tishio

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbwa koko machakos - Seneta Kavindu Aibua Tishio la Mbwa Waliopotea Syokimau

    Seneta wa Machakos, Agnes Kavindu, ameiomba Kamati ya Kudumu ya Seneti kuhusu Afya kutoa taarifa kuhusu kuongezeka kwa idadi ya mbwa wanaozurura bila wenyewe katika eneo la Syokimau, Machakos County. Akirejelea tukio la Agosti 25, 2026 ambapo kijana mmoja alidaiwa kushambuliwa na mbwa watatu...
  2. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Viroba katika sura mpya ya vichupa: Tishio kwa afya za vijana nchini, mamlaka zichukue hatua kabla haijawa ya janga

    Miaka 10 iliyopita, Serikali ilipiga marufuku viroba vilivyokuwa vikitumika kuhifadhia na kuuza pombe kali, ambavyo vilitajwa kuwaathiri zaidi vijana na watoto kutokana na kupatikana kwa urahisi. Hatua hiyo ilichukuliwa miongoni mwa juhudi za Serikali za kudhibiti matumizi ya pombe na wakati huo...
  3. JamiiForums Tanzania Ukungu wawa tishio Njombe, TMA wawaonya madereva

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa ufafanuzi kuhusu hali ya mawingu na ukungu unaoambatana na manyunyu katika baadhi ya maeneo ya Mkoa wa Njombe.Imesema hali hiyo imepunguza uono na kusababisha baadhi ya madereva kuwasha taa za magari ili kuona mbele. Akizungumza na Mwananchi Digital...
  4. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpox yafikia Kaunti 40, Watu 19 wafariki, huku Kenya ikijiandaa na tishio jingine la Ebola

    Kenya sasa imerekodi visa 1,298 vya Mpox na vifo 19 katika counties 40, huku serikali ikiongeza maandalizi dhidi ya Ebola kutokana na kuendelea kwa mlipuko huo katika ukanda wa Afrika. Takwimu za Ministry of Health zinaonyesha Mombasa ndiyo inaongoza kwa visa 452, ikifuatiwa na Nairobi yenye...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa nini baadhi ya watu huona hawa 'Jehovah Witnesses' kama tishio la amani yao? Kwa nini watu huwakimbia?

    Mashahidi wa Yehova (Jehovah’s Witnesses) ni dhehebu la Kikristo lenye mafundisho kadhaa yanayotofautiana na madhehebu mengi ya Kikristo. Kwa ufupi, wao wanaamini: -> Mungu ni mmoja, na wanamwita Yehova. -> Hawamwamini Utatu (Trinity) kama Mungu mmoja katika nafsi tatu. -> Yesu ni Mwana...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Edwin Sifuna: Kutoka kuwa mtetezi wa ODM Sasa tishio jipya kwa Ruto 2027

    Kwa miaka kadhaa, jina la Edwin Watenya Sifuna limekuwa miongoni mwa yanayotajwa zaidi katika siasa za Kenya. Wakati wengi walimfahamu kama Katibu Mkuu wa Orange Democratic Movement (ODM) na mmoja wa watetezi wakubwa wa Raila Odinga, leo anatajwa kama mwanasiasa anayejaribu kujijenga kuwa...
  7. JamiiForums Tanzania Tumia Email Hii Kuwajulisha CAF kuhusu tishio la Ugaidi Tanzania

    Ndugu zangu Watanzania, kutokana na magaidi kadhaa ya CHADEMA kuendelea kukamatwa, nivema tuwajulishe CAF kuwa Tanzania si nchi salama tena kwa maandalizi ya AFCON. Magaidi ya CHADEMA yanaweza kulipua timu zitakazokuja na wageni wengine waalikwa. Tumia Email hii kuwaandikia CAF, attach...
  8. JamiiForums Tanzania 'Uchamishaji' wa taasisi za umma, tishio kwa utawala bora

    UCHAMISHAJI WA TAASISI ZA UMMA: TISHIO KWA UTAWALA BORA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Katika mfumo wa taifa la kisasa, kuna tofauti kubwa kati ya chama cha siasa, serikali na taifa. Chama cha siasa ni taasisi inayoundwa na watu wenye mtazamo na itikadi fulani za kisiasa. Vyama kama vile...
  9. JamiiForums Tanzania From Ukonga Prison: Tundu Lissu atoa taarifa kuwa yupo katika tishio la kuuawa!!

    ================ URGENT: TUNDU LISSU’S LIFE IS IN DANGER Credible information indicates that Tundu Lissu’s life is at serious risk. For more than 470 days, Tundu Lissu has been held in detention in Tanzania as an unconvicted prisoner, without a fair and timely resolution of his case. His...
  10. JamiiForums Tanzania Mabenki na mitandao pesa washapewa tishio na serikali ya CCM kama watapokea pesa ya michango ya CHADEMA.

    Habari zilizopo ndani.Baada ya kila wanacho jaribu kuleta na kufanya CCM sasa wanaenda kuwatishia Benki na mitandao ya simu kuhusu account za Chadema zifungwe na kutopokea pesa. Na utashangaa waziri anasema wamepeleleza wamegundua pesa zimetoka nchi za ambao wanataka kuharibu amani ya nchi...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Tishio la "Maandamano" linavyogeuka mtaji kwa Askari nchini Tanzania

    Toka oktoba 29, 2025 linapokuja suala la watu kuandamana, waandamanaji wamekuwa ni Jeshi la Polisi na Majeshi mengine katika maeneo mbalimbali ya nchi hususani mijini. Hali ya askari kurandaranda mtaani wakiwa na silaha nzito badala ya raia walioshikilia mabango imekuwa ikiwatisha wananchi hali...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa Nini Kila maadhimisho ya kitaifa huja tishio la Maandamano?

    Ifikie hatua tuheshimu serikali kwa nn inapotokea maadhimisho ya kitaifa uvurugaji hutokea kwa kuanzisha vuguvugu la Maandamano? Je ni mpango wa kuvuruga na kuua siku maalum za maadhimisho ya nchi yetu. Na hii mpaka lini? Kwa nn tusivipe vyombo vyetu vya ulinzi na usalama nafasi ya kufanya...
  13. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Julai 6 2026 Wananchi mjitokeze kwa wingi kwenye shauri la mgawanyo wa mali mahakama Kuu

  14. K

    JamiiForums Tanzania Madai ya Sheikh Mwaipopo Kunusurika Utekaji: Tishio Halisi au Kiki za Kusafisha Bonge la 'Backfire' la Kauli ya Kutahiri Watu?

    Wakuu salama, Kama mnavyofahamu, nchi yetu hivi karibuni imekuwa kwenye taharuki kubwa ya matukio ya watu kutekwa na kupotea. Lakini katika hali ya kushangaza na inayoacha maswali mengi, Sheikh Said Mwaipopo naye amejitokeza na kudai kuwa kuna watu walifika ofisini/nyumbani kwake wakiwa na...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wanawake tunawaona ni tishio?

    Salamu kwenu wakuu........Binafsi siyo mwandishi sana ila nitajitahidi kadiri niwezavyo kufikisha ujumbe. Nimekaa nikawaza hivi kwanini wanaume tunatumia nguvu nyingi sana 1.Tupewe attention na wanawake 2.Kwanini mkazo unaelekezwa kuishi na wanawake kwa akili? 3.Kwanini hata hapa jukwaani...
  16. JamiiForums Tanzania Uharibifu wa mazingira kupitia ukataji miti hovyo ni tishio kubwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Chunya - Mbeya

    Uharibifu wa mazingira kupitia ukataji miti hovyo umeendelea kuwa tishio kubwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya. Makala hii inaangazia sababu kuu zinazochochea kasi ya upotevu wa misitu katika wilaya hiyo. Kilimo cha Tumbaku na Nishati ya Kuni Sehemu kubwa ya misitu ya...
  17. JamiiForums Tanzania Tishio la Maandamano 😀 wasio vaa uniform no wengi ILA hakuna kitu wanapata maana hizo ni propaganda za Green Gud wa kihongosi.

    Mgeni njoo mwenyeji aponeeeee! Tetesi za maandamano tarehe 07/07/2026, wasio vaa uniform wamejaa hapa ninapo gonga nyagi wanasikilizia nyuzi,kidume nipo jamii forum nabonga na Wana uku nachati na Malaya. Hii nchi pesa zinachezewa green GUD wanakunywa fedha za UMMA maana hapa sioni mjanja...
  18. JamiiForums Tanzania Pikipiki ni tishio sasa, bora wangezingatia mara ya kwanza kuzibiti sheria (leseni). Kwa sasa imechukuliwa kama baiskeli kwa kila mtu

    Mabadiliko ya usafiri kwenye swala la pikipiki yamepokelewa na watu wengi hususani wale wenye vipato vya kati na chini. Lakini limekuwa tishio kwa sasa.Uwelewa wa matumizi ya barabara asilimia kubwa wanaotumia vifaa hivi wengi sio waelewa na wala matumizi ya barabara hawatahamu. Jambo...
  19. JamiiForums Tanzania Tishio la Iran lagonga Mwamba IDF yaendelea na kipondo kwa Magaidi wa Hezbollah huko Lebanon

    Tangu mwendo wa saa 10 asubuhi ya leo, Israel ilishambulia Hezbollah kusini mwa Lebanon kama ifuatavyo: ● Mashambulizi ya angani ya ndege za kivita au ndege zisizo na rubani: Al-Mansouri, Deir al-Zahrani, Choukin, Haris, Kafra, Srifa, Kfar Tebnit, Nabatieh al-Fawqa, Tebnine, Jebchit, Doueir...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Tishio la vikwazo vya USA kwa CCM na wengineo: Badala ya kelele nyingi zisizosaidia Bungeni, wajibuni USA na Trump "Who are you?"

    Nimesikiliza Wabunge na hata waziri wa mambo ya nchi za nje wakipiga kelele Bungeni kuhusu tishio la vikwazo vya USA kwa viongozi wa CCM na watendaji wengine. Wamefika hata kudai kuwaleta viongozi wa USA hapa Tanzania na kulipia gharama zao za usafiri, malazi na chakula ili waje wajionee kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…