timu

Caleb Timu (born 22 February 1994) is a New Zealand-born Australian rugby footballer of Samoan heritage who plays rugby union for the Queensland Reds in the Super Rugby competition. His position of choice is back row/loose forward.

View More On Wikipedia.org
  1. Kama kuna timu hapa bongo haijawahi kufungwa goli sita na Simba ipite mbele.

    Simba kuwapa watu dozi nzito ni kawaida yake, kama kuna timu yeyeto hapa bongo haijawahi kufungwa goli sita upite mbele.
  2. M

    Kuipa mechi jina la mchezaji sio afya kwa umoja wa timu

    Viongozi wa Yanga ninaheshimu sana kazi yenu maana hakika tunaona timu ilipo kwa sasa. Ila niwaombe sana mjaribu kutumia busara zenu katika hili suala la kuipa timu jina la mchezaji siku ya mechi. Kwa maoni yangu ninaona linaweza kuharibu umoja na mshikamano kwa wachezaji kwani kunaweza...
  3. Kumbe Yanga ilicheza na timu ya vijana ya CR Belouzdad, mashabiki wanamjia juu kocha kwa kudharau mechi

    Nimeshangaa kuona kumbe ile timu iliyofungwa jana ni ya vijana wa kutoka academy ya Belouzdad. Kocha na uongozi unalaumiwa kwa kuwadharau yanga.
  4. Maono timu zitakazotinga fainal klabu Bingwa barani Afrika

    Habari zenu wadau wote wa jukwaa hili la michezo, kwanza kabisa niseme tu mimi nimekua nikafatilia Kwa club michuano hii mikubwa kwa ngazi ya vilabu barani Africa. Nikitazama kwa jicho la kiufundi kabisa naiona timu ambalo yupo Yanga, litatoa timu zitazokutana fainal au timu mojawapo katika...
  5. G

    Hizi ndizo fedha zitazolipwa kwa kila timu kulingana na hatua walizofika mashindano ya CAF

    MUHIMU - Kila timu inapewa pesa ya nafasi iliyofikia na sio kila hatua, ikiwa timu itaomba pesa za usafiri, malazi, vyakula, n.k. Mashindano yakiisha watalipwa kiasi kilichobakia baada ya kutoa fedha walizopewa. US$ 1 = shilingi 2,545 Tshs BINGWA: US$ 4 million Shilingi bilioni 10 na milioni...
  6. Timu ya Taifa ya Romania ilienda World Cup ya mwaka 1998 pale Ufaransa wakiwa wamepaka Bleach karibia wachezaji wote

    Nimeona wananchi kesho wana mechi ya ligi ya mabingwa afrika, ni mechi muhimu sana kiasi wakaamua kuipa jina “Pacome Day” huku wakinogesha na style ya nywele ya mchezaji wao Pacome. Style hiyo kutumiwa na wachezaji wengi wa timu sio ngeni katika shughuli za michezo hasa kabumbu. Mwaka 1998...
  7. Iran: Vijana wakamatwa kwa kushangilia anguko la timu ya taifa

    Ayatolla na dini yao wanaendelea kupoteza vijana kwenye taifa la Iran, wanalazimisha ila ndio hivyo, Iran ilishindwa kwenye mechi ya mpira, halafu vijana wakajitokeza kushangilia hilo anguko maana wamechoka na utawala wa kijinga, sasa kumetokea kamata kamata ya vijana wote walioshabikia. Halafu...
  8. I

    Serikali nchini Iran yakamata vijana 10 kwa kushangilia timu yao ya taifa kufungwa

    Mamlaka nchini Iran inawashikilia takriban vijana 10 wa kiume kwa "kuonyesha furaha" kutokana na timu yao ya taifa kufungwa hivi majuzi na timu ya taifa ya Qatar katika michuano ya soka. Shirika la kutetea haki za binadamu lenye makao yake makuu nchini Norway lilisema Jumatatu...
  9. Simba acheni ujinga wenu wa kujificha kwenye kichaka cha refa Kayoko, nyie ndio timu iliyofaidika na marefa kuliko yeyote kwenye ligi

    Ni aibu na ajabu Kuona mashabiki na viongozi wa Simba eti wanamlaumu Kayoko kawabeba Azam!!? Ni kichekesho Cha mwaka hiki sijawahi ona wapumbavu kama hawa watu! Simba ndiyo timu iliyochukua point nyingi za kubebwa kwenye ligi kuu kutoka kwa MAREFA kina Tatu Malogo, rejea mechi ya Prison, KMC...
  10. Kipa wa timu ya Taifa ya Nigeria atishiwa maisha

    Kipa wa timu ya Taifa ya Nigeria Stanley Nwabaly, amekumbwa na kitisho baada ya kuifanikisha timu yake ya Taifa ya Nigeria kuwatoa Afrika kusini kutinga fainali ya michuano ya AFCON inayochezwa mwaka huu 2024 nchini Ivory Coast. Inaelezwa kuwa baadhi ya mashabiki wa soka nchini Afrika Kusini...
  11. Nini siri ya timu nyingi kuzikamia Yanga?

    Nimejiuliza hili swali nimekosa jibu ni Siri gani timu za ligi kuu kuikamia Yanga. Yanga ndio timu inayopata ushindi wa halali ligi kuu, Yanga ndio timu inayoongoza kusaka magoli kwa kuvuja jasho jingi, timu nyingi za ligi kuu zikicheza na yanga zinakamia mnoo zinajitoa kwa 100%, zinatumia kila...
  12. Lomalisa Mutambala: Mchezaji pekee anayecheza Ligi Kuu Tanzania aliyewahi kuchukuwa ubingwa na timu yake ya taifa DRC

    WACHEZAJI PEKEE WANAOCHEZA LIGI KUU TANZANIA AMBAO WAMEWAHI KUWEMO KWENYE KIKOSI CHA TIMU YAP YA TAIFA IKITWAA UBINGWA WA AFRICA. LOMALISA WAZIRI WA MAJI. NA YANNICK BANGALA LITOMBO MZEE WA KAZI CHAFU Ebwanaee nilikuwa napitia stats za Joyce LOMALISA Mwaka 2016 alibeba ndoo chan 2016...
  13. Kwanini iliyotolewa ni Timu ya Taifa ya Mali ila Walionuna na Wanaoumia ni Mashabiki wa Yanga SC?

    Klabu yoyote Bora kokote pale duniani ni ile ambayo pia hata Mchezaji wake Mmoja anayechezea Timu ya Taifa anaipeleka hiyo Timu yake katika hatua muhimu za Mashindano makubwa yanayotambulika na yenye Heshima kama ya AFCON kuanzia hatua za Nusu Fainali. Hongereni sana Simba Sports Club na hakika...
  14. M

    Wachezaji wa timu za wenzetu wanalia kwa kutoingia nusu fainali ila Taifa Star yetu ni full tabasamu ilipoishia

    Nimeona jinsi timu za Morocco, Egypt na leo Guinea walivyolia kwa kutoingia quarter final au semi final. Yaani wanaumia. Ila wachezaji wetu sikuwahi kuwaona wakisikitika kwa kutofanya vizuri
  15. M

    Inonga ana viwango vya Laliga na EPL. Tatizo tupo timu mbovu sana ya Simba

    Nimemfuatilia kwenye hii michuano ya Afcon. Hakika jamaa ni bonge la beki. Sema aliyemshauri kuja Simba kamuharibia sana.
  16. Ali Kamwe: Tumebadili mtindo wa Kutambulisha Wachezaji wetu wakitua nchini kwakuwa kuna Timu ina Kijicho nao na Kuwamaliza

    "Hatutambulishi tena Wachezaji wetu wa Kigeni wakitua tu Uwanjani kama zamani kwani kuna Timu moja ina Jicho la Husuda huwa inawamaliza Kimpira" msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe. Chanzo: Sports Bundle ya U-FM jana Saa 3 Asubuhi. Kudadadeki zenu na hata huyu mpya nae tutamroga zaidi ya Hafidh Konkon
  17. Yanga haina Daktari wa Timu?

    Kuchezesha Mzize aliyevimba macho kwa ugonjwa wa Red Eyes ni ushahidi wa wazi kwamba timu hii haina Daktari na ni aibu sana. Uchunguzi unaonyesha kwamba Mzize amefunga mabao mawili baada ya Wachezaji wa Njombe kumuachia ili asiwaambukize, unamkabaje Mzee wa miba? TFF inapaswa kuingilia kati...
  18. Je ratiba kama hii ina afya kwa timu husika ?

    Habari jf ,mfano hii ni Ratiba ya viporo ya Simba Sc ,Yanga nao ratiba tight .Kuna haja TFF ratiba zao kuzi review vizuri . Na hii hapa ni fixture ya Yanga. Tarehe 2/2 Kagera vs Yanga Tarehe 5/2 Yanga vs Dodoma Tarehe 8/2 Yanga vs Mashujaa Tarehe 11/2 Prisons vs Yanga
  19. Wachezaji 12 wageni kwenye timu ni sumu kwa Taifa stars

    Lawama la kushindwa kwa Taifa stars AFCON kwanza liende kwa TFF kabla ya sehemu nyingine. Timu zetu kubwa kwenye ligi haziandai Wachezaji wa kuichezea timu ya taifa kwakuwa wamepewa ruksa ya kutafuta wachezaji 12 nje ya nchi. Hii inasababisha vijana kama Mzize na wengine wasipate muda wa kukosea...
  20. R

    Kwa namna timu ya Taifa inavyocheza leo; Hemed Moroco ni bora kuliko kocha Mkuu; lakini utakuta analipwa kidogo au analipwa maslahi

    Game ya Tanzania na Zambia na game ya leo ni Ishara tosha kwamba yule kocha mgeni alikuwa ahujumu timu yetu. Angalia first 11 ya leo inavyopiga mpira wa kisasa, akina Fei Toto walikuwa wanafanya nini benchi? Kwa hizi game mbili vs game ya majaribio na Egypt na game ya Morroco ni wazi kocha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…