timu

Caleb Timu (born 22 February 1994) is a New Zealand-born Australian rugby footballer of Samoan heritage who plays rugby union for the Queensland Reds in the Super Rugby competition. His position of choice is back row/loose forward.

View More On Wikipedia.org
  1. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Kuna timu ilipigwa 4-0 South Africa ikiwa imevaa jezi inayosomeka “Visit Tanzania”

    Kaizer Chief 4 - simba sc 0 tuwe makini kuna wakati tunafukuza watalii bila kujijua
  2. Papa Mopao

    JamiiForums Tanzania Tufundishane/ tueleweshane kidogo kuhusu timu kubwa barani Africa, hapa ndo tunajifunza na kuelewa

    Ukiondoa zile ranks zilizotolewa na CAF katika timu bora na mambo mengine Ni sifa zipi ambazo zinasema kwamba hii timu ni TIMU KUBWA Tuendelee kujifunza, elimu haina mwisho
  3. B

    JamiiForums Tanzania Mbwana Samatta arudi tena Ubelgiji, aenda Royal Antwerp

    Kama ambavyo tweet inavyoonesha hapo juu, Mbwana Ali Samatta amerudi nchini Ubeligiji, na safari hii akijiunga na klabu kongwe nchini humo, yaani Royal Antwerp! Kwa wafuatiliaji, bila shaka wanafahamu Samatta hakuwa akipata nafasi ya kutosha pale Fenerbahce. Jambo lililonishangaza, inaonekana...
  4. NITAKUKAMATA TU

    JamiiForums Tanzania Sijapenda upotoshaji wa mwandishi uyu dhidi ya timu ya hii,upingwe huu ni uchonganishi wa wazi kwa mashabiki

    Wa jamii jana tuliomsikia mmoja wa watu wa biashara united ,ndg wabare,lakin cha ajabu uyu mwandish alibadilisha maneno ambayo ndg wabare alisemea wapinzani wake ,kuwa alisemea timu yake.huu ni uchonganishi wa wazi kwa mashabiki, na haukubaliki
  5. demigod

    JamiiForums Tanzania Kwanini Timu Mbalimbali hazivutiwi kuja Dar kushiriki Simba Day?

    Wadau za Jioni. Taarifa za ndani ambazo bado hazijawafikia walio wengi ni kwamba Barua za mialiko zinagonga mwamba huko. Jitihada za Tembo lakini Matokeo kisoda. Ni nini shida imewakumba Makolokolo FC. Barbara Gonzalenz amekuwa hatulii kabisa siku hizi. Kila wiki ninakutana nae pale Julius...
  6. MO11

    JamiiForums Tanzania Timu sitini na tatu wagombania Simba day

    Hizi sio zandani wala nini. Bwana Eze Kamwaga anatuambia timu nyingi sana kutoka kila pembe ya Afrika wanagombania nafasi ya kushiriki simba day timu kubwa kubwa kuanzia zenye makombe nane ya Afrika mpaka kajamba nani huko wanagombea fursa adimu ya kuonekana duniani kucheza kwa Mkapa na Wana...
  7. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Yanga ndiyo timu ya kwanza kuwa na jezi maalum za wanawake

  8. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Timu ya Taifa ya Tunisia wakopi jezi ya Simba Sc

    Hapa kuna jezi ya Tunisia ya mwaka 2019-2020 na kuna jezi ya Simba 2021-2022. Jezi ya Tunisia imetengezwa na kampuni ya Kappa wakati jezi ya Simba imetengezwa na Vunja bei. Hongereni sana Simba na Vunja bei.
  9. kavulata

    JamiiForums Tanzania Msuva awe nahodha wa timu ya Taifa Stars

    Mbwana bado anahangaikia hatima yake, mara Genk, mara Aston, mara Fenabache mara Ubelgiji tena. Nadhani mchango wake kwenye timu ya taifa hautoshi kuendelea kushikilia unahodha wa timu hii. Mchango wa Msuva ni mkubwa sana, anacheza kwa nguvu zake zote akiwa na timu yake ya taifa. kwanini...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Yanga msitolewe kwenye njia na mashabiki oyaoya, timu mnayo

    Kuna baadhi ya mashabiki oya oya na wale wa makoro koro FC wanataka kutumia mechi ya yanga ya jana kufungwa Kama kichaka cha kueneza propaganda ya kuwa yanga imesajili vibaya. Watu hao nafikiri hawako timamu kwenye masuala ya kuangalia timu kiufundi bali wanasukumwa na mihemuko aidha ya chuki...
  11. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania EPL: Arsenal sasa yaburuza mkia , yawa nafasi ya ishirini katika msimamo wa timu 20

    Ni vema ukafahamu jambo hili mapema ili usije ukapata matatizo ya kiafya, kwamba timu iliyokuwa inapigania ubingwa leo hii inaburuza mkia , hii ni baada ya game 3 tu. Wachambuzi wanaitabiria kushuka daraja .
  12. mdudu

    JamiiForums Tanzania Timu ya Mpira wa miguu Namungo inamilikiwa na Tamisemi?

    Wakuu habari za jumamosi? Naomba Kama kuna mtu mwenye uelewa anieleweshe. Ahsante
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kuna Timu ya Tanzania ipo kweli Pre Season na nyingine iko busy Kutambulisha jezi vibonzo zao katika jezi

    Kuna Watu kweli hamnazo kabisa yaani Wewe una Mechi ngumu mno ya CAF CL badala ya kujiandaa vyema uko busy Kutambulisha Jezi Vikaragosi zao na Mwali wao Mzungu Pori. Halafu baadae Mwanamume aliyejiandaa vyema kwa Mashindano yote yajayo kama Kawaida yake akibeba Vikombe vyote mtaanza kusema...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kuna Timu naiona ipo Morocco ya Mlandizi na nyingine Morocco ya Posta Mpya

    Siyo lazima Simba SC ikienda mahala na Timu zingine Ziige wakati hata Uwezo wa Kipesa hawana. Simba SC ipo Morocco ya Posta Mpya ila kuna Watu wapo Morocco ya Mlandizi na Wachezaji furaha hawana. Aliyeanza kaanza tu Kudadadeki!
  15. demigod

    JamiiForums Tanzania Je, ni Busara au kanuni ambayo Itatumika kuamua Kesi ya Mhilu (Simba SC) vs Kagera Sugar?

    Tukirudi nyuma kabisa historia inawatambua kuwa Simba SC ndiyo klabu pekee Tanzania. Tukumbuke ishu ya Singano, Yondani, Chuji na Hassan Kessy hawa wote walisepa pale kwasababu ya changamoto ya kuchezewa mikataba yao na uongozi wa Simba SC Dirisha hili la usajili wamesha fanya yao. Yaani...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kuna Timu moja Tanzania imebakiza Kumsajili Mpiga Solo Dally Kimoko na Rapa bora kwa sasa DR Congo aitwae Gesac

    Kisha baadae huenda hata Jina lake likabadilika na ikaitwa Jangwani Mpili Utopolo Music Band a.k.a Mafuriko Original.
  17. SN.BARRY

    JamiiForums Tanzania Mo Dewji na GSM anzisheni timu zenu

    Hizo Yanga na Simba waachieni kina Mpili na Manara (Waswahili). Bakhresa aliona mbali akaanzisha timu na uwanja wake. Yupo huru kutumia hela yake pasipo majungu yoyote. Yanga na Simba mtapoteza hela zenu na mwisho mlipwe matusi na dharau kutoka kwa maskini wasio na mbele wala nyuma. Mtu...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Yanga yatupwa nje Kagame. Badala ya kusaidia kujenga timu mashabiki wao wanakalia kumsakama Mo

    Habari ndiyo hiyo Mipasho FC aka Manara FC.
  19. M

    JamiiForums Tanzania Singida united, African lyon, kilichomfanya MO akazitema hizi timu ni nini?

    Ninaamini wengi mnakumbuka huyu bwana aliwahi kujaribu kumiliki hizi timu, lakini mpaka Leo nafikiri kilichomfanya akazitema kwa asilimia kubwa ni kutompa faida aliyokuwa anaitaka na aliona fursa iko simba. Sasa anasema na hiyo simba inampa hasara tu, nilitegemea nayo aiteme Kama alivyofanya...
  20. kavulata

    JamiiForums Tanzania Haji Manara anafaa kuwa msemaji wa timu ya ndondo cup

    Kweli Simba na Yanga wana utani ambao wote tumeukuta, lakini wakati huu ambao timu zinaingia kwenye uwekezaji wa kibiashara hazihitaji msemaji kama Manara mwenye utani ule wa kale wa uhasama na uhasimu. Utani wa Manara ulipitiliza kiasi kwamba shabiki wa Yanga unashindwa kuinunua bidhaa ya...
Back
Top Bottom