tips

Tikkurilan Palloseura (abbreviated TiPS) is a football club from Tikkurila in Vantaa, Finland. The club was established in 1958 and its main catchment areas comprise Tikkurila and Hakunila in Itä-Vantaa (East Vantaa). The women's team competes in the Kansallinen Liiga ('National Liga') which is the highest division of women's football in Finland. Men's team competes in the Kolmonen ('Third Division') which is the fourth highest division in Finland. The club's home ground is at Tikkurilan urheilupuisto ('Tikkurila Sports Park').

View More On Wikipedia.org
  1. Naombeni tips za sehemu nzuri Dar Kwa Outing low budget

    Habari zenyu, poleni na majukumu Moja Kwa moja kwenye pointi, 2024 nlivyoondoka huku dar kulikuwa na kabinti Kwa huo mwaka niliona si vyema kuingia nako kwenye mahusiano, tukawa tu marafiki story story na maswali ya shuleni ya hapa na pale, in short sikuwa na interest nacho. 2026 nimerudi ila...
  2. Je wajua simu yako ikiwa na App ya Google Photo, ukifuta picha hadi recycle bin bado zinaendelea kubaki kwenye simu?

    Watu wengi hawalijui hili! Utashangaa kadiri unapozidi kufuta vitu kwenye simu yako (Picha/ Video? na ukiamini kuwa umefuta permant kwasababu ulifuta hadi kwenye recycle bin ila simu inapungua kidogo space yake ambayo sio sawa na vitu ulivyofuta, sasa vile vitu ulivyofuta havijatoka kwenye simu...
  3. Jiku Tech Tips | Mambo ya SIRI ya TEHAMA

    Kuna Siri nyingi katika Dunia na ulimwengu wote, zilifichwa muda mrefu sana na mataifa machache, lakini muda mrefu ni mrefu kwetu sisi kutokana na ukomo wetu wa muda wa kuishi duniani ila kwa nature (universe ) ni kama usiku na mchana. Siku hizi kuna AI Inakupa hata mambo ya sirini, inakutolea...
  4. 7 tips to b happy n life

    Ty
  5. Chukua hizi tips za ujenzi kuhusu Kuezeka nyumba za contemporary

    Tips za ujenzi Leo nawapa hii kuhusu kuezeka nyumba za contemporary 1.Bati zivaane migongo 3 ( kwa upana) 2. Overlap bati na bati kwa urefu isipungue cm 30 3.Weka treatment nzuri ya waterproof kati ya bati na ukuta 4.Gata ya zege ya kukusanyia maji iwe treated na waterproof na iwe pana...
  6. R

    Are we advancing or regressing in tax dispute resolution in Tanzania?

    Introduction Since 2000, Tanzania has undertaken significant reforms to strengthen its governance and public administration frameworks. The tax sector was no exception. The enactment of the Tax Revenue Appeals Act (Cap. 408) led to the establishment of a Unified Tax Revenue Appeals Tribunal...
  7. Tips rahisi na zisizo na gharama unaweza kufanya kusuluhisha changamoto mbali mbali

    🔨Kama una pasi ya umeme iliokona na uchafu na unataka kuisafisha haraka. Iwashe ipate moto then chukua wax yamshumaa usugue katika pasi. Jinsi wax inavyoyeyuka inaondoka na uchafu. Ukishamaliza zima pasi ipate ubaridi then tafuta kitambaa au tissue ufutie mabaki. 🔨Kama ukitaka kukumbuka kwa...
  8. Tips muhimu kwa online dating

    Haya ni baadhi ya mambo muhimu kuzingatia kwa wadau wa online dating au utafuta wa marafiki na wachumba mitandaoni. - Hakikisha unapata picha kamili ya huyo baby unayewasiliana nae huko mtandaoni, picha ile ya utosi hadi unyayo. Ukiona huyo baby wako wa online hataki umuone yukoje, hapo tayari...
  9. Health tips everyone should know

  10. Tips for car owners

  11. H

    Tips of the Day CAFCL na CAFCC, kaeni humu tumfilisi muhindi leo

    1.Bravo vs Simba Bravo double chance✅✅ 2.Al hilal vs Yanga Yanga double chance✅✅ Mpe double chance Bravo na Yanga upate hela za bure
  12. G

    Tips za Written Interview ya Utumishi kwa Mwalimu wa Kemia na Biolojia Ngazi ya Degree

    Ndugu Mwenye notes au maswali au ABC cha nini naweza kusoma kufaulu interview ya kuandika ya utumishi msaasa please, Natanguliza shukrani. N. B Mwl wa kemia na biologia🙏🙏🙏🙏🙏
  13. SAMPLE YA MASWALI INTERVIEW ZA UALIMU NA TIPS ZA KUFANYA

    Mliowahi kufanya saili uko private sectors tunawaomba MJE mtupe miongozo wakubwa wangu
  14. K

    Oral interview Tips

    Habari, naomba niweze kutoa uzoefu kidogo kuhusu nilivyoona baada ya kuhudhuria usaili wa muktadha wa muktadha wa mdomo (oral interview). Kusikiliza kwa ufanisi: Sikiliza vizuri kabla ya kutoa majibu. Jibu kulingana na unachokisikia. Kwa mfano, umeambiwa pointi tano, basi jibu kwa pointi tano...
  15. YouTube Niche Analysis: Make Money Online, Finance, and Social Media Tips

    YouTube Niche Analysis: Make Money Online, Finance, and Social Media Tips Here's a breakdown of profitable YouTube sub-niches within Make Money Online, Finance, and Social Media Tips, incorporating current trends and monetization strategies: I. Make Money Online ($13.85/1000) Main Niche...
  16. Maelezo Kutoka Jiku Tech Tips ya Kujiunga na Mafunzo ya Android Development

    Karibu katika safari ya kujifunza kutengeneza android app yaani App za simu za Android, Kujifunza Taaluma hii kuna umuhimu wa mtu kuwa na uelewa wa nini anaenda kufanya na kwa nini. Elimu hii ni moja kati ya elimu ndani ya software development, kwa hiyo kwa kutekeleza mafunzo haya ya...
  17. Shuleni inabidi waanze kutoa somo la namna ya kutongoza, ubakaji na ulawiti kwa watoto wadogo vimezidi

    Habari wakuu ..! Mimi naona kwa jinsi vitendo vya ubakaji ,kulawiti watoto wadogo ,na unyanyasaji wa kingono kwa watoto vinavyozidi kutamalaki kwenye jamii zetu ,ifike hatua serikali itoe SoMo huko mashuleni namna ya kutongoza na kubembeleza ili kupata mbususu kirahisi ..! Maana binadamu...
  18. DIGITAL MARKETING SPECIAL THREAD;Where Digital Marketers Meet. Assistance, Tips, New Trends, Opportunities, and Clients

    Habari wanaJamiiForums Karibu kwenye uzi wetu mpya unaolenga kila kitu kuhusu Digital Marketing! Katika enzi ya kisasa ya kidijitali, kuelewa wa uuzaji wa kidijitali ni muhimu kwa biashara, wajasiriamali, na mtu yeyote anayejitahidi kujenga uwepo mtandaoni. Uzi huu unalenga kuwa kitovu cha...
  19. Today tips

    💦Kwenye maisha wewe ndio umebeba maono ya maisha yako. 💦Wewe ndo unajua wapi unataka kwenda. 💦Wewe ndo unaona kule unakokwenda. 💧Usikubali kuambiwa huwezi. 💧Usikubali kuambiwa hautafanikiwa. 💧Usikubali kuambiwa wengine walishindwa eti nawe utashindwa. Wakikwambia hivyo cheka nao, halafu kaza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…