Tukutane kwenye Community Shield Utajua HujuiHata hivyo ilikua testing wame fanya makusudi simba waingie kichwa kichwa
Nyie hamkumuona huyo mkongo mumsajili?Hela zote walizotumia kumsajili mstaafu kwa nini wasingemsajili huyo mkongo aliyewafunga bao 2 ?
Wewe ndiye mwenye hali nzuri?😂Sasa Kenya polisi anakutoa jasho wewe mbona una hali ngumu sana
Pole sana mkuu mpira ndivyo ulivyoMashabiki wa simba mambo ya Yanga hayawahusu. Na hakuna mahali mliombwa ushauri.
Kagame cup nahisi ilikuwa planned ileNiliangalia kagane cup nikasema timu kama Gor Mahia haina udhamini mkubwa lakini ina quality ya wachezaji wazuri kama ingepata udhamini wa Simba au Yanga wangekuwa wanabeva klabu bingwa Afrika kila mara.