Mapacha wanaofanana, Hossam na Ibrahim Hassan, wanaandika ukurasa mpya wa kihistoria katika soka la Misri. Sasa wakiwa kama kocha mkuu na mkurugenzi wa timu, ndugu hawa wameiongoza timu ya taifa ya 'Pharaohs' kupata ushindi wao mkubwa na wa kwanza kabisa katika michuano ya Kombe la Dunia, na...