitia haya hawa wanasheria wamepanga kukutana na vyombo vya habari vya nje na ndani kuwaaminisha watu kuwa Rais Samia ndio anahusika na kuteka watu . Wanataka kuchafua image ya taifa letu lenye amani na utulivu mkubwa kwa kesi mbili tatu za kupotea kwa...
  10. M

    Rais wa TLS aridhika hukumu ya mahakama dhidi ya maafande

    --- Rais wa TLS kupitia ukurasa wake rasmi wa Mtandao wa x ameandika chaisho linaoonekana likiunga mkono hukumu iliyotolewa kwa Nyundo, Askari wenzake dhidi ya Binti wa Yombo. Katika andiko hilo Mwabukusi ameandika: Justice at Last. Hii haswa ndiyo sehemu ya utawala wa sheria sina sababu ya...
  11. TLS Kuwa chama kipya cha siasa chini ya Mwabukusi

    Habari wanajukwaa, Binafsi nimekuwa mfuatiliaji mzuri sana wa Raisi wa TLS na Mwanasheria mbobezi kwa jina maarufu la Adv. Boniface Mwabukusi. Kihistoria Mwambukusi inasemekana aliwahi kuwa mwanachama wa chama cha NCCR-Mageuzi lakini kwa kauli yake alikiri kuwa alijivua uanachama NCCR baada...
  12. Wakili Mwabukusi: Nguvu iliyotumika na Polisi kuzuia Maandamano ingetumia kuwatafuta waliotekwa

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika, Wakili Boniface Mwabukusi, amesema kwa mujibu wa Sheria ya Vyama vya Siasa, Jeshi la Polisi halipaswi kuingilia michakato ya Kidemokrasia isipokuwa tu kwa agizo la Msajili wa Vyama vya Siasa
  13. TLS: Katiba ya Tanzania inasemaje kuhusu uteulizi wa aina hii?

    Katika muktadha wa siasa na utawala wa Tanzania, suala la uteuzi wa watu kutoka maeneo mbalimbali kuwa viongozi katika maeneo mengine linaweza kuleta maswali mengi kuhusu utaifa, utamaduni, na ushirikiano wa kikabila. Katika kesi hii, mtu aliyezaliwa Zanzibar na kuwa raia wa Zanzibar...
  14. TLS kuandaa kongamano la Kitaifa kuhusu matukio ya kutekwa na kupotea kwa raia nchini Tanzania

    Tanganyika Law Society (TLS) imeandaa kongamano la kitaifa litakalojadili ongezeko la matukio ya watu kupotea na kutekwa nchini Tanzania. Kongamano hili litafanyika tarehe 5 Oktoba 2024 saa 3:00 asubuhi maenoe ya Wakili House, Chato Street, Mikocheni A, Dar es Salaam...
  15. TLS yathibitisha kutishiwa maisha kwa wakili Tito Magoti, Peter Madeleka pamoja na Ole Nguruma. Yaitaka Serikali Kuchukua Hatua Kali!

    https://youtu.be/3DxH0NUxzRY?si=xZRKgw9HtibCALQv Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimeibua taharuki kubwa baada ya kupokea taarifa za kutishiwa maisha kwa mawakili watatu maarufu nchini Tanzania, Tito Magoti, Peter Madeleka, na Onesmo Ole Ngurumwa. Kwa mujibu wa taarifa rasmi iliyotolewa na...
  16. Pongezi TLS Kumpongeza Rais Samia kwa Hatua Alizochukua Ngorongoro, TLS Imeonyesha Professionalism na Sio Unaharakati! Big Up Rais wa TLS

    Wanabodi, Nikiwa member wa TLS, nimefarijika na taarifa hii ya TLS. Tunaipongeza Serikali kwa kuchukua hatua za awali kwa kutuma mawaziri waandamizi na kuzungumza na wananchi pamoja na tamko lake kupitia maelezo ya Mawaziri husika la kurejeshwa kwa huduma za kijamii zilizositishwa katika eneo...
  17. L

    Serikali iwe Makini Kabla TLS Haijajigeuza Kuwa ‘Chama cha Siasa kali’

    Ndugu zangu Watanzania, Kuna hatari ninayoiona ikija kupitia chama cha wanasheria Wa Tanganyika yaani TLS.Naona ni kama kinataka kutolewa kutoka kuwa chama cha kitaaluma na kujigeuza kuwa chama cha siasa kali na kinachoweza kuivuruga serikali na hata kuleta Masuala yatakayochochea...
  18. Nini msimamo wa TLS kwa wanachama wake kuwatetea wabakaji na walawiti ambao jamii nzima imeona unyama wao?

    Mimi siyo mwanasheria, lakini nimeona msimamo wa TLS kulaani tukio la unyama uliofanywa na wabakaji na walawiti na TLS imetowa wito kuhakikisha haki inatendeka. Sasa napata tabu kidogo kusikia kuna mawakili wanne wanaowatetea hawa washenzi wasiostahili huruma hata chembe. Mimi ningekuwa wakili...
  19. TLS Yatoa Tamko Kuhusu Maandamano ya Wananchi wa Ngorongoro, Yataka Haki Zao Ziheshimiwe

    Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimetoa wito kwa Serikali kufuatia maandamano yaliyofanywa na mamia ya wananchi wa Ngorongoro tarehe 18 Agosti, 2024, wakidai kuheshimiwa kwa haki zao za kimsingi. Maandamano haya yalionyesha hisia kali kutoka kwa wananchi wanaopinga kuondolewa kwenye ardhi...
  20. TLS Kuunda kamati Maalum Sakata la Ngorongoro

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Boniface Mwabukusi amesema Baraza la Uongozi la chama hicho limeunda kamati maalum kufuatilia suala la Ngorongoro ili kujua ukweli wake Mwabukusi amezungumza hayo alipokutana na wanahabari leo, Jumanne Agosti 20.2024 ambapo amesema pamoja na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…