Caleb Timu (born 22 February 1994) is a New Zealand-born Australian rugby footballer of Samoan heritage who plays rugby union for the Queensland Reds in the Super Rugby competition. His position of choice is back row/loose forward.
Wanalunyasi nawaalika kuja kutoa dua na sala ili timu yetu icheze kwa amani pia ishinde. Kumbukeni sisi huwa hatushindi ushindi wa kununua, kwahiyo huwa tunashnda kwa kutumia maarifa na ujuzi wa wachezaji wetu.
Nawakaribisha kuja kutoa dua na sala ili timu yetu ishinde.
Nafikiri sasa tutaongea lugha moja ya kwamba yanga kucheza michezo 44 bila kufungwa sio jambo jepesi kama wanavyodhani wale mbumbumbu, unatakiwa uwe na kikosi cha maana na kipana kufikia iyo rekodi.
Tumeona leo wazee wa pira litembee walivyoangukia pua mbele ya azam, baada ya kulegezwa na derby...
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda ameionya Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) akidai inaingilia kazi ya timu aliyoiunda kuchunguza uhalali wa utoaji wa mikopo kwa wanafunzi.
Timu hiyo iliundwa Julai 31 mwaka huu, baada ya kuwapo malalamiko mbalimbali...
Nashindwa kuelewa Yanga kunani? Form ya timu yetu imeshuka sana. Huku wenzetu wakizidi kupata kasi. Kocha Nabi sidhani kama ana shida, bali wachezaji mliosajili mmesajili kisiasa.
Aziz Ki ukiacha lile shuti lililotaka kumuua Manula ni wa kawaida sana, Bigirimana, Kisinda, Djuma Shabani...
1. Farid Musa
2. Bakari Mwamnyeto
3. Feisal Salum Fei Toto
Hivyo nawaomba wachezaji wa Simba SC kama ikiwezekana wafukizwe sana moshi wa .... au wapakae mafuta ya nguruwe.
Na kwa wale wa benchi la ufundi (siyo wachezaji) nawaomba muda mwingi wawe wameshika au wameweka ndimu au malimao karibu...
Takwimu hazidanganyi, kwa sasa Simba wapo vizuri sana. Mechi 5 walizocheza hadi hivi sasa;
~ Wamefunga magoli 11
~ Wameruhusu magoli 2
Kimataifa wamecheza za jumla ya mechi 4;
~ Wanefunga magoli 8
~ Wameruhusu goli 1
Wametinga hatua ya makundi CAF Champions League, vinara Ligi Kuu Tanzania bara.
Mmesajili wachezaji wazuri sana pengine kwa gharama kubwa, lakini ni ukweli mtupu kuwa Kocha Van ameshazeeka na uwezo wake hauwezi kuvuka pale.
Ushauri wa bure kabisa, hebu mpeni Mwinyi Zahera timu yenu ili mpate tabasamu la thamani ya pesa. Mtachelewa sana kama mtadhani marefa wanawaonea.
Ni taarifa rasmi na ikufikie popote pale ulipo kuwa kwa sheria mpya za Kombe la Shirikisho, Yanga SC yenye alama za chini itaanzia nyumbani na timu yenye alama kubwa japo imeangukia Shirikisho.
Chanzo: EFM Sports Headquarters
Hivyo Watanzania (hasa wana Yanga SC) msije kushangaa sana...
Thamani ya ligi yetu itaongezeka sana. Watanzania wataanza kuangaliwa ili wasajiliwe timu nyingine za Afrika. Na pengine makocha wetu wanaweza kutazamwa.
Yanga siwapendi na mpira wao uko sana mdomoni lakini ningefurahi mwaka huu na sisi tuwe na timu mbili kwenye makundi CAFCL. Azam nao...
Kama mechi yenu tena ya hapa hapa nyumbani Dar es Salaam nchini Tanzania Uwanja wa Mkapa ilionyeshwa mubashara (live) na mkademadema na kupata alama (point) moja mnadhani kwa kuonyeshwa kwao ndiyo mtawafunga?
Wenzenu Wasudan (Waarabu) nje ya mpira pia wana jicho kali la kibiashara hivyo waliona...
Je, mnajua kama Vipers wa siku ya mwananchi ametoa sare na TP Mazembe leo?
Na mnajua kama Rivers wamemfunga bingwa wa Afrika WAC na ni mtu mwenye akili mbovu tu ndiyo atalinganisha Al Hilal na hawa Agosto wa Namungo?
Wengi tunatarajia magoli toka kwa akina Mayele n.k, leo mabeki wa Yanga wanaenda kuokoa timu yao.
Yanga itashinda magoli 2, tutarajie penalty kwenye mchezo.
Ft 2-0/2-1/3-1
Kila la kheri Yanga.
Mpaka muda huu nawaona walinzi tu peke yao magetini, huku uwanjani kukiwa na watu wawili tu. Hivyo huenda wanasubiriwa hao 348 waliobakia ili mbungi lianze hiyo saa 10 kamili jioni.
Kuna timu moja nchini Tanzania (nimeisahau jina) yenyewe ingekuwa inacheza leo, basi mpaka saa 4 hii uwanja...
Kilichotokea huko mkiwa na Timu hiyo ya Walemavu ndiyo kile kile kiliwatokeeni hata kwa Timu ya Taifa ya Taifa Stars na Kushindwa kufanya vyema na Mimi huyu huyu GENTAMYCINE niliwaonyeni hapa hapa JamiiForums kuwa acheni kuingiza Siasa na Usisiemu Michezoni hamkunisikia.
Juzi baada ya Timu hii...
Simba hana record nzuri na timu za Kusini na Magharibi mwa Africa kulinganisha na Kasikazini.
Kama ambavyo yanga hana rekodi nzuri na timu za Warabu.
Naongea kiufundi sio kiushabiki
Simba alitolewa na timu kutoka Msumbiji, akatolewa na timu kutoka Botswana, akatolewa na Pirate na Kaizer Chief...
Uongozi wa Klabu ya Polisi Tanzania umeingia mkataba wa mwaka mmoja wenye thamani ya Sh 50 Milioni na Kanisa la Kingdom Embassy (HPCC) la jijini Dar es Salaam ambao ni maalumu kwa ajili ya kupatiwa maji ya kunywa, fedha na maombi timu inapocheza popote kuhakikisha kwamba wanafanya vizuri zaidi...
Salah aliweza kuivunja ile rekodi ya goli 31 ya Premier League na kuweka ya kwake ya goli 32 huku akiwa kama winga tena kutoka Afrika, nilitamani hii rekodi ikae kidogo kwa heshima ya Afrika, lakini nadhani muda umefika ukingoni.
Kuna mtu mmoja hatari sana Erling Haalland, huyu jamaa anakuja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.