tiba

The Instituto de Tecnologia Intuitiva e Bioarquitetura (English: The Intuitive Technology and Bio-Architecture School) (TIBÁ) is an eco-centre located in the coastal jungle of Brazil (Mata Atlântica), dedicated to demonstrating and teaching sustainable development and 'barefoot' construction techniques. It was founded in 1987 by Rose and Johan van Lengen, author of the grassroots construction manual 'The Barefoot Architect'. This book has gained popularity worldwide through its advocation and detailed instruction on appropriate technology and natural building techniques for builders, architects and students.The name TIBÁ comes from the Tupi language (Brazilian Amazonian tribe) meaning "A place where many people meet".

View More On Wikipedia.org
  1. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Igunga: Tunaishukuru Serikali kwa vifaa tiba na madawa kwenye zahanati za vijijini

    "... Toka nimeanza ziara vijijini kwenye kila Zahanati Ninayopita kuangalia mwenendo wa utoaji wa huduma za afya kwa Wananchi, Nimekuta kuna akiba ya madawa na vifaa tiba vya kuweza kutumia miezi Mitatu mpaka Sita..." "... Tunaishukuru Serikali yetu kwa uwekezaji mkubwa kwenye Sekta ya Afya...
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Edward Lekaita akabidhi Vifaa Tiba vyenye thamani ya Shilingi Milioni 136

    Mbunge wa Jimbo la Kiteto Mhe. Edward Ole Lekaita amekabidhi vifaa tiba kituo cha Afya cha Engusero (Milioni 100), Zahanati ya Ngipa (Milioni 18) na Zahanati ya Nchinila (Milioni 18) vyenye thamani ya shilingi milioni 136. Edward Ole Lekaita amekabidhi vifaa vya michezo kwa timu ya Vijana...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Baada ya video ya mhudumu wa afya kuosha vifaa tiba na maji baridi kusambaa, wamekurupuka na kutoa matamko mawili

    Baada ya video kusaambaa ikionesha mhudumu wa afya akiosha vifaa tiba kwa maji ya baridi na kunianika juani, serikali imekuja na majibu, ila kama kawaida inaonesha huwa hawawasiliani na hivyo kutoa matamko mawili mawili. Waziri Ummy katoa tamko kuwa ameona video hiyo na kwamba atafatilia kujua...
  4. benzemah

    JamiiForums Tanzania Udanganyifu NHIF, Ndugu Waoana Wapate Kadi ya Bima

    MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umebaini kuwapo udanganyifu unaofanywa na baadhi ya wanachama na viongozi wa dini kwa kufungisha ndoa batili ndugu wa familia moja ili wakidhi vigezo vya kuwamwanachama wa Mfuko huo kama mke na mume. Hayo yalibainishwa jana katika mkutano wa wadau wa mfuko...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Je, Matibabu ya saratani na kisukari kwa tiba mbadala ni uhalisia?

    Kuna madai mengi kutoka hizi sanitarium clinics kwamba wanaweza kutibu kansa aina zote na kisukari aina zote Ila binafsi simfahamu mtu yeyote aliyekuwa na magonjwa haya akatibiwa akapona. Mwenye ushahidi atusaidie tuweze kuamini kwani kuna watu wengi wanasumbuliwa na haya maradhi duniani kote.
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Serikali yapiga Marufuku matumizi na biashara ya 'Vumbi la Kongo na Akayabagu'

    Dawa inayodaiwa kuongeza nguvu za kiume maarufu 'Akayabangu' pamoja na vumbi la Kongo zimepigwa marufuku kutumika nchini kwa kile kilichoelezwa kuwa hazijathibitishwa ubora wake. Hayo yamesemwa jana Ijumaa, Juni 23, 2023 na Mwenyekiti wa Baraza la Tiba Asili na Tiba Mbadala, Profesa Hamis...
  7. Eng Kizumango

    JamiiForums Tanzania Fahamu zaidi kuhusu P.I.D, dalili na madhara yake

    P.I.D- Pelvic Inflammatory Disease. P.I.D Ni maambukizi kwenye via vya uzazi kwa mwanamke ambayo huusisha maambukizi kwenye shingo ya kizazi(CERVICITIS),nyama kwenye mfumo wa wa uzazi(ENDOMETRITIS) na mirija ya uzazi(SALPINGITIS). Kuna aina mbili ambayo ni chanzo cha maambukizi ya ugonjwa wa...
  8. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Je, katika kuboresha huduma ya afya kuna haja ya Watumishi wa Mungu na matabibu wa tiba asili kupewa elimu ya awali ya afya?

    Habari JF, Kwanza naomba nitambue mchango mkubwa wa watumishi wa Mungu na hawa matabibu wetu wa tiba asili katika kuhudumia wananchi kwa ujumla hasa katika suala la afya ya mwili . Pili kumekuwa na malalamiko mengi kutoka kwa watumishi wa afya mahospitalini wakilalamikia hasa ucheleweshwaji wa...
  9. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mnyeti aiomba Serikali kupeleka Vifaa Tiba katika Hospitali ya Wilaya ya Misungwi

    Mbunge wa Jimbo la Misungwi, Mhe. Alexander Mnyeti ameiomba Serikali kupeleka vifaa tiba katika Hospitali ya Wilaya ya Misungwi kuwezesha wananchi kupata huduma bora za afya. Akitoa salaam kwa niaba ya wapiga kura wake leo Juni 14, 2023, wakati wa ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kukagua...
  10. G-Mdadisi

    JamiiForums Tanzania Wanasaikolijia washauri jamii kuelimishwa Umuhimu wa Tiba ya Saikolojia kupunguza athari za ukatili

    Na Gaspary Charles, ZANZIBAR JAMII imetakiwa kutambua na kuweka mkazo kwenye upatikanaji wa tiba ya saikolojia na ushauri nasaha ili kuwasaidia waathirika wa matukio ya udhalilishaji kukabiliana na changamoto za kisaikolojia zinazowaathiri baada ya kufanyiwa vitendo hivyo. Ushauri huo...
  11. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Misungwi: Kanisa linaloendesha ibada tata labainika, takriban wagonjwa 200 wamekutwa wakihudumiwa katika mazingira duni

    Misungwi. Wakati mamlaka nchini Kenya kutambua makaburi waliozikwa waumini wa Mchungaji, Paul Mackenzie, Mkuu wa Wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza, Paulo Chacha ameibaini kuwepo kwa kanisa linaloendesha ibada tata. Chacha amebaini kuwepo kanisa hilo juzi Juni 8,2023 katika Kijiji cha Nyamayinza...
  12. GoJeVa

    JamiiForums Tanzania SoC03 Tiba ya msongo wa mawazo

    TIBA YA MSONGO WA MAWAZO. Utangulizi. Msongo wa mawazo ni hali ya mtu kuzongwa na mawazo hasi ambayo mara nyingi hupelekea matokeo mabaya Kwa muhusika hasa pale asiposaidiwa au asipojisaidia kutoka kwenye changamoto hiyo. Tatizo hili limekuwa ni jambo mtambuka Kwa kizazi chetu, na hii...
  13. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wanamiliki majini bila kificho na kuyatumia kwenye tiba sambamba na visomo vya Quran takatifu. Huu sio ushirikina?

    Ushirikina sio kutumia uchawi pekee, hata unapomshirikisha Mwenyezi Mungu na majini huo nao ni ushirikina. Mkasa huu niliweza kuushuhudia live kwa macho yangu 2019, Mgonjwa alipona maradhi yake lakini hadi leo najiuliza ilikuwa sahihi kwa Sheikh / Ustadh kuyatumia majini sambamba na kuitumia...
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Ashatu Kijaji Aipongeza Taasisi ya Uhandisi na Usanifu Mitambo Tanzania (TEMDO ) kwa Ubunifu wa Vifaa Tiba

    WAZIRI MHE. DKT. ASHATI KIJAJI AIPONGEZA TEMDO KWA UBUNIFU WA VIFAA TIBA Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Dkt Ashatu Kijaji (Mb.) ameipongeza Taasisi ya Uhandisi na Usanifu Mitambo Tanzania (TEMDO ) kwa ubunifu wa utengenezaji wa mitambo mbalimbali kwa gharama nafuu pamoja na vifaa...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Mlipuko huu utaondoka na wengi. Nilibanwa na Kifua kwa siku 2. Dalili na Tiba

    Asalam ndugu wanajamii. Hapa ni kijijini, tuongee kama wanakijiji kahawani tusije Angamia. Wakati wa hizi taarifa mbali mbali za kubanwa vifua kwa maradhi ambayo taarifa rasmi ya serikali imeyaweka katika tahadhari ya chini na yasiyo hatari kwa afya ya jamii, huku uraiani hali si njema...
  16. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania Vifaa tiba vilivyotumika vinahitajika

    Vinahitajika vifaa vya hospital vilivyo tumika kama ipasavyo, bei iliyoandikwa inaweza kupungua kulingana na ubora ama muonekano wa kifaa husika. 1. Ward bed 4 @ 100,000/= 2. Examination bed 2 @ 100,000/= 3. Labor/Gynecology bed 1 @ 200,000/= 4. Autoclave 15ltr 1 @ 200,000/= 5. Examination...
  17. benzemah

    JamiiForums Tanzania Tanzania Yang'ara Utalii wa Tiba Afrika Mashariki

    Tanzania imetajwa kung'ara katika utalii wa tiba kutokana na watu kutoka nchi mbalim- bali zikiwamo za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kujitokeza kwa wingi kupata matibabu ya kibingwa kwa magonjwa tofauti hususani moyo, mifupa na saratani. Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu alisema tangu Julai...
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Benaya Kapinga asisitiza Dawa na Vifaa Tiba vipelekwe kwa wakati sehemu za kutolea huduma za afya

    MBUNGE BENAYA KAPINGA ASISITIZA DAWA NA VIFAA TIBA VIPELEKWE KWA WAKATI SEHEMU ZA KUTOLEA HUDUMA ZA AFYA Mbunge wa Jimbo la Mbinga Vijijini Mkoa wa Ruvuma Benaya Liuka Kapinga akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Afya Bungeni jijini Dodoma tarehe 12 Mei, 2023. "Serikali katika Jimbo la...
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Benaya Kapiga Asisitiza Vifaa Tiba na Dawa zipelekwe kwa Wakati Maeneo ya Kutolea Huduma za Afya

    MBUNGE BENAYA KAPINGA ASISITIZA DAWA NA VIFAA TIBA VIPELEKWE KWA WAKATI SEHEMU ZA KUTOLEA HUDUMA ZA AFYA Mbunge wa Jimbo la Mbinga Vijijini Mkoa wa Ruvuma Mhe. Benaya Liuka Kapinga akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Afya Bungeni jijini Dodoma tarehe 12 Mei, 2023. "Serikali katika Jimbo...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Mazoezi ni tiba ya moyo, ini na mfumo wa uzazi

    Nilikuwa na dalili za ugonjwa wa Moyo na Ini ambapo dalili hizo zilinianza nikiwa na miaka 42 japo ninaamini haikuwa kwa kiwango kikubwa. Kadiri siku na miaka ilivyoongezeka ndivyo hali hiyo ilivyozidi kuongezeka hadi kufikia kupatwa na mabadiliko mengine ambayo nilikuwa sina hasa la kupunguwa...
Back
Top Bottom