Haji Manara anafaa kuwa msemaji wa timu ya ndondo cup

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
12,319
12,622
Kweli Simba na Yanga wana utani ambao wote tumeukuta, lakini wakati huu ambao timu zinaingia kwenye uwekezaji wa kibiashara hazihitaji msemaji kama Manara mwenye utani ule wa kale wa uhasama na uhasimu.

Utani wa Manara ulipitiliza kiasi kwamba shabiki wa Yanga unashindwa kuinunua bidhaa ya mdhamini wa Simba. Yaani bidhaa za watu wa Simba unaziona haramu kuzitumia au kuzinunua unapokutana nazo sokoni.

Biashara haitakiwi ibague wateja lakini Chuki anayoipandikiza Haji inamtia hasara mo kibiashara sokoni.

Utani wa jadi usisababishe kichefuchefu kwa mashabiki wa timu pinzani kiasi Cha kushindwa kununua magodoro ya GSM hata kama yana ubora mkubwa.

Wawekezaji epukeni wasemaji kama Jerry Muro na Haji Manara. Wana utani wa wakizamani sana unaofaa kwenye timu za mitaani za makombe ya mbuzi. Hata Azam kama mtaruhusu wasemaji wa vile mtapunguza mapato.
 
Hivi kweli kwenye biashara za Azam, Manara ana mchango gani mkubwa? Kiasi hicho, sana sana yeye ndio anafaidika zaidi!!huko malawi, congo, Burundi manara ana mchango gani, na kote huko bidhaa za azam ndio zimekamata soko?kutokana na ubora wake, hata kwa Tz, kwa sasa cwezi sema kuwa METL, ni mshindani mkubwa wa AZAM!!kutokana na ubora wa bidhaa zao kuwa mkubwa sana!!Na ni ushamba tu eti ushindwe kununua bidhaa fulani kisa maneno ya shombo ya msemaji fulani?!!ki ukwelu watz,masikini ni wanafiki sana
 
Hivi kweli kwenye biashara za Azam, manara ana mchango gani mkubwa?kiasi hicho, sana sana yeye ndio anafaidika zaidi!!huko malawi, congo, Burundi manara ana mchango gani, na kote huko bidhaa za azam ndio zimekamata soko?kutokana na ubora wake, hata kwa Tz, kwa sasa cwezi sema kuwa METL, ni mshindani mkubwa wa AZAM!!kutokana na ubora wa bidhaa zao kuwa mkubwa sana!!Na ni ushamba tu eti ushindwe kununua bidhaa fulani kisa maneno ya shombo ya msemaji fulani?!!ki ukwelu watz,masikini ni wanafiki sana
Shida ni kwamba hata wewe huwezi kupima impact (madhara/mchango) wa Manara kwenye bidhaa za mo na Azam. Ni sawa na wewe hapo siku moja baba yako akusikie unaimba "naomba baba ufe" , sidhani kama baba yako atakuacha hivihivi ingawa kuimba hivyo kunaweza kusiwe na uhusiano na kifo au uhai wa baba yako. Kitakachomsumbua baba yako ni kujiuliza kwanini umeimba vile, unataka kunifanya nini lini. Kama utashindwa kutoa maelezo kuhusu wimbo wako huo usijekulaumu kama baba atakufukuza nyumbani kwake.
 
Halafu baada ya kutimuliwa huko Simba, eti anapata kabisa ujasiri wa kuomba msamaha kwa upuuzi wake alio wafanyia wananchi na waandishi wa habari!!

Yaani anaonekana ni kiumbe asiye na aibu hata kidogo.
 
Kweli Simba na Yanga wana utani ambao wote tumeukuta, lakini wakati huu ambao timu zinaingia kwenye uwekezaji wa kibiashara hazihitaji msemaji kama Manara mwenye utani ule wa kale wa uhasama na uhasimu.

Utani wa Manara ulipitiliza kiasi kwamba shabiki wa Yanga unashindwa kuinunua bidhaa ya mdhamini wa Simba. Yaani bidhaa za watu wa Simba unaziona haramu kuzitumia au kuzinunua unapokutana nazo sokoni.

Biashara haitakiwi ibague wateja lakini Chuki anayoipandikiza Haji inamtia hasara mo kibiashara sokoni.

Utani wa jadi usisababishe kichefuchefu kwa mashabiki wa timu pinzani kiasi Cha kushindwa kununua magodoro ya GSM hata kama yana ubora mkubwa.

Wawekezaji epukeni wasemaji kama Jerry Muro na Haji Manara. Wana utani wa wakizamani sana unaofaa kwenye timu za mitaani za makombe ya mbuzi. Hata Azam kama mtaruhusu wasemaji wa vile mtapunguza mapato.
Saa zingine tunaweza kutotambua tunachokohitaji. Drama zake zimemponza
 
Hata mo mwenyewe kujiapiza kuwa hatakubali kulipwa sawa na Yanga kwakuwa Simba ni kubwa kuliko Yanga anakosea vilevle kwakuwa hana takwimu za kisayansi kuhusu anachojiapiza. Lakini pia Simba ni kubwa kwakuwa Yanga ni kubwa pia, Bila Yanga kubwa kusingekuwa na Simba kubwa Kariakoo. Atengue kauli kwa manufaa ya mpira na biashara zake.
 
Mo kusema hatakubali mkataba sawa na wa yanga ana misimamo yenye ukweli. Hatuwezi kusema yanga na simba kuwa kwa sasa wapo sawa sio kweli yanga kaachwa na simba. Siku hizi simba inatajwa kuwa ni club namba 12 Afrika yanga hata 20 haipo sasa hapo huo usawa upo wapi.? Mpira wanaocheza simba hata ukiangalia unavutia lakini wanaocheza yanga Mungu anaona aisee tuwe wakweli.
 
Yanga bado wanacheza mpira wa Ndondo Cup.
Ndani kuna Mateke Mangumi, Mbio na Judo.
Huko kagame mechi ya kwanza washapigwa Red Card.
Hawajashinda hata mechi moja
Washabiki wake wamechanganyikiwa na kuiita majina ya ajabu ajabu.

Mara Utopolo mala Utaputapu, tunasubiri jina lingine.
 
Mo kusema hatakubali mkataba sawa na wa yanga ana misimamo yenye ukweli. Hatuwezi kusema yanga na simba kuwa kwa sasa wapo sawa sio kweli yanga kaachwa na simba. Siku hizi simba inatajwa kuwa ni club namba 12 Afrika yanga hata 20 haipo sasa hapo huo usawa upo wapi.? Mpira wanaocheza simba hata ukiangalia unavutia lakini wanaocheza yanga Mungu anaona aisee tuwe wakweli.
Ukubwa wa club ni upi na unapimwaje? Liverpool na Chelsea kubwa ni ipi?

Barcelona na Atletico Madrid kubwa ni ipi
 
Ukubwa unajulikana ki performance sawa mfano huwez kupima timu bora za afrika afu litimu ambalo halifiki hata makundi useme ni bora
 
Kubwa chelsea. Kwa sasa unadhani liverpool.imemzd chelsea ka google utaona huko
 
Mkijua tu kwamba Kipa ndo mchezaji pekee anayeruhusiwa kudaka na isiwe faulo mnajiona tayari ni wachambuzi mahiri wa soka. Chelsea ni timu kubwa kuliko Liverpool kwa rangi au kitu gani?
 
Kaangalie huko google kwa dhamani ya hizo timu. Hapo liverpool kuna kipi cha dhamani..?
 
Kweli Simba na Yanga wana utani ambao wote tumeukuta, lakini wakati huu ambao timu zinaingia kwenye uwekezaji wa kibiashara hazihitaji msemaji kama Manara mwenye utani ule wa kale wa uhasama na uhasimu.

Utani wa Manara ulipitiliza kiasi kwamba shabiki wa Yanga unashindwa kuinunua bidhaa ya mdhamini wa Simba. Yaani bidhaa za watu wa Simba unaziona haramu kuzitumia au kuzinunua unapokutana nazo sokoni.

Biashara haitakiwi ibague wateja lakini Chuki anayoipandikiza Haji inamtia hasara mo kibiashara sokoni.

Utani wa jadi usisababishe kichefuchefu kwa mashabiki wa timu pinzani kiasi Cha kushindwa kununua magodoro ya GSM hata kama yana ubora mkubwa.

Wawekezaji epukeni wasemaji kama Jerry Muro na Haji Manara. Wana utani wa wakizamani sana unaofaa kwenye timu za mitaani za makombe ya mbuzi. Hata Azam kama mtaruhusu wasemaji wa vile mtapunguza mapato.
Manara hastahili kuwa msemaji wa chochote kile zaidi ya nyumba yake na kipindi cha udaku katika hizi redio ndogo ndogo kama Wasafi.
 
Ukubwa unajulikana ki performance sawa mfano huwez kupima timu bora za afrika afu litimu ambalo halifiki hata makundi useme ni bora
kuna tofauti ya timu kubwa na timu inayoperform, Leicester city iliposhinda Premier league haikumaanisha kuwa Leicester ni kubwa kuliko Man U ambayo haijachukua ubingwa kwa miaka mingi. Azam ikichukua ubigwa kombe la Kagame haitamaamisha kuwa Azam itakuwa kubwa kuliko Simba. Mo anahitaji ushauri nasaha, Simba kupata ubingwa kwa kubebwa kwa viporo vingi na marefa hakumaanishi kuwa simba ni kubwa kuliko yanga.
 
Aiseee yaani una diriki kuilinganisha simba na utopolo..? Basi kumbe hata CAF walikua wanawabeba.. vpro vinatokana na miundo mbinu ya bara letu Afrika. Upo.
 
Ndondo yupo Shafii na Shafii awezi kumkaribisha mtu mjinga akaharibu image ya ndondo iliyotukuka
 
Back
Top Bottom