timu

Caleb Timu (born 22 February 1994) is a New Zealand-born Australian rugby footballer of Samoan heritage who plays rugby union for the Queensland Reds in the Super Rugby competition. His position of choice is back row/loose forward.

View More On Wikipedia.org
  1. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Ahmed Ally anapitia magumu sana na timu yake

    Ndugu yangu huyu nampa Pole yaani ukweli anatamani kutoka anashindwa afanyaje ndioo maisha yake. Kati ya watu niliwaonea huruma majuzi ni ndugu yangu huyu hatareee sanaaa. Tuendelee kumwombea Allah ampe nguvu na timu yake asikate tamaaa.
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mgogoro wa Kidiplomasia wasababisha Timu ya RS Berkane kugoma kucheza dhidi ya USM Alger

    Mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho (CAF Confederation Cup) kati ya USM Alger ya Algeria dhidi ya RS Berkane ya Morocco umeshindikana kufanyika baada ya wageni RS Berkane kuzikataa jezi walizozikuta kwenye vyumba vya uwanjani wakidai sio zao. Awali, RS Berkane walidai jezi zao...
  3. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Dabi ya Yanga na Simba ilikuwa safi mno, timu hizi zinazidi kupendwa!

  4. D

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Timu za Vijana kukosa ufadhili

    Katika maisha ya soka dunia nzima vijana ndio msingi mzuri wa maendeleo ya soka. Katika taifa letu la Tanzania jamii ikiongozwa na TFF kwa msaada wa serikali imekuwa ikijitahidi kuinua mchezo wa soka, lakini inasikitisha kuona wanachokifanya ni KUTENGENEZA PAA LINALO MEREMETA WAKATI MSINGI NI WA...
  5. The Legacy

    JamiiForums Tanzania Kwa hali ya hewa jijini simba anashinda mechi ya kesho tarehe 20.4.2024

    Wasalam Kwa jinsi mvua inavyochapa hapa mjini Wanasimba tuanze kabisa kushangilia kuwa kesho tunapata ushindi na kufufua matumaini yetu ya kuwa mabingwa msimu huu Historia inaonyesha Simba anajua kucheza na kipindi cha mvua na huwa anaifunga timu ya Yanga KESHO ANAKUFA MTU.
  6. R

    JamiiForums Tanzania Mwigulu ni timu Mama au ni timu 2030?

    Mwigulu Nchemba ameandika kwamba alifahamu kwamba mwaka 2024 Mh. Rais atachafuliwa mitandaoni. Ameeleza mambo mengi aliyofanya Mhe. Rais, Najiuli amefahamu vipi uwepo wa wachafuzi 2024? na hao aliowasikia ni kina nani? Ikumbukwe nyuma ya harakati za uchaguzi wapo watu wameanza kuona wanaweza...
  7. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Baada ya kugundua kua Hawatajaza watu mikutanoni, na Wasanii wako bize, Nchimbi, Makala na Timu yake wajikita kwenye Mikutano ya Ndani ya CHAMA!!.

    Hii ni kuhofia aibu ambayo ingewapata, ndioo, Wamejua kwamba hawatajaza watu, wanajua hawakubaliki, hawana ushawishi, Sasa wamekuja na GIA ya kufanya Ziara za Mikutano ya Ndani tuu, yaan kwenye Viukumbi vyenye kubeba wanachama tu na sio Raia ,tena wanachama wapatao 100 !!. Hofu yao ni kuona...
  8. PD_Magumba

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini SIMBA SC ndiyo timu pekee iliyofungwa Home and Away kwenye CCL 2023/2024 na pia ndo timu iliyofungwa magori mengi zaidi kwe michuano hii

    Mashabiki na viongozi wa SIMBA SC wamekua wakijinasibu ya kwamba SIMBA SC ni timu bora. SIMBA SC pamoja na kupangwa kundi bovu lakini ilifuzu kwa tabu sana. SIMBA SC imetolewa kwa kipigo cha aibu cha nje ndani kutoka kwa Ahly iliyojichokea sana msimu huu. Je ubora wa SIMBA ni upi? Je, nini...
  9. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Che Malone:Ni ndoto ya kila mchezaji duniani kote kushinda mataji na kucheza kwenye timu kubwa yenye malengo makubwa

    Nakutakia kila la kheri Kaka.
  10. kekule benzene

    JamiiForums Tanzania Timu za Tanzania tuna cha kujifunza kwenye upigaji wa penati

    Pamoja na yanga kufanyiwa mtimanyongo kwenye goli la Aziz Ki, Lazima tukubali kuwa timu zetu za Tanzania zina udhaifu mkubwa kwenye upigaji penati. Inafika hatua, tukifika kwenye mikwaju ya penati tunahesabu kuwa tumeshatolewa tayari na mara nyingi tunashinda pale ambapo kipa atasave mikwaju...
  11. ANT DRUGS

    JamiiForums Tanzania Unyonge wa Wachezaji wa Yanga ndo umefanya timu kukosa nusu fainali

    Salama mtasalimiwa na Refa. Japo lawama zote zinaenda kwa refa na jopo lake lkn mimi nadhan tunapaswa pia kuwalaumu wachezaji wa yanga.Tujiulize; 1. Kwanini hawakukusanyika kwa referee na kumtaka akaangalie VAR? 2. Je walikosa uzoefu wa mashindano?Hawaoni hata wachezaji wenzao huko ULAYA...
  12. Majok majok

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mashabiki wa Simba nguvu zao na mijadala wameielekeza yanga na kuisahau timu yao?

    Nimeshangaa sana awa wafuasi wa mangungu kutoijadili timu yao iliyopigwa nje ndani na Aly ahly na badala yake wamekuwa makini kujadili mechi za Yanga dhidi ya Mamelod kuanzia mechi ya kwanza mpaka ya mwisho Pretoria? Najiuliza timu yao walishaikatia tamaa siku nyingi na imepoteza mvuto mbele ya...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Kwa heshima ya timu kubwa k ama Mamelodi ni Bora wajitoe hatua ya nusu fainali waliyoingia

    Hii italinda heshima ya soka bora walilonao.Italinda heshima ya timu na wachezaji kwa ujumla.Viongozi wao wakae chini wafikirie mara mbili. Timu yao ni kubwa sana ni bora wajitoe kulinda sifa waliyonayo pamoja na wachezaji wao wakubwa wa dunia walionao.Wasiangalie njaa ya leo wakajivunjia...
  14. Mcheza Piano

    JamiiForums Tanzania Wazee wa kimila, tunaweza kumroga refa wa jana na timu nzima ya VAR?

    Inawezekana kuwashusha busha na kupiga chata ya Yanga kwenye busha?
  15. J

    JamiiForums Tanzania Kwa takwinu hizi, Yanga kutolewa ni haki, ingeitoa Mamelodi ndio isingekuwa haki, Mamelodi alikuwa timu bora

    Tulishuhudia mechi wote, Yanga walikuwa wamezidiwa kila idara na Mamelodi Yanga walichofanya ni kupaki basi kubutua butua, kucheza rafu kwa dakika zote na kubahatisha shuti moja ambalo ndio wanalolalamikia walinyimwa goli Kwa mashabiki tunaopenda kuona soka, tunataka timu bora ishinde, sio...
  16. Majok majok

    JamiiForums Tanzania Hongera Yanga! Mmeonesha mna na timu ya aina gani. Nawaona mbali ndani ya miaka 2 ijayo kwa ubora wenu

    Kwanza kabisa nichukue nafasi hii kuwapongeza viongozi, wachezaji, wanachama na mashabiki wa yanga popote pale walipo kwa kuiunga mkono timu yao ndani na nje ya nchi. Kusema na ukweli yanga imetengeneza timu ambayo inaanza kuwa tishio barani afrika kwa timu zote, pamoja na uchanga wake kwenye...
  17. sinaham

    JamiiForums Tanzania Timu ya yanga inachezesha wachezaji wengi wa nje kuliko wazawa

    TFf ilichuku.ie hili Wazawa tunakosa fursa ya kung'ara kimataifa. Tutapata wapi nafasi ya kuonekana kimataifa. Tunastahili kichezeshwa wengi https://www.jamiiforums.com/threads/wachezaji-12-wageni-kwenye-timu-ni-sumu-kwa-taifa-stars.2179131/
  18. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Kwa uonevu wa wazi dhidi ya goli la Yanga leo, suluhisho ni timu za Tanzania kujitoa mashindano ya Afrika. Na tujitoe kwa staili hii

    Goli limeingia, saa ya refa imelia kuashiria goli limeingia. Read anapokea maelekezo kutoka kwa watu wa v.a.r ( probably watu wa motsepe) Yani hata kwenda kuangalia tu var kimchongo amejistukia amekataa hata kwenda . Dah ushoga mtupu. Suluhisho ni kwa timu za Tanzania kujitoa kwenye...
  19. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Kocha wa Mamelodi asikitishwa timu yake kukosa support ya mashabiki wa Afrika Kusini

    Kocha wa Mamelodi Sundowns ametoa la moyoni kwenye media za South Africa akielezea kusikitishwa kwake Kwa timu Yao kukosa support ya mashabiki mpaka kufikia wanachukua ubingwa wa PSL last season uwanja ukiwa empty. Katika Kile kinachoonekana dhahiri Leo tena Mamelodi wanacheza kama hawapo...
  20. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Kumbe timu ya KMC inayogharamiwa na manispaa ya Kinondoni si ya serikali!

    "Huku akisema CCM haikubaki nyuma kwenye michezo na ndio maana inamiliki timu kwenye ligi kuu, ambayo ni KMC ya Kinondoni, kiukweli sikuwahi kudhani timu ile ni mali ya CCM". Haya yalisemwa na Bananga kwenye uzinduzi wa Ramadhan Cup iliyoanzishwa na CCM. Kutokana na pande zote mbili za nchi...
Back
Top Bottom