Caleb Timu (born 22 February 1994) is a New Zealand-born Australian rugby footballer of Samoan heritage who plays rugby union for the Queensland Reds in the Super Rugby competition. His position of choice is back row/loose forward.
Ukiona tu GENTAMYCINE hakubali kitu au anakidharau jua kwa kuwa Kwake 'Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer' ukichanganya na tunu (shani ) nyingi alizobarikiwa naye na Mwenyezi Mungu tayari ameshapima kimaono na kugundua madhaifu/mapungufu ya kimsingi.
Na bado...
Mwaka huu ni mwaka wa Yanga nyumbani na kimataifa! kitu kimoja kinachonikera sana ni ile tabiatimu ya wapenzi wa yanga kutaka kocha afanye watakavyo.
Kocha Nabi aliisha jifunza kupoteza mechi na al hilal kwa kufunguka mapena mchezoni na kuruhusu goli lililotutoa makundini mwa klabu bingwa ya...
Nani kakuambia waarabu hawapendi sana mpira? Mfalme wa Saudi Arabia (King Salman) ameitangaza kesho tarehe 23/11/20-11 kuwa siku ya mapumziko ili watu wapate nafasi ya kufurahia na kusherehekea ushindi wa kuifuinga Argentina yenye Messi kwenye mechi ya Kombe la Dunia!
Sipati picha kama...
Uingereza inaongoza katika timu zote shiriki za michuano ya Kombe la Dunia 2022 inayoendelea nchini Qatar kwa mujibu wa viwango vya soko la wachezaji lilivyo kwa sasa.
Uingereza ina thamani ya Euro Bilioni 1.5 (Tsh. Trilioni 3.5), Brazil inafuatia kwa kuwa na thamani ya Euro Bilioni 1.45 (Tsh...
Nitabakia kuwa timu Argentina, France na Germany pekee, na hakuna timu nisiyoipenda na ninayoiombea mabaya kama ya Brazil kutokana na jezi yao, na hasa baada ya GENTAMYCINE kugundua kuwa 99.9% ya mashabiki wa timu nisiyoipenda na ninayoichukia Tanzania ya Avic Town Magodoro Kunguni Tigo Pesa FC...
Mashindano ya Bonnah Segerea Cup yanatarajiwa kuanza tarehe 03/12/2022 hadi tarehe 18/01/2023. Timu 64 kutoka katika Mitaa ya Segerea 61, zitakutana kwenye Viwanja 8 vilivyopo Jimbo la Segerea.
Mbunge wa Segerea Bonnah Kamoli ameeleza kwamba Mshindi wa kwanza atapata Milioni 5, Mshindi wa Pili...
Leo kombe la dunia linaanza. Nawatahadharisha msiangalie. Ni mbinu za shetani kupitia Freemason kuwaingiza mkenge. Chukueni hii tahadhari seriously kuepukana na sintomfaham siku ya kiyama.
Pia Freemason wanawaingiza mkenge bila kujijua kupitia whatsapp, Twitter, paypal, mastercard, western...
Yanga imefanikiwa kuingia mechi za makundi kwa uwezo mzuri wa kiufundi kisoka iiliouonesha pale tunisia.mbali na furaha hiyo kwa sisi wapenzi wa soka yanga inalizimika kujihadhali na kuporomoka kwa soka baada ya michuano kuisha.
Kuporomoka kwa soka kunatokana na uwezekano mkubwa wa kuibiwa...
Naona kuna baadhi ya mashabiki ambao wao chuki na husda ndiyo wameviweka mbele, badala ya kuangalia mambo ya kuujua mpira. Hata kama unaichukia timu fulani kwa sababu zako lakini ukweli unabaki kuwa ukweli na hauwezi kubadilika.
Yanga kampiga Singida goli 4 lakini kuna wale watu wa umbumbuni...
Moja ya vitu vilivyofanya niandike uzi huu, ni jinsi mchakato wa timu zetu zilivyopatikana, nyingi zimeenda kibahati bahati na figisu za Kiafrika. Hili linajidhihirisha kwenye mechi za kirafiki, yaani Mnigeria ananyanyaswa kama mtoto.
Pia wachezaji wengi wa Kiafrika watakaoenda kuomba omba jezi...
Kuna jamaa yangu yupo Congo DRC amenidokeza kuwa, mpaka Sasa maombi ya wakongoman wengi ni kuomba kutopangwa kundi Moja la klabu bingwa na Simba timu Yao ya As Vital.
Hii imetokana rekodi mbaya waliyonayo clabu hiyo dhidi ya Simba Sports club. Jamaa aliendelea kudokeza kuwa ingekuwa mserereko...
Hii kitu sijaielewa Wazee wa pira linatembea wameshinda leo lakini mashabiki wake uku wamekuwa kama wamemwagiwa maji ya baridi sijui hii ganzi ya ghafra waliyonayo kuna nini nyuma ya pazia.
Mwaka jana vijana wangu wawili walikuwa wanafanya mitihani yao ya Taifa. Mkubwa alikuwa akifanya mitihani ya kidato cha 4 na huyu wa mwisho alikuwa akifanya mitihani ya darasa la 4.
Matokeo yao yalipotoka mwaka huu yalikuwa hivi:-
1. Huyu wa darasa la 4 alifaulu kwa kupata A zote. Nyumbani...
Nyie viumbe naamini mmeamka salama japo Mihogo FC wanatupigia sana kelele. Kwa wale mnaofatilia mpira wa Simba hivi karibuni mtaona kabisa Mgunda ana uwezo mdogo sana, kiufupi anabebwa na uwezo binafsi wa baadhi ya wachezaji.
Kabla hatujapata aibu zaidi naombeni uongozi wangu/wetu umtimue mara...
Kwenye suala la kumiliki mpira na kucheza kandanda safi kwa Tanzania na Afrika kwa ujumla, sioni timu ya kuwashinda wananchiwananchi. Tumaini pekee la wapinzani wanaokutana na Yanga ni kupaki basi na kucheza kaunta attack.
Mtihani wa benchi la ufundi kwa sasa ni kuja na mbinu za kuwafunua...
Nijibuni upesi kwani nataka nimuandae kabisa Mnyasa (Mmalawi) wa kuwa naye usiku mzima wa leo na niandae pombe za kunywa ili kusheherekea tu kutolewa rasmi kwa klabu moja, na Tanzania kubakia kuwakilishwa na klabu moja tu kubwa kuliko inayojulikana hata na Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.