Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe wamelalamikia ongezeko la mamba ndani ya Ziwa Viktoria na kuleta madhara kwa wananchi wa wilaya hiyo baada ya miezi mitatu iliyopita matukio zaidi ya matano kuripotiwa ya wananchi kuvamiwa, kushambuliwa, kuuliwa na kubebwa na mamba pamoja na viboko...
Ndugu wasomaji
Sisi kama waagizaji tumeona mada mpya toka January mwaka 2026 kutoka bandari ambapo zamani kuhamisha container kutoka Bandari kwenda bandari kavu icd ilikwainachukua siku 5- 7 lakini toka Januari hali bandarini imetisha maana kuhamisha container inachukua karibia mwezi mmoja...
Naangalia mitandaoni naona kuna mtu kavaa musk kajirekodi sijui wameanzisha kikundi cha Uasi nikajiuliza huyu anaifahamu Tanzania Vizuri??
Kikundi cha Uasi Tanzania??? Nawaambia hata siku mbili hakitachukua JWTZ ndo wakali wa hizo mambo hivi hamjiulizi Taangu tupate Uhuru kwanini vikundi hivyo...
Suala la kukamata watu wa CHADEMA wasio tishio kivyovyote ni la kisiasa kwanini wameshusha na bendera inahusika vipi kuvunja sheria za nchi ?
Nimesikia hizi takataka zinasema heti wamekamatwa kwa kukusanyika kwahiyo kukusanyika ni kosa tangu lini na vipi mshushe na bendera ya chama ilikuwa...
Katika korido za mamlaka, kuna msemo mmoja wa kishushushu unaosema: "Ukaribu na jua unakupa joto, lakini unavyozidi sana kulikaribia jua unajiweka katika hatari ya kuteketea"Hii si kauli ya mzaha; ni onyo la kiintelijensia kuhusu jinsi ukaribu na mamlaka unavyoweza kugeuka kuwa mtego wa mauti...
https://www.youtube.com/watch?v=JhNOoI2tIKw
Jikumbushi nywinywi nywinywinywi.
Yako wapi. Kumbe rais alituongopea?
Je, hapa si muongo kama waongo wengine?
Je, haya maridhiano siyo uongo?
Je, nani aweza kumuamini muongo?
Namna Marekani alivyocheza karata zake kwa Venezuela ni kama Demu mkali ale vitu vyako alafu kisha hakukatae badae unamuona anajibebisha kwa mwamba mwingine ambaye wewe ni kama mshindani wake wa muda mrefu, unaamua kumteka demu na kuondoka nae kwa nguvu hili awe na wewe kwa lazima.
Hakuna...
Watu waliouwawa October 29 sio wale waliochoma vituo vya mafuta na kuiba mali za watu ni raia ambao hawakuwa tishio kabisa.
Hawakuwa na kiberiti wala kifaa chochote wala mali zozote za watu wanaodaiwa kuibiwa malizao kwenye maandamano.
Hata hivyo kulingana na sheria za Tanzania maandamano sio...
Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene amesema uamuzi wa kuzima mtandao wa internet ni chaguo la mwisho kabisa pale ambapo hali ya kiusalama inakwa mbaya ambapo amesema hadi kufikia sasa hali ya Tanzania bado ipo shwari na hakuna tishio la kuwafanya TCRA wazime internet kesho December...
Desemba Mosi kila mwaka ni Siku ya UKIMWI Duniani. Kaulimbiu ya mwaka huu ni “Imarisha Mwitikio, Tokomeza UKIMWI”, ikisisitiza umuhimu wa kuimarisha mifumo ya afya ya umma, huku ushirikiano wa kimataifa ukikabiliwa na changamoto.
Afrika ni bara linaloathiriwa zaidi na UKIMWI. Hivi karibuni...
Kwenye hii nchi machawa walikuwa wanamchukulia poa Lissu, lakini muda ume prove kuwa the man has influence.
Serikali sio wajinga kuumiza kichwa na kutafuta exit plan ya kumwachia Lissu. Tuliambiwa na Heche kuwa Kuna team ilitumwa gerezani na Samia ya kumshawishi Lissu akubali kuachiliwa lakini...
https://youtu.be/Zuf0AQbofZs?si=WeqZpejCIpZYoDR2
IN BRIEF:
1. Dr Wilbroad Peter Slaa ameanza kwa kumshukuru Humphrey Polepole kwa ukiri wake wa kushiriki kuandaa hujuma hizi. Ameomba msamaha kwa taifa na Watanzania wote, nasi tunamsamehe kwa kama ambavyo nasi Mungu wa mbinguni hutusamehe kila...
dr slaa
humphrey
humphrey polepole
madai
mfumo
mifumo
mifumo ya uchaguzi
moja
moja kwa moja
nchi
polepole
slaa
taifa
tishio
uchaguzi
uhaini
usalama
usalama wa nchi
Kwa sababu bado tupo kwenye AI dhaifu Narrow AI si ajabu watu wengi kuanzia humu ndani na duniani kwa ujumla kutokuona tishio kubwa lijalo la AI.
Watu wakisikia AI akili zao zinaishia katika kujibu maswali,kuandika documents,kuchora picha hiyo ndio picha watu wanajenga kuhusu AI si ajabu fikra...
Wi-Fi za Umma Sio Hatari Moja kwa Moja—Lakini Makosa Haya Huifanya Iwe Tishio Kubwa
Kwenye viwanja vya ndege, hoteli, au café—Wi-Fi ya bure imekuwa kama msaada wa haraka kwa wanaosafiri au wanaofanya kazi nje ya ofisi. Ni rahisi kujiunga, haraka, na hakuna malipo. Lakini uzembe mdogo unaweza...
Trump ameitishia urusi kwa kuamuru nyambizi zenye mabomu ya nyuklia zisogee karibu na urusi! Hilo ni tishio kubwa kuliko yote LA kutumia silaha za nyuklia. Putin amepuuza na kuamua kukaa kimya maana anajua kuwa Trump hana jeuri hiyo wala hana kichaa hicho!!
Huwezi kuitetea nchi yako kwa kutumia...
Nimetafakari sana nimeona kwa maslahi ya Yanga, bora nimuunge mkono mama Samia Suluhu Hassan ili kuendeleza wimbi la mateso kwa watani wetu. Wana Yanga kipindi mnafanya maamuzi fikirieni timu yenu.
#NOREFORMS_NO_ELECTION
Asante.
Katika ulimwengu wa sasa wa kidijitali, huduma za kifedha kupitia simu za mkononi zimekuwa mkombozi mkubwa kwa watu wengi. Applikesheni kama M-Pesa zimeleta urahisi wa kufanya miamala, kulipia bili, kutuma na kupokea pesa, kwa haraka na salama — angalau ndivyo inavyotarajiwa. Hata hivyo, kuna...
Licha ya Sheria ya Mazingira, 2004 kukataza upigaji wa kelele unaosababisha kero kwa Wananchi, bado suala hilo limekuwa kero katika maeneo mbalimbali nchini.
Sheria hiyo kifungu cha 3 inatafsiri kuwa kelele ni kila uchafu zi usababishwao na sauti ambayo kwa asili inakataliwa au ile iwezayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.