Msaada: Ngozi ya korodani inachomachoma

Berlin stom

Member
Aug 4, 2023
34
20
Jaman naombeni msaada kwa anae faham nina sumbulia na tatiz sehem ya korodan yani napokuw natembea panachoma mno kwa kizungu wanaita stinging au burning mpak sehem ya aja kubwa inatokea wakat wa kiangaz na hata pale barid linapokuw kali napata shida msaad jaman
 
Umeenda hospitali?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom