osib
Senior Member
- Jan 19, 2017
- 101
- 216
Habari zenu wakubwa,
Kwasasa soka la Africa mashariki linainuka kwa kasi sana angalau sasa wadhamin wanaweka pesa ya maana. Mfano kwa hapa Tz giant Yanga kaingia mkataba mnono na kampuni ya Azam media kwa engagement ya kurusha shughuli za yanga like mazoezi
Mahojiano ya wachezaji wa Yanga, mikutano yake nk, pesa waliyoweka ni nzuri. Najua Simba soon watasign deal kama hii. Sponsors wa vilabu vya Kenya wanafanya mikataba minono pia? Kama sio ni wajibu wao sasa kutoa pesa nzuri sio kuzinyonya club zetu tu. Now it's time for east Africa club to shine!