tiketi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Niwaambieni mapema tu nikija kuwa Rais wa Tanzania kwa Tiketi ya Mgombea Binafsi Daraja la 'Tanzanite' nitaamuru libomolewe haraka

    Nimetafuta Mantiki ( Logic ) ya Ujenzi wa Daraja hilo mpaka sasa sijaipata sana sana naona 'Maluweluwe' tupu tu. Nimejaribu Kuzungumza na Wakandarasi na Wahandisi Waandamizi wamesema hilo Daraja ni Kazi bure tu japo 99% walishiriki Kikamilifu katika Mchakato wake mzima mbele ya Hayati Mmoja wa...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Napendekeza kodi ya uzalendo kwenye tiketi za mabasi ili tukamilishe SGR haraka zaidi

    Naona serikali siku hizi imekuwa hodari sana wa kupokea ushauri wa tozo za serikali kwa kisingizio cha uzalendo bila hata kuzifanyia utafiti wa kina kuona kama kuna socioeconomic impacts za tozo hizo. Serikali sasa inaendeshwa kwa njia ya "hapendwi mwananchi bali kodi yake" Mwigulu amekuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Marekani yapiga marufuku mauzo ya tiketi za Belarus

    Marekani imepiga marufuku mauzo ya tiketi za ndege kutoka na kuelekea Belarus, ikiwa ni mwezi mmoja tangu Ndege ya Ryanair ilipolazimishwa kutua na Mwandishi wa Habari kukamatwa Hatua hiyo ni mwendelezo wa maamuzi yaliyochukuliwa dhidi ya Rais Alexander Lukashenko ambaye anatuhumiwa kufanya...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Je, ukataji tiketi wa mabasi ya mkoani kupitia mtandao una changamoto zozote?

    Habari zenu wakuu, Nataka kusafiri kwenda mkoani na tiketi ya basi nishazoea kukata manual lakini siku hizi ni mtandaoni, ila nilisikia madereva wakitaka kugomea huu utaratibu lakini sikusiukia iliishia wapi. Je, bado wanakata tiketi za mtandaoni au baada ya ule muito wa mgomo ilisitishwa...
  5. JamiiForums Tanzania Changamoto katika kukata tiketi mechi ya Simba na Yanga 08/05/2021 uwanjani

    Watu wengi washafika uwanjani lakini wakatisha tiketi wanaonekana ndani na machine zao lakini Wala hawataki kutoa huduma. Je, huu sio uhujumu uchumi? Serikali mnataka mapato gani zaidi ya haya? Yaani uwezo wa serikali kusimamia utaratibu ndo umefika mwisho? Kwanini watumishi hawajali watu? Ile...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kusema yeye na Hayati JPM walikuwa kitu kimoja sio tiketi ya JPM kufananishwa na malaika, alikuwa mwanadamu tu.

    Ninamuelewa sana Rais Samia anaposema kuwa yeye na Hayati JPM walikuwa kitu kimoja. Kwamba ni maamuzi ya Hayati yaliyompa yeye nafasi ya kuwa mgombea mwenza. Kwamba yeye na Hayati walihangaika majukwaani na wakapigwa na jua pamoja mwaka 2015 ili waingie ikulu, hivyo haupo uwezekano wa wao...
  7. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa avamia mwendokasi, ahoji mapato yalipo kama wanashindwa kununua mabasi. Mkurugenzi wa fedha atumbuliwa

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo amefanya ziara ya kushtukiza kituo cha mwendokasi eneo la gerezani na kukuta mfumo wa kusoma tiketi haufanyi kazi, mtendaji mkuu alisema mfumo haufanyi kazi baada ya kutokea mgogoro kati ya supplier na alieununua. Meneja huyo amesema mfumo mpya unajengwa na...
  8. JamiiForums Tanzania TABOA yasitisha mgomo wa kupinga tiketi za kielektroniki

    Wamiliki wa mabasi wasitisha mgomo ulioitishwa baada ya makubaliano na LATRA pamoja na TRA kuwa mazuri. Abiria wa Mwanza na Mbeya walichelewa baada ya wamiliki wa mabasi kuitikia wito wa mgomo ulioitishwa kuanzia leo. Chanzo: ITV Pia soma: Chama cha Wamiliki Mabasi (TABOA) kusitisha kutoa...
  9. JamiiForums Tanzania Faida za tiketi za kielektroniki kwa wamiliki wa mabasi

    Baadhi ya Malengo na faida mfumo wa ukataji wa tiketi za bus kielektroniki nchini ▪️Kuwa na udhibiti katika sekta ya usafirishaji. Wasafirishaji kuwa na ushindani wenye tija, Mfano kwa sasa nauli zinazowaongoza ni za mwaka 2013 lakini hawazitumii. Basi la daraja la juu (luxury) anauza bei ya...
  10. JamiiForums Tanzania Chama cha Wamiliki Mabasi (TABOA) kusitisha kutoa huduma kuanzia Jumatano wiki ijayo kwa kugomea mfumo wa ukataji tiketi kupitia mtandao

    Chama cha wamiliki wa mabasi nchini(TABOA) kwa kauli moja kimetangaza kusitisha kutoa huduma kuanzia jumatano wiki ijayo kwa kugomea mfumo wa ukataji tiketi wa mtandao wakidai mfumo huo ni kandamizi na unawaumiza wamiliki na kufIkia hatua ya kutaka kuwafilisi. ==== Dar es Salaam. Wamiliki wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…