tiba

The Instituto de Tecnologia Intuitiva e Bioarquitetura (English: The Intuitive Technology and Bio-Architecture School) (TIBÁ) is an eco-centre located in the coastal jungle of Brazil (Mata Atlântica), dedicated to demonstrating and teaching sustainable development and 'barefoot' construction techniques. It was founded in 1987 by Rose and Johan van Lengen, author of the grassroots construction manual 'The Barefoot Architect'. This book has gained popularity worldwide through its advocation and detailed instruction on appropriate technology and natural building techniques for builders, architects and students.The name TIBÁ comes from the Tupi language (Brazilian Amazonian tribe) meaning "A place where many people meet".

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania UZI WA TIBA: Magonjwa Yanayodhoofisha Mwili na Akili – Tishio la Kimya Tunalopaswa Kulielewa Kitaalamu

    Habari zenu wanajukwaa wenzangu, Natumaini wote mko salama kabisa. Nawasalimu kwa heshima kuu kutoka kwa mtu wa taaluma ya afya – warm medical greetings to you all from a health-conscious professional. Leo nimeona nilete mjadala wa kina kuhusu magonjwa hatari ambayo huathiri mfumo wa mwili...
  2. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri tiba asili ya tonsils maana hospitali nimefeli kupata dawa ya kudumu

    Salaam. Wadau wa JF, nna Mdogo Ang wa myaka 17 anateseka Sana na shida ya tonsils. Ametibiwa hospitali Mara kadhaa, Hasa akiwa anakaa shule Ila shida imebakia kuwa nzito akahamia day. From there tatizo limepungua Ila humrudia Kila Mara Licha ya kutumia doze na kumaliza. Kila akila kitu...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Ndani ya CCM watu wanaogopana nahawataki kuambiana ukweli. Lazima tutafute tiba ya rushwa na tuache unafiki

    Siku tutakapopeana makavu live bila chenga, machawa watakaibika. Siku hiyo itakuwa mwanzo sahihi wa kuitokomeza rushwa na kuunyonga unafiki. Nakumbuka tarehe 13/03/2023, Profesa Anna Kajumulo Tibaijuka — aliyewahi kuwa mtumishi wa mashirika ya kimataifa, Waziri wa Ardhi, Mbunge wa Muleba —...
  4. JamiiForums Tanzania Tiba ya kutoacha mdomo wazi

    https://www.facebook.com/share/r/18LBxmXewj/
  5. JamiiForums Tanzania JWTZ lasaidia huduma tiba na afya Jamhuri ya Afrika ya Kati

    Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania limechangia huduma tiba na afya kwenye hospitali ya Jiji la Berberati iliyoko nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati tarehe 14 Aprili mwaka 2025. Akizungumza mara baada ya uchangiaji wa huduma hizo kwa niaba ya Kamanda Kikosi cha Nane cha Ulinzi wa Amani nchini...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Nini tiba ya ugonjwa wa Kifaranga kujaa hewa mwilini?

    KIfaranga kapata ugonjwa wa mwili kujaa hewa na kuwa kama puto, nini tiba ya haraka ?
  7. JamiiForums Tanzania Watu wa Hospitalini mbona hamtuambii tiba mbadala za magonjwa mbalimbali?

    Hutakaa usikie wakikwambia bamia ni dawa ya vidonda vya tumbo.. hutokaa usikie tumia unga wa ubuyu na asali utapona vidonda vya tumbo.. Hawasemi kabisa mzizi flani ukiutafuna unapona tatizo hili.. Nyie kazi zenu kutushindilia madawa ya kizungu ili mpige hela.. Badilikeni..
  8. JamiiForums Tanzania Hoja ya Wasomi Kusoma VETA, Japo ni Hoja Chungu, Ndio Ukweli Wenyewe Kama Kidonge Kichungu, Ndicho Kinachotibu Homa!. VETA Ndio Tiba ya Joblessness!

    Wanabodi, Hii hoja ya wasomi wahitimu wa vyuo vikuu kwenda kusoma VETA. Shuhudia hizi Testimonials.... https://youtu.be/Rzr6coD9ihs?si=ZKYzt1V9FZFITszQ kauli ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Majaliwa, kuwa wahitimu wa Chuo Kikuu, wakasome VETA, imepokelewa kwa hisia tofauti, zenye sintofahamu...
  9. JamiiForums Tanzania Siku hizi hakuna haja ya kubaki na mapengo tiba zipo za meno bandia

    Wana JF habari za Jumapili , ikiwa una tatizo la mapengo unaweza tabasamu upya kwa kuwekewa meno bandia ya kudumu kwa gharama rafiki Tazama jinsi mama wa miaka 67 alivyotabasamu kwa mara ya kwanza tangu apoteze meno yake akiwa na miaka 45 🙌🏿😁 Hapo chini Nimekuwekea Picha Kabla na Baada Ya...
  10. JamiiForums Tanzania Maganda ya nanasi ni tiba kwelikweli

    Wale wanaopata maumivu kwenye joints (Wenye gout, rheumatoid, arthritis n.k) fuaustina pamoja nami MAGANDA YA MANANASI YANATIBU 🌿Homa ya matumbo 🌿Glaukoma 🌿Arthritis, maumivu ya viungo (Joint pain) 🌿High Cholesterol 🌿kikohozi, Mapafu 🌿Kinga duni/ Kushuka (Poor Immunity) 🌿Ugumba wa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Tiba ya cholesterol

    Habari wakuu msaada wenu nimepima cholesterol ipo juu kidogo. Nini nifanye kupunguza cholesterol au tiba yake ni nini?
  12. JamiiForums Tanzania Mimea tiba kupitia mimea ya majumbani

    Mmea ni majabu ya Mungu kwetu . Mmea hapo kwenye picha : 🥬Kisukuma unaitwa Mjorwambogo. 🥬Kikamba unaitwa Ithaa. 🥬Kikikuyu unaitwa Mwino au mwinu. 🥬Kijaruo unaitwa Ovino au owinu. 🥬Kimeru unaitwa Kirao au Murao. 🥬Kitaita unaitwa Mbinu au Mshua. 🥬Kiiraq unaitwa Nkharerei. 🥬Kihehe huitwa...
  13. JamiiForums Tanzania Zijue Tiba asili kwa watu wenye tatizo la kukosa usingizi (insomnia)

    Hellow wakuu, Leo niliona uzi humu mdau mmoja akiomba msaada wa dawa asili za kuondoa tatizo la kukosa usingizi Anayejua dawa za asili kutibu tatizo la kukosa usingizi (insomnia) anisaidie nateseka Nimeona nianzishe uzi huu ili kila mtu aone na aelimike ikibidi asaidike, Kukosa usingizi sio...
  14. JamiiForums Tanzania Tiba ya maziwa kiroho

    Hellow wakuu mpo? Hakuna asiyeyafahamu maziwa, kila mtu anayajua maziwa ni lishe muhimu kwa binadamu sababu yana virutibisho vyote muhimu. Yanaponya maradhi mbali mbali na kuua sumu yeyote mwilini. Je wajua maziwa fresh yanaweza kutatua changamoto mbali mbali za kimaisha ikiwemo kusafisha...
  15. JamiiForums Tanzania Mjawazito kugharamia tiba: Je kauli ya mkuu wa mkoa wa Dar ndio msimamo rasmi wa serikali? Serikali itoe kauli.

    Watanzania wamesikia kauli ya mkoa wa Dar, Albert Chalamila kuwa, mjawazito atawajibika kuchangia matibabu na akishindwa aende akajifungulie nyumbani. Japokuwa imetolewa kwa kebehi lakini ni kauli iliyobeba uzito mkubwa ikizingatiwa sera rasmi ya serikali katika sekta ya afya ni mjawazito...
  16. JamiiForums Tanzania Hakuna maendeleo yaliyoboresha maisha ya binadamu zaidi ya sayansi ya tiba na afya

    Katia safari ya maendeleo kama binadamu tumefanya mengi ya kustaajabu, kuanzia kuvumbua vifaa vya mawasiliano vya masafa ya mbali mpaka roketi lakini hamna cha msingi tulichofanya zaidi ya maboresho ya sayansi ya matibabu na afya Wanasema kabla ya mageuzi ya matibabu wastani wa kuishi dunia...
  17. JamiiForums Tanzania Tiba ya mkojo (urine therapy) hii tiba inafanya kazi vizuri na kwa ufanisi

    Habari wakuu . Mimi nimekuwa nikusumbuliwa na matatizo ya kuumwa na kichwa aina ya kipanda uso. Nimetumia Dawa za kutuliza maumivu Kwa muda mrefu Sana , Ila nimekuja kupona Kwa kutumia tiba moja inaitwa "Urine therapy). Tiba hii nimetumia siku tano Kwa kufanya hivi. Kunywa mkojo robo...
  18. JamiiForums Tanzania naomba kujua jina na tiba la ugonjwa huu

    habarini wana Jf,kuna mdogo wa mke amepata ugonjwa wa ajabu amekuwa ananyonyoka nywele kama mnavyoona yeye ni umri wa miaka 13 ,je huu ni ugonjwa gani tiba ni ipi.
  19. N

    JamiiForums Tanzania Dear Medical Doctors, Nurses & Allied Health professionals. IJUE KADA YA TIBA CHAKUKA NA LISHE [Dietetics]

    Understanding the Role of Clinical Dietitians in Patient Care Dear Medical Doctors, Nurses & Allied Health professionals. Heri ya xmass & mwaka mpya! Introduction We value your dedication to providing comprehensive patient care. As clinical dietitians, We play a crucial role in supporting...
  20. JamiiForums Tanzania Mhe. Ndumbaro Akabidhi Vifaa Tiba Hospitali ya Rufaa Songea

    MHE. NDUMBARO AKABIDHI VIFAA TIBA HOSPITALI YA RUFAA SONGEA Waziri wa Katiba na Sheria na Mbunge wa Jimbo la Songea Mjini Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amekabidhi vifaa tiba vya huduma ya utengemao kwa uongozi wa Hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Ruvuma, iliyopo Manispaa ya Songea mjini. Mhe. Ndumbaro...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…