timu

Caleb Timu (born 22 February 1994) is a New Zealand-born Australian rugby footballer of Samoan heritage who plays rugby union for the Queensland Reds in the Super Rugby competition. His position of choice is back row/loose forward.

View More On Wikipedia.org
  1. Timu ambayo haijawahi kufika fainali mashindano yoyote makubwa kujilinganisha na timu yenye medali za CAF

    Huwa inashangaza sana kuona baadhi ya vilabu vya ukanda wa Afrika Mashariki kama FC Leopards, Azam, Gor mahia sijui Simba, APR n.k kuthubutu kujilinganisha na Yanga ambayo imepiga hatua kubwa sana katika bara la Afrika kiujumla kwa kutwaa medali na tuzo za kumwaga! Walau Yanga unaweza kuiweka...
  2. TFF yazindua jezi mpya za Timu ya Taifa ya Tanzania

    TFF yazindua jezi mpya za Timu za Taifa za Tanzania kwaajili ya Afcon 2024. Jezi hizo zimetengenezwa na kampuni ya kitanzania ya Sandaland. Home kit Away Kit Third Kit
  3. F

    Timu zilizofuzu nusu fainali ya caf champions league 2023 ndio hizo hizo zimefuzu Caf AFL 2023. Hakuna timu mpya

    Mchele na chuya unajichuja.. nimeamini mashindano ya caf ya timu zake zile zile miaka yote.. timu zilizofika nusu fainali ya AFL 2023 ni zile zile zilizofika nusu fainali ya caf champions league mwaka 2023 Nusu fainali ya Caf champions league mwaka 2023 ilikuwa na timu 4 ambazo ni 1. AL...
  4. Kama Timu za Tanzania Kufa Kiume Mashindano ya CAF ni Sifa basi tuwaombe CAF waandae Shindano la WAFAO KIUME CUP tulibebe

    Kauli yangu ni moja tu na tena ni Takatifu kabisa kuwa HATUMO na TUMESHATOLEWA rasmi Mashindanoni hivyo hizo Kauli zenu za Kinafiki na Kipuuzi za Timu zetu KUFA KIUME msiwe mnazisema mbele yangu nisije Kumzabua Mtu Makofi bure sawa?
  5. H

    Timu zetu ziondoe hili neno 'kujitahidi' linachosha sasa

    Bila salamu. Hili neno linachosha sasa kwa timu zetu..simba na yanga ndio timu kubwa hapa bongo ziondoe hili neno kujitahidi limekuwa too much tutengeneze timu za kushindana kama wenzetu na sio timu za kuqualify kwenye mashindano fulani. Wenzetu nilichoona wana timu imara muda wote they play...
  6. N

    Yanga ni bonge la timu naipenda sana

    Habari wana yanga wenzangu. Kweli yanga tunachukiwa sana,imejizihirisha leo sehemu nilipokuwa nacheki mechi ya yanga na lamba lamba mashabiko wa simba walikuwa wanatukana piga hao mbwa. Si ghafla azizi k akawafunga mdomo,wakakimbia banda kwa aibu,sasa simba kiko wapi? Yanga ni timu ya...
  7. Hizi hapa timu 24 zitakazokuwa kwenye African Footbal League, Yanga haimo!

    Hii ndiyo list ya awali ya timu 24 zinakazocheza katika toleo lijalo la African Football League. Waandaaji wa AFL ambayo ni taasisi inayojitegemea imeona ni muhimu nchi zile ambazo zinajulikana zaidi kwa mpira Africa lazima zipewe uwakilishi pamoja na kwamba katika level za club wamekuwa hawana...
  8. Simba ndio timu peke Tanzania kupata nafasi ya kuanzisha mambo,na wengine hufuata baadae.

    Ni karama itokananyo na bidii,haiji hivihivi. Simba ndio timu pekee kwa Tanzania kupata nafasi nyingi za kuweka historia.kisha timu nyingine hufuata baadae sana. Mfano,kombe la Afrika mashariki lilipoanzishwa timu ya Simba kwa tanzania Ikawa ya kwanza kulitwaa. Simba Ikawa ya kwanza kuingia...
  9. Mgawanyo wa fedha kwa timu 8 zinazoshiriki Super League, Simba Tayari kakunja Tsh. Bilioni 2.5

    Bingwa - $4,000,000 / Shilingi bilioni 10 Mshindi wa pili - $3,000,000 / Shilingi bilioni 7.5 Kuiingia nusu fainali - $1,700,000 / Shilingi bilioni 4.2 Kila timu itayotolewa mwanzoni - $1,000,000 / Shilingi bilioni 2.5 Chanzo ni CAF wenyewe CAF announces Prize Money for the Inaugural...
  10. CAF wametumia vigezo gani kupata timu katika mashindano ya Africa Football league (AFL)

    Ningependa kujua vigezo vilivyotumiwa na Caf kuanzisha haya mashindano kwa sababu kama wamechukua timu bora kila ukanda Kwa hivi sasa Rivers ni bora kuliko Enyimba
  11. Ukurasa wa X wa timu ya Simba kuruhusu matangazo ya ngono katika comments

    Ni aibu timu kubwa kama Simba kuruhusu account zenye maadili mabovu ya picha za utupu na ngono katika comments. Simba ni timu inayoheshimiwa ndani na nje ya Nchi. Kuna watu wenye hadhi zao ni washabiki wa simba kama viongozi wa serikali, viongozi wa dini, wanafunzi wa chuo, shule nk. Inakuwaje...
  12. Tetesi: Taarifa za ndani kabisa nilizopenyezewa zinasema huenda Feitoto akacheza Kariakoo isiyo na Mafuriko SC siku si nyingi

    Timu ambayo Feitoto ataichezea kwa sasa inajitafuta ili ijipate kwa Kukamilisha Shilingi Milioni Mia Sita (Tsh 600,000,000/= ) ya Kumlipa na aende Kuongeza Nguvu katika Kikosi chao. Hata hivyo Kinacholeta Utata na Sintofahamu kwa sasa ni kinachodaiwa Kipengele kilichowekwa na Kariakoo ya Mbu...
  13. Matokeo ya mwisho ya Simba na Yanga walipokutana na timu walizopangwa sasa kwenye CAFCL

    Mara ya mwisho Simba kukutana na timu alizopangwa nazwo kwenye kundi lake; Asec 3 -0 Simba Waydad 1 - 0 Simba Simba 1 - 3 Galax Mara ya mwisho Yanga kukutana na timu alizopangwa nazo; Ahly 1 -0 Yanga Medeama 3 - 1 Yanga Belouizdad vs Yanga hawajawahi kukutana
  14. Zifuatazo ndiyo Timu zangu pendwa ambazo GENTAMYCINE nitazishangilia mno katika AFCON ya 2024 Ivory Coast

    1. Morocco 2. DR Congo 3. Zambia Kwanini? Ni Timu ambazo zinacheza Mpira wa Kuvutia, wa Kisasa na kuna Vipaji vikubwa na Vingi. Pia ni Timu ambazo Makocha wake hawafichi Vikosi vya Wachezaji wao kwa Wananchi ili Visijadiliwe na Visikosolewe na Wadau. Lakini pia ni Timu ambazo hazitumiki na...
  15. Chagua viungo watatu wa kuanza katika timu yako katika list hii

    Wewe ndio kocha unataka uanze na viungo watatu, wachague hapa katika orodha hii.
  16. Kocha Robetihno Oliviera fundi jezi no 7 aliecheza na Nyota wa Brazili Zicco timu ya Flamingo ya Brazil

    Eeh bana eeeh Robetihno alikuwa mtu na nusu amecheza sana uwanja mkubwa Duniani wa Maracana. Mwamba akivaa jezi no 7 alikiwasha sana. Huyu mwamba ndiomana hanaga pressure na haogopi kucheza na timu yoyote. Simba SC imepata bonge la Mwamba katika soka. Wanaobisha YouTube ipo inakutoa...
  17. RT yakabidhi vifaa vya mchezo wa Riadha kwa Timu mbili zinakwenda Japan na Uswisi

    Shirikisho la Riadha Tanzania (AT) leo tarehe 08/10/2023 limekabidhi vifaa mbalimbali kwa timu mbili za riadha zinazoenda kushiriki mashindano ya Kimataifa Japan na Switzerland. Timu mojawapo iliyokabidhiwa vifaa ni timu ya riadha ya JWTZ inayokwenda kushiriki mashindano ya Majeshi (CISM)...
  18. R

    Jinsi timu za ulaya zinavyotumia fursa ya masoko

    Jana kulikuwa na mechi Kati ya Genoa na Ac Milan, katika mechi hiyo kipa wa Ac Milan alitolewa kwa Kadi nyekundu wakati idadi ya wachezaji kufanyiwa sub ilishatimia. Ilibidi mshambuliaji wao Oliver Girloud akakae golini Kama kipa, na bahati nzuri akaokoa hatari ambayo ingeweza kuwa goli. Leo Ac...
  19. Je Al Ahly imewahi kuifunga timu Gani ya Tanzania goli 5-0

    Kuelekea mechi za Simba na Al ahly super league na Yanga na Al ahly CafCl.. Nafahamu washawai kupigwa Moja bila na Yanga. Goli la Canavaro sasa nawauliza watunza kumbukumbu hivi washawai kuifunga timu ya TZ goli tano
  20. S

    Ratiba ya michezo ya CAF kwa timu za Yanga na Simba

    Mwenye ratiba ya mechi zote naomba aitupie hapa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…