tiketi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Tiketi za Simba day ziliuzwa kwa mafungu na ulanguzi ili ziishe mapema

    Kwa mujibu wa Haji Manara Simba waliwatuma watu wanunue tiketi kwa mafungu ili waje wazilangulishe siku ya mechi ili watabgaze Sold out, asena sold out ya Simba ni ya mchono. Nachojiuliza taarifa hiyo ni kweli? Kama kweli Simba watakuwa wanadanganya ili iweje?
  2. JamiiForums Tanzania Yanga mmesema Tiketi za VIP zimeshaisha, tunaomna mtutangazie mapema kuhusu kuingia bure

    Napenda kuushukuru uongozi wa Yanga ambao kupitiabmsemaji wetu Ali Kamwe walitutangazia kuwa Tickets za VIP zote ni Sold Out. Naomba niwakumbushe kwamba, maadam VIP zimeshauzwa zote, ni vyema wakatutangazia mapema kuhusu kuingia bure siku ya Wananchi ili tuweze kujiandaa kuujaza Uwania, na...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Simba mashabiki tumetimiza wajibu wetu kununua tiketi zote, tafadhalini sana naomba msituangushe, Yanga wao hadi supu za bure ndio wanajaa

    Msimu uliopita tumekwazika sana, pengine katika maisha yetu ya soka hasa kwa vijana wa kizazi hiki wasioijua simba msimu uliopita tulipoteana sana, sisi ndio tumewafanya Yanga waonekane wako juu kutokana na kuhujumiana, kusalitiana, migogoro ya wenyewe kwa wenyewe nk. Hata hivyo mambo yote hayo...
  4. JamiiForums Tanzania KERO Responded Online booking SGR haifanyi kazi, nifanyaje?

    Najaribu kukata tiketi kwa njia ya mtandao lakini sifanikiwi, mfumo haufanyi kazi, nifanyeje? Pia soma: TRC: Tumewakamata Watu kadhaa waliokuwa wanafanya ulanguzi wa tiketi za SGR na kufanya udanganyifu
  5. JamiiForums Tanzania Mechi ya Yanga vs kaiza chiefs, tiketi zote SOLD OUT, wa south wana hamu ya kuitazama Yanga

    Mechi ya Yanga na Kaizer chiefs imevunjwa record ya soccer la south Africa kuuzwa zote kabla ya siku mbili ya mchezo. Unaambiwa mtaani watu wa South Africa wanahamu sana kuitazama team kubwa Africa Young Africans Wanataka wamuone Aziz ki, Chama, mudathir n.k Hii team ya Young Africans...
  6. JamiiForums Tanzania Trump apokea rasmi tiketi ya Republican Party. Alaani wavamizi kutoka kwenye majela ya vichaa Venezuela, El Salvador, Afrika, wanaokwend kuharibu USA

    Nchi yao imevamiwa na wahamiaji haramu. Wauaji, wabakaji, maharamia na wagonjwa wa akili kutoka kwenye majela ya vichaa. Ameahidi anaenda kukata mzizi wa fitina wa tatizo hili akichaguliwa. Na kwenye uchumi, viwanda na biashara ya kimataifa ameahidi anaenda kumaliza exploitation ya mataifa...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Muufti akabidhi tiketi kwa wanafunzi 41 wanaokwenda kusoma elimu ya dini ya kiislamu Morocco

    Wadau hamjamboni nyote Taarifa kamili hapo chini: Hatimaye Samaha Mufti wa Tanzania Dr. Abubakar Zubeir Ali Mbwana jana Jumanne amekabidhi tiketi kwa wanafunzi wanaokwenda kusoma elimu ya Dini ya Kiislamu nchini Morocco kupitia Skolashipu alizoziomba kwa mfalme wa Morocco. Ukumbi wa Mfalme...
  8. JamiiForums Tanzania Bongo usijaribu kukata tiketi VIP, utatapeliwa

    Wabongo huwa hawajali kumhudumia mtu. Ukiisha walipa imetoka hiyo. Juzi kati Yanga walikuwa na mechi watu waliingia bure na VIP walilipia. Watu wa VIP kufika uwanjani wanaambiwa siti za VIP zimejaa, hawataweza kuingia. Jana Cheka Tu walikuwa na show yao mlimani siti. VIP 40k regula 20K. Kama...
  9. M

    JamiiForums Tanzania AIBU: Abiria wa Mwendokasi wamekwama Posta kwa sababu hakuna Umeme hawawezi kukata tiketi

    Wanajamvi, Leo tarehe 09.04.2024 muda huu wa jioni nimetoka kituo cha mwendokasi cha Posta ya zamani kumpeleka wife, nimekuta abiria wamejazana hapo eti kwasababu hakuna umeme Kituo hakiwezi kukata tiketi. Hii ni aibu kwa nchi, katika karne ya 21 watu wanakwama kusafiri kwasababu ya Umeme...
  10. JamiiForums Tanzania Mabomu ya machozi yanapigwa nje ya uwanja wa Taifa, mashabiki waliokata tiketi wamezuiwa kuingia

    Mliopo kwa Mkapa mtujuze, nasikia polisi wanafyatua mabomu ya machozi baada ya mashabiki wenye tiketi kuzuiwa kuingia uwanjani kisa uwanja umejaa. Mliopo uwanjani mtujuze ukweli upoje?
  11. B

    JamiiForums Tanzania Hivi Mwanamke akiwa Mzuri ndio Tiketi ya Kuwa Mdangaji?

    Wakuu hii imekaaje, yaani Mwanamke akishakuwa mzuri tu basi unakuta ni Mdangaji? Hivi hawawazi kuhusu future zao? Au wana guarantee? Yaani ukikuta mzuri basi ana wanaume zaidi ya 50, anauza Baa, unamkuta kwenye madanguro au anajiuza. Hii inanishangaza ni uzuri wao unawashawishi au Upstairs...
  12. JamiiForums Tanzania SI KWELI Tilisho wametangaza nafasi za wahudumu wa Mabasi yao pamoja na Wakatisha tiketi

    Habari Wadau, Nimekutana na tangazo la kazi likionesha kuwa Kampuni ya usafirishaji ya Tilisho inahitaji Wafanyakazi kwa nafasi ya Wakatisha Tiketi na wahudumu wa ndani ya Mabasi. Nimepata mashaka baada ya kuona ukilifuata tangazo hili ndani yake linahitaji usambaze link kwenye magroup ya...
  13. JamiiForums Tanzania Zimbabwe: Wakamatwa kwa kuuza tiketi za kwenda mbinguni

    Tito and Amanda Watts mtu na mkewe, walikamatwa mwishoni mwa wiki kwa kuuza ''ticket za dhahabu za kwenda mbinguni'' kwa mamia ya watu. Wanandani hawa, waliokuwa wanauza tiketi hizo kwa dola za kimarekani 99.99 kwa kila tiketi, huku wakiwaambia wanunuaji kuwa zilikuwa zimetengenezwa kwa dhahabu...
  14. JamiiForums Tanzania KERO Responded Nakerwa na tabia ya wakata tiketi wa Mabasi ya Mwendokasi kudai hawana chenji kila siku

    Nimeona Rais Samia kamtumbua kiongozi wa juu wa Mwendokasi labda kero zitapungua kwa kweli. Ukiachana na kero ya msongamano wa abiria na utaratibu mbovu ambao kila siku hata Jamii Forums naona mnaupigia kelele, kingine ni kuhusu suala la chenji. Hilij ambo ni dogo lakini linakera na linapaswa...
  15. JamiiForums Tanzania SGR kuwashwa Januari 24, tiketi zagombaniwa kama njugu

    Dugudugu kuwashwa trh 24.01 --- After multiple delays, services on the Dar es Salaam-Morogoro section of the Standard Gauge Railway (SGR) are currently expected to begin at the end of January 2024. This was stated recently by Transport minister Prof Makame Mbarawa on his visit to see the SGR...
  16. JamiiForums Tanzania Tiketi bure mechi ya Yanga inaenda kuifaidisha sana Simba

    Kuweka kiingilio bure mechi ya Yanga kunaongeza sana watazamaji watakaoenda kwenye mechi ya Simba. Tena kipindi hiki ambacho mashabiki wa Simba walirudi nyuma kidogo, hii ni boost kubwa sana. Yule mshabiki aliyekuwa alipe 3000 au 5000 kuangalia mechi ya Yanga ameshajihakikishia anaingia bure...
  17. JamiiForums Tanzania Simba kulikoni mbona hampost trend ya mauzo ya tiketi kama kawaida yenu? Shida ni nini!!

    Tumezoea awa mabwana kupost mauzo ya ticket yalipofikia kwenye page zao na mitandao ya kijamii uku wakionyesha sold out za kutosha Kila jukwaa, Sasa nashanga safari hii wamekuwa Kama wamepigwa na shot ya umeme wameganda Kama barafu. Hii sio kawaida yao kabisa mechi ni kesho lakini akuna post...
  18. JamiiForums Tanzania Wanasimba tuanze kutag kwenye kila media. Hatununui tiketi tunataka kocha na cadena out

    HAKUNA KUINGIA UWANJANI. Timu bila kocha, CADENA out. Kaua makipa wa Azam, kaua kiwango cha Ally Salum. Kafarakanisha timu, Anaitaka timu. Kama Mo kagoma dili la kipa basi MGUNDA in.
  19. JamiiForums Tanzania Wana Simba tususie kuingia Uwanjani kama Matola na Cadena Wataiongoza Simba mechi ya Asec

    Viongozi lazima wawe siliasi. Kulikuwa na mda wa kutosha kupata kocha mzuri. Na kama Mo amekataa kutoa Mpunga akitaka mumpe timu Mgunda sasa kwanini mzilie kwa kumwachia Matola. Matola kaachiwa timu mara ngapi kaishindwa. Kama wanampenda sana wampe u ceo tu. Kadena Toka aje kama kocha wa...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini CCM ilishinikiza kuondolewa kadi za malipo kwenye miradi ya mwendokasi DSM? Wananufaikaje na wizi wa tiketi za kuchana kwa mkono?

    Viongozi wa Dart wanadai kuondolewa kwa mfumo wa kadi za malipo vituo vya mwendokasi yalikuwa maazimio ya chama na serikali na kwamba mifumo hiyo iliondolewa kwa lengo la kuwanufaisha watu fulani. Baada ya mifumo hiyo kuondolewa iliamuliwa makampuni ya ulinzi wakiwemo vijana wa jkt waanze...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…